ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Amempa mimba mwanafunzi, akamnunulia dawa za kutoa-hakuzitumia. Sasa anaomba ushauri!

    Ni kijana ambaye nilikutana naye mahali fulani wakati nahitaji huduma fulani. Nilipofika nilimkuta anaongea na simu, kwa kuwa nilikuwa sina haraka nikamwambia amalize kuongea atanihudumia wakati huo mi nimepumzika kidogo kwenye benchi. Sikuwa najisikia vizuri sana kutokana na vurugu mbalimbali...
  2. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Serikali ipunguze idadi ya watumishi wa umma, iundwe serikali ndogo yenye weledi.

    Habari wananchi na viongozi! Serikali hii ina watumishi takribani laki 7(700,000). Hii idadi si kubwa sana ila ndani ya watumishi hawa kuna kundi halihitajiki sana kwa wakati huu. Mfano: Kazini kwangu ofisi X kuna watumishi wapo wanadibiri kustaafu tu, uhitaji wao wa moja kwa moja umekomaa. Ni...
  3. Equation x

    JamiiForums Tanzania Wakuu, ushauri wa mzee una hekima?

    Kuna mzee mmoja alinishauri. na kuniambia; kijana, sikiliza ushuri wangu, kwa sababu nimekula chuvi nyingi; katika maisha yako ya mapenzi:- Hakikisha unakuwa na mahusiano na mama ntilie;- ili siku utakapokuwa na njaa, na huna sehemu ya kupata chakula, atakuhudumia. Hakikisha unakuwa na...
  4. Vladivostok

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa haraka unahitajika wakuu niko njia panda

    Umofia kwenu wakuu Ninahitaji ushauri ipo hivi kuna binti nilizaa naye mtoto mmoja wakati tupo chuo ishu ikafika kwa wazazi nyumbani kwetu hk Njombe sasa washua wanafosi nikakomboe mtoto na mm nimefuatilia kwa binti niliyezaa naye wazazi wake wamesema nitoe million 1na nusu ndo nimchukue mtoto...
  5. African Geek

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu kurudi chuo kwa ajili shahada ya Computer Science

    Yes
  6. African Geek

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu kurudi chuo kwa ajili Degree(Computer Science Degree)

    Yes
  7. Nangu Nyau

    JamiiForums Tanzania Suluhu kwenye mafuta - ushauri wa bure

    Moja kwa moja kwenye mada, mods msiuunge huu uzi na nyuzi nyingine, ladha zinatofautiana. Inawezekana kabisa walioko kwenye mifumo wanajua shida iko wapi, ila tatizo lao kubwa ni ubinafsi na kutojali watu wao - UBINAFSI NI TABIA MOJAWAPO SUGU YA MWAFRICA, NI SAWA NA UCHAWI TU...
  8. Jolvin J Lug

    JamiiForums Tanzania Mchumba wangu anashida pindi anapokutana na jambo gumu katika mawazo(stress) huzimia

    Habari za majukumu na JF. Nina mpenzi wangu ambae nampenda pia nae ananipenda. Na tumekua na mahusiano yaliyodumi kwa muda wa mwaka mmoja Mara kadhaa ameniomba nimpelekee moto nimekua nikimzungusha kwa sababu mi nimuathithika wa Virus vya Ukimwi na yeye anajua. Hatimae siku moja nikafanya...
  9. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu huyu bodaboda

    .
  10. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Mzee anategemea kupokea kiinua mgongo, lakini simwelewi elewi kabisa

    Kwanza niwasalimu ndugu zanguni wapendwa. Kiukweli naona kuna mambo kadhaa nahitaji ushauri wenu. Mzee anastaafu mwezi ujao tu. So nimeona ni wakati muafaka nami kupanga bajeti. Kwa mzee salary aliyokuwa anapokea ni kama mil 7 kwa mwezi. Pia ana miradi yake kadhaa so maisha hayasumbui. Je...
  11. Escrowseal1

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa serikali ili kutoa mchango wa kupunguza ajali za magari

    Hakuna shaka ubovu wa vyombo vya usafiri una mchango mkubwa katika ajali zinazotokea nchini ikiwemo iliyochukua uhai wa watoto wa shule hapo majuzi. Nashauri wizara husika ipeleke mswaada bungeni ili itungwe sheria ya ukaguzi wa magari , kama usivyoweza kuendesha gari bila bima , basi kuwe...
  12. Khadija Mtalame

    JamiiForums Tanzania Nina mpango wa kuwapandisha Meridianbet mahakamani, wamenidhulumu pesa nyingi sana. Mmiliki ambaye ni Waziri jiandae

