Ningejua nisingezini kabla ya Ndoa!

Hatimaye nimepata uzi mwingine wa kupost hii picha
IMG_20220417_090137.jpg
 
Katika watu ambao nilikua najivunia uplayer na kuchezea wanawake basi mimi ni miongoni mwao.Sina idadi kamili ya wanawake ambao nilishawahi kuwachezea,kumbukumbu zangu hata haisebiki. Mtu mwenye akili hutulia na mpenzi mmoja! Hii ni dhahiri huna vitu vingi vya kuwaza ukitulia na wa kwako mmoja!
Tatizo hizo "h" ndio zinanichanganya.
"huna" (you've nothing) au "Una"(you have) ni ipi unaimaanisha hapo kwenye sentence yako ya mwisho?
 
Back
Top Bottom