sonofobia
JF-Expert Member
- Jun 21, 2015
- 369
- 2,514
Wanawake mashujaa wa CHADEMA waliofukuzwa kihuni, Halima Mdee na wenzake bado wana nafasi ya kuipata haki yao.
Nawashauri waende mahakamani kuipata haki yao.
Kilichotokea kwenye mchakato wa kuwafukuza uanachama ni uhuni kwa kuwa katiba ya CHADEMA haikufuatwa tangu kikao cha CC ya chama.
Baraza Kuu pia alikufuata utaratibu wa kikatiba jinsi ya kuwasikiliza na kufanya maamuzi.
Bado tunawahitaji wanawake hawa wa shoka. Mahakama zetu zitatenda haki.