ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Kununua gari isiyoizidi 16m

    Habari za jioni ndugu zangu, Sina uzoefu na magari ila nimejichanga na nimepanga kununua gari isiyozidi 16M na yenye cc isiyozidi 1490cc mpaka 1990cc. Kwa muonekano wa nje mana sio mzoefu wa magari nimevutiwa na Toyota Runx, Allex na Premio ( Mawazo yanaweza kubadilika kulingana na ushauri...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri kuhusu jambo hili

    Niliachiwa kiwanja na marehemu baba mkubwa, kumbe kilikuwa na miaka 20 hakijalipiwa kodi, sasa ardhi wamenipa hilo Deni Mimi, nimekubali kulilipa Ila control number inaisha muda wake 22/5/2022 na hakuna kulipa nusu inatakiwa lilipwe Deni lote, ninachouliza hivi hakuna uwezekano wa kuongeza muda...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally ukiona inafaa chukua huu Ushauri wangu wa bure Kwako

    1. Jikite katika Uhalisia wa Masuala na siyo Propaganda 2. Acha kutumia muda mwingi kutafuta Mipasho ya Kujibizana na Mwana Mipasho Mwenzako Haji Manara. 3. Jikite hasa katika Kuitangaza Simba SC Kimataifa na Kisayansi zaidi 4. Acha kutoka nje ya Uweledi wako na kuanza kuwa Mswahili Mswahili...
  4. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Niishi vipi na ndugu wa namna hii?

    Thread closed Reached the real goals
  5. Kitchener

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Waziri wa Utalii Tanzania

    Tunawapongeza sana, wala hatuwabezi kuhusu royal tour. lilikuwa ni wazo na tukio lenye nia njema kwa nchi yetu, hasa kwa kumtumia mama yetu ambaye wengi wangependa kumsikiliza au kumuona, ni bidhaa adimu ambayo unaweza kuitumia kama nyenzo ya kuiuza Tanzania. lakini, baada ya hapo, napendekeza...
  6. Unique Flower

    JamiiForums Tanzania Nikipata Uraia wa nchi nyingine utaathiri u-Tanzania wangu?

    Hivi kwa wanaofahamu let's say umeolewa na mzungu na ukapewa uraia wa Ufaransa na unaishi kule; so huku ndio inakuwaje na uraia wa Tanzania unaruhusiwa kuwa nazo mbili kwa wakati mmoja au inabidi uikane mmoja ubaki na mwingine? Tujuzeni wadau wa humu
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Naomba Ushauri: Binti yangu amepangiwa Chuo na huku alishaanza masomo ya Pre-Form 5

    Habari wakuu, Naomba ushauri kwenye hilo: binti yangu amechaguliwa katika Chuo cha Diplomasia cha Kurasini Dar es Salaam katika kozi ya International Relations and Diplomacy, lakini wakati tulikuwa tunasubiri kupangiwa shule nilimpeleka kuanza pre form five katika shule moja ya private Kule...
  8. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Mimi naomba Ushauri Bibi Yangu yupo na watoto 09 wote are Mutured hila wanashindwa kumlipia bill zake zote.

    Wakuu hiko hivi I have a Grandmother Called Bibi Haya Kufupisha story siku ya Eaid Nilipewa taarifa kutoka Bukoba kwamba Bibi Hana Mboga ya Eid so niliombwa kutuma pesa kias Flani hivi kukamilisha Mlo mujarabu wa Eid. Kiufupi nilimtafta Jamaa yangu mmoja yupo kijijini mahali anapokaa my Bibi...
  9. VentureCapitalist

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ningejua nisingezini kabla ya Ndoa!

    Katika watu ambao nilikua najivunia uplayer na kuchezea wanawake basi mimi ni miongoni mwao.Sina idadi kamili ya wanawake ambao nilishawahi kuwachezea,kumbukumbu zangu hata haisebiki. Mtu mwenye akili hutulia na mpenzi mmoja! Hii ni dhahiri huna vitu vingi vya kuwaza ukitulia na wa kwako mmoja!
  10. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri, girl friend wangu amepata ujauzito miezi 3 baada ya kujifungua

    Wakuu, naombeni ushauri wa kitaalamu, mpenzi wangu alijifungua mwezi Januari mwaka huu. Mwezi wa 4 katikati akaomba game kwani ameimisi muda mrefu(hatuishi pamoja). Ajabu mwezi huu hajaona siku zake na ameenda kupima amekutwa na mimba tayari. Naombeni ushauri, je hii mimba anaweza kuibeba na...
  11. sonofobia