    Nina mpango wa kuwapandisha meridianbet MAHAKAMANI, mmiliki ambae ni waziri jiandae,naomba ushauri, HABARI WADAU; kwa majina naitwa khadija, mtanzania na mteja wa muda mrefu wa kampuni tajwa hapo juu, kisa kilianza hivi, Mnamo tar 14 mwezi huu wa saba, nilideposit tshs mil 1, uthibitisho wa...
  13. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Januari Makamba ateuliwe kuwa Balozi

    Ninashauri Rais amteue January Makamba awe balozi na apangiwe nchi ya kuiwakilisha.
  14. D

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu mwanangu

    Bila shaka Wote Mpo salama. Naomba ushauri wenu, Mwanangu kwa sasa ana miaka mitatu na nusu ila nimeamua nisimpeleke shule hizi za kawaida kusoma Darasa la kwanza Hadi la Saba na kuendelea. Nimeona ikiwezekana nimpeleke akasomee ufundi moja kwa moja Kwa vitu ambavyo ataweza kuvifanya hata...
  15. Robert S Gulenga

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Vijana waliopewa Madaraka kuhusu Maneno na Matendo yao wanapokuwa madarakani

    Vijana mliopewa dhamana ya kuwaongoza Watanzania wenzenu iwe kwa ngazi ya Kitaifa, Mkoa, Wilaya, Tarafa, Kata,Kijiiji au kitongoji, Chungeni saana ndimi zenu, angalieni sana matendo yenu, angalieni saana Mienendo yenu,tendeni haki Watumikieni Watanzania kuwaletea Maendeleo kwani cheo ulichopewa...
  16. kanga

    JamiiForums Tanzania Ushauri wenu wabobezi kuhusu gharama za TRA kulipia 20ft Container kutoka China

    Wadau katika kutaka kujikomboa kimaisha nimeona Alibaba.com kununua mzigo na kusafirisha hadi BONGO siyo gharama kubwa ,issue ikabaki kwangu je wazee wa Kaisari -TRA hapo ndio kikwazo mara nyingi.Kwa maelezo hayo naomebi wabobezi wa biashara kutoka CHINA na ambao wana shop at ALIBABA.COM...
  17. Richard

    JamiiForums Tanzania Ushauri- Raisi Samia usiogope tangaza kura ya maoni tupate katiba mpya, kisha uchaguzi wa 2025 ukishinda utaleta mapinduzi ya kiuchumi

    Miezi nane ijayo Raisi Samia atakuwa madarakani kwa mwaka wa pili tangu amrithi hayati John Magufuli na hadi sasa atakuwa amejifunza mengi na sasa unaonyesha kusimama ingawa bado, kuna figisu za hapa na pale. Kuongoza nchi ni kazi ngumu ambayo pia yahitaji maamuzi magumu pale unopoona pahitaji...
  18. Nangu Nyau

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Wateja wa mahakama a.k.a dada poa piteni hapa kuna jambo

    Moja kwa Moja kwenye maada. Kabla ya yote nadeclare interest, mimi Nangu Nyau mteja mzuri sana wa madada wauza papuchi aka wauza K aka makahaba. Pamoja na heshima yangu kwenye mambo nyeti hili ni la kwangu linalonipa burudani wazungu wanasema "my personal affair" OBSERVATION: Kuna katabia ka...
  19. Liverpool VPN

    JamiiForums Tanzania Nipande ndege nikasome PhD au Nikomae na biashara yangu?

    Haloo is me "Mr. Liverpool" again. Baada ya salamu, hebu tuingie kwenye hoja.. INTRODUCTION Mimi ni kijana mwenye miaka 32. Elimu yangu ni Masters ya mambo ya biashara. Ni mwajiriwa wa Halmashauri moja wapo hapa nchini. Mimi ni baba wa watoto wawili (kila mmoja na mama ake). Wanangu huishi na...
  20. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Rais: Shusha mishahara ya wanasiasa na ondoa posho zao peleka kwenye mafuta uikwepe laana ya Magufuli

    Ni ushauri wangu wa Mwisho kukupa hutaki unaacha! Mmekopa kushusha bei ya mafuta Ili bidhaa zishuke lakini wapi! Mmemnanga marehemu Sana lakini wapi, Mmetoa ahadi za uongo Napo pia wapi!!bila bila!!Leo nimeulizia gunia la mahindi,bati,simenti na sukari nikasema Hadi januari lazima mchutame...
Back
Top Bottom