ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. kavulata

    JamiiForums Tanzania Hasara ya kuvunja mikataba ni baada ya kupuuzwa ushauri wa Tundu Lissu

    Sina mashaka na uzalendo wa Tundu Lissu kwa Taifa. Kinachomponza ni kuwaambia watu tusikombe mboga ili tushibe wote. Kuna watu hawataki kuambiwa usikombe mboga, wanachofurahia ni wao wakombe peke Yao wengine mle ugali kwa kuchovya tongue au mle bilà mboga kabisa. Tundu Lissu aliwaonya watu...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu biashara ya kuuza vinywaji vya aina zote (Vikali na vya kawaida)

    Wana jamii jamani hebu nisaidieni. Nataka kufanya hii biashara ya kuuza vinywaji kwa Arusha inakuwaje? WADAU WENGINE WANAOHITAJI USHAURI KUHUSU BIASHARA HII MAJIBU KUTOKA KWA WADAU MBALIMBALI KUHUSU BIASHARA HII PIA, SOMA: Ni dhahiri kwamba wajasiriamali wengi wamekuwa wakijiuliza...
  3. Masai wa Town

    JamiiForums Tanzania Ukoo wetu wote ni masikini. Naombeni ushauri Nawezaje kukata huu mnyororo wa umaskini?

    Familia yetu yote hakuna mwenye unafuu wa kiuchumi. Nikaangazia macho ndugu wa baba na mama, na wao wote ni masikini sana. Nikafuatilia historia ya mababu na wao walikuwa mafukara kabisa. Nina shahada ya kwanza ila ninakaribia kumaliza mwaka tangu nimalize chuo lakini sijawahi kuifanyia kazi...
  4. BROTHER OF BROTHERS

    JamiiForums Tanzania Tulikubaliana tuwajengee wazazi, ndugu zangu wameniachia ujenzi peke yangu

    Habari zenu Wana jukwa. Nimeleta habari yangu kwenu kwa Lengo lakupata Ushauri na mapendekezo. Mimi ni kijana Mwanaume Mwenye mke na mtoto, ni miongoni mwa Familia maskini Sana Mwenye elimu ndogo tuu ya Astashahada ya Habari na Mawasiliano, Nina Ndugu 6 pamoja na Mimi niwa7, wanaume tupo 4 na...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu kusoma degree kwa njia ya mtandao

    Habari! Nina Diploma in Clinical Medicine, GPA 3.4 ninahitaji kujiendeleza kwa level ya degree lakini sina uhakika wa kusoma full time. Nilifikiria kusoma Open University Bachelor of food Nutrition and Dietetics lakini vigevo vyao vya kuchaguliwa ni GPA kuanzia 3.5 ambayo sina. Je, kuna...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwa Mbowe: Jipange, 2025 ni wakati wako

    Kamanda Freeman Aikael Mbowe tayari una-stronghold mbili za kisiasa: Kaskazini na Nyanda za juu Kusini. Kanda ya ziwa ka-boost kidogo Mama kashalegea. Pwani hawaeleweki. Wewe kwa sasa ni above 60 na umekomaa na kuiva haswa kwenye siasa za mapambano na uongozi. Kuna options mbili: Either CCM...
  7. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Ushauri; Uwiano Wa 30:10:3:1 Ni Kanuni Inayotumika Kununua Nyumba Za Kupangisha Zenye Faida Mikoani

    Kununua nyumba ya uwekezaji linaweza kuwa jambo rahisi sana wakati ambapo una mtaji fedha wa kutosha kununua nyumba unayotaka. Lakini kuuza nyumba ambayo huitaki inachukua miezi mingi mpaka miaka kadhaa. Kwa kutumia kanuni hii ya uwiano ninakuonyesha jinsi unavyoweza kununua nyumba ya uwekezaji...
  8. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Ni heri ununue kitu cha gharama ndogo sawa na pesa yako kuliko kununua kitu mikononi mwa mtu. Unaualika umaskini ukutawale zaidi

    Habari! Nimejisikia kutoa ushauri katika jambo hili la kiuchumi. Kutokana na hali za maisha watu hujikuta wakinunua vitu vilivyotumika almaarufu used. Vitu kama sofa, simu, computer, baiskeli, gari, pikipiki n.k ili tu waendane na wakati au waendane na marafiki zao. Kwa kufanya hivyo hutatui...
  9. Aaliyyah

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nawezaje kuishi nao vizuri?

