Habari wakuu,
Naomba ushauri kwenye hilo: binti yangu amechaguliwa katika Chuo cha Diplomasia cha Kurasini Dar es Salaam katika kozi ya International Relations and Diplomacy, lakini wakati tulikuwa tunasubiri kupangiwa shule nilimpeleka kuanza pre form five katika shule moja ya private
Kule shuleni walimpangia combination ya HGE kulingana na ufaulu wake. Sasa nipo njia panda sielewi aendelee na Advance au nimpeleke akasome hyo kozi?
Kipi ni bora zaidi kwake maana hata binti pia imemchanganya kidogo ashike lipi na ukizingatia na umri wa binti ni mdogo miaka 16.
Naomba ushauri wenu wakuu tafadhali na pia naomba nifahamu hyo kozi akimaliza anaweza kufanya kazi zipi na maeneo yepi na upatikanaji wake ajira ikoje.
Natanguliza shukran