    JamiiForums Tanzania Mdee na wenzako 18 nendeni mkaipate haki yenu Mahakamani

    Wanawake mashujaa wa CHADEMA waliofukuzwa kihuni, Halima Mdee na wenzake bado wana nafasi ya kuipata haki yao. Nawashauri waende mahakamani kuipata haki yao. Kilichotokea kwenye mchakato wa kuwafukuza uanachama ni uhuni kwa kuwa katiba ya CHADEMA haikufuatwa tangu kikao cha CC ya chama...
  12. chiembe

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Mdee na wenzake wafungue shauri waombe Mahakama Kuu izuie jaribio la kuwafuta Ubunge

    Hawa waliteuliwa kwa vikao halali, kwa barua ya CHADEMA, na wakaapishwa, waende Mahakamani kesho kwa hati ya dharura!
  13. Mawematatu

    JamiiForums Tanzania Nimetokea kumchukia sana boss mpya, naomba ushauri ndugu zangu

    Muda unakwenda kwa kasi. Huyu kiumbe sitamanigi kumuona. Siku, Muda unavyokwenda najitahidi nimuondelee chuki moyoni inashindikana. Akiwa binadamu kama wengine najiona natenda kosa. Ushetaji unatusumbua, nahitaji kushinda moyo wangu moyo,cnafsi,churka, yangu inakataa. Kuna jambo linanifanya...
  14. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Je, wabunge 19 wa CHADEMA walijiteua? Je, CC ya CHADEMA ni Kangaroo Court? Je, Baraza Kuu litabariki ukangaroo ule?

    Wanabodi. Utambulisho. Mimi ni mwandishi wa habari wa kujitegemea, yaani freelance journalist, hatutumwi na mtu yoyote au media yoyote. Sisi waandishi tuko wa aina nyingi na tunafanya kazi za aina nyingi, wengine ni maripota, wengine watangazaji, wengine wahariri, na ndani ya makundi hayo...
  15. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nembo ya Bibi na Bwana isitumike kwa kila mtu

    Hii nembo haipewi heshima stahiki kila mtu anaitumia anavyotaka naomba serikali itoe tamko kuhusu matumizi, upande wa Bendera turuhusiwe lakini kwa kibali ijulikane inaenda kutumika wapi !!
  16. G

    JamiiForums Tanzania Toyota Mark II 4 cylinder kwa 2.5m inafaa?

    Naomba wataalamu mnisaidie mada tajwa hapo juu nimekutana na markII namba A jamaa anataka 2.5M is he correct? Vip vipul na ulaji wa mafuta mim ni mgen kwenye magar
  17. The only

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri kwa wadada ambao ni michepuko ya waume za watu

    Kwanza kabisa nianze kwa kuwapongeza kwa huduma ya penzi lenu mwanana hakika mna mahala penu mbinguni. Ushauri niliowaitia hapa ni kuwa dada zangu mnajisahau sana: 1. Unapokuwa mchepuko tambua kuwa wewe ni wa mda mfupi kwa msela, hivyo kaa kijanja ,uwezekano wa mchepuko kuzidi miaka mitano...
  18. Mr HQ

    JamiiForums Tanzania Naombeni Ushauri Kuhusu Biashara ya Kukodisha CD za Movies

    Habari Ndugu Zangu Naimani Wote Ni Wazima Wa Afya.🙏 Ndugu Zangu Nimepata Wazo La Kufanya Biashara Ya Library Yani Kuban Movies Kwa empty CD Na Music Pia Kuuza Flash Na Memory Card Pia Kuuza Vifaa Vidogo Vidogo Vya Simu Kama Vile Earphones, Makava Ya Simu Na Chaji. Kwani Mtaji Ninao...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa kufanya manunuzi Serikalini

    Me nawaza tofauti kidogo issue ya manunuzi serikalini ina loophole kubwa sana ya watu kupiga. Mfano watu wa manunuzi ukitaka kununua kitu watakwambia zidisha mara tatu ya bei halisi. Kwa hiyo serikali ifanye yafuatayo 1. GPSA waweke viwango vya limit ya bei mfano laptop yenye spec hizi bei...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Star TV

    Katika matangazo yenu mnaonyesha lile ziwa lililoko nadhani Mbeya, lenye umbo la ramani ya Tanzania, ila mwonekano wake haujidhirishi kwani picha imepigwa mtu akiwa ardhini, nawashauri mpige hiyo picha upya kwa kutumia drone
Back
Top Bottom