    .....
  10. Yericko Nyerere

    JamiiForums Tanzania Pamoja na Msimamo wa Tanzania kuhusu Urusi vs Ukraine; Ushauri wangu kukabili matokeo

    Baada ya Mataifa makubwa dunia Marekani na Ulaya kuamrisha Afrika iseme msimamo wake na ilaani oparesheni ya Urusi huko Ukraine. Tanzania imetoa kauli ya kwamba sisi HATULAANI, wala HATUUNGI MKONO vita hivyo. Tunachoshauri ni meza ya majadiliano tu. Tanzania ni mwanachama wa kikundi cha nchi...
  11. Carnivora

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nataka kuacha kula wanga kwa mwaka mzima

    Habari wana jamvi. Kijana wenu nikiwa na umri wangu wa miaka 33 kamili, nimedhamiria kwa hiyari yangu mwenyewe, bila kushurutishwa wala kushawishiwa na mtu yeyote; kuacha kula kabisa vyakula vyenge wanga. Vyakula vyenye wanga kwa wingi ni kama mahindi, mpunga, mihogo, viazi, magimbi, ngano...
  12. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Rais Samia: Kuliko kusitisha rasmi mchakato wa Katiba Mpya ni bora ungeuanzisha uendelee walau kwa muda mrefu

    Baada ya jana kupokea ile taarifa ya KAMATI ambayo KWA mawazo yangu wanakamati wameandika kile unachopenda kusikia na kukiona nikaona ni bora nikuandikie KWA mara nyingine KWA mstakabali wa afya ya siasa zako Baada ya kushika hatamu. Ni bora jana ungezindua rasmi mchakato wa katiba mpya na...
  13. V

    JamiiForums Tanzania Ni ipi biashara inayolipa vizuri kati ya zifuatazo?

    Kwa mtu mwenye mtaji wa Tsh. milioni 11 afanye biashara ipi kati ya zifuatavyo itakayomlipa maeneo ya Arusha? 1. Hardware(cement,white cement, gypsum biard+powder, mikanda ya gypsum+screw, paints, squire pipe,nondo) 2. Home appliances (Tv, fridge, radio, blender, rice cook) 3. Vifaa vya...
  14. Below 40

    JamiiForums Tanzania Random advice thread. No specific topic toa ushauri wowote

    Toa ushauri wowote haijalishi ni kielimu,biashara,mahusiano au michezo. Chochote unachohisi unaweza kuwa ushauri mzuri toa.
  15. Palina

    JamiiForums Tanzania Wa mama mijengo sometimes muwe na huruma

    copied but ni real life story
  16. jerryempire

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa biashara ya kuagiza vitu China

    Habari, Nimepitia kwenye mitandao mingi kama ebay, aliexpress na mingineyo ya kuagiza vitu toka China hivyo kuwa interested na kujaribu kuanza biashara hii. Ombi langu ni ushauri/uzoefu/changamoto, ni biashara gani/bidhaa gani zinalipa kwa sasa kuanza nazo,ninatarajia kuuzia zaidi online...
  17. heartbeats

    JamiiForums Tanzania Ushauri gani ambao ulishawahi kupewa na Mzazi wako kuhusu mahusiano?

    Wakuu, Binafsi mimi wazazi wangu wote walishanipa ushauri japo ilikuwa kiutani Ila meseji ili delivery Kwa wakati tofauti, Father alishawahi nishauri mambo machache kuhusu mahusiano/wanawake 1. Katika kabila letu LA kaskazini kule kuna watu wa mahala fulani kaniambia nisioe huko hata kwa...
  18. Sodium 23

    JamiiForums Tanzania Ushauri nataka kusoma certificate in business management au accounting

    Asalam Aleykum wanajukwaa! Mimi ni mhitimu wa shahada ya elimu katika masomo ya Sayansi (Bachelor of education in Science). Nimetafakari kuhusu kujiendeleza kielimu kwa ngazi ya masters degree nikaona hakuna ulazima wa kufanya hivyo kwa sasa. Nmeamua kujiendeleza katika maeneo tofauti ya...
  19. F

    JamiiForums Tanzania Nipeni ushauri wadau

    Wakuu, Leo ni Ijumaa? Kama kawa nimetoka..nipo na Pic kali nakumbukia ujana. Kama kawaida yangu napiga bia zangu za buku sh tano...ila pic I napiga savana. Pic ishakunywa kama savana 4 afu tushapata mbuz choma yaani mambo ni fresh...ila muda huu kuna savana mbili zimekuja mezani..sijajua...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Kubadili mfumo wa gari ili litumie gesi

    Nilipewa elimu kuwa ukitaka kupunguza gharama ya matumizi ya gari basi ni vema ukaibadili na iweze kutumia mfumo wa gesi. Nikaelezwa kuwa ukijaza gesi ya Tshs. 17,000 unaweza kusafiri kilomita zaidi ya 200. Nimefanya mahesabu kati ya matumizi ya mafuta na kila kukicha bei yake inapanda na...
Back
Top Bottom