Kwanza kabisa niipongeze Kampuni ya ITV kama channel pendwa. Niwashirikishe changamoto inayoikabili ITV.
Kipindi cha taarifa ya habari ni kipindi muhimu sana kwanza inatazamwa na karibu wananchi wote wa Tanzania na Afrika Mashariki lakini baadhi ya watangazaji hawaitendei haki kipindi hiki...
Salaam wakuu,
Nimefanya kazi huku mjini kwa miaka10 saivi. Bado sina ndoa japo umri unaruhusu kufanya hivyo. Huku mjini sijafanya uwekezaji wamaana kutokani na changamoto za gharama za maisha kuwa juu.
Nahisi nalipa kodi kubwa kuliko watanzania wenzangu wakijijini kwani huku mjini kila ikianza...
Watu wa Soka,
Naitwa Hussein Massanza. Ni Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano; Pia Afisa Habari na Msemaji wa Singida Big Stars FC (zamani DTB FC).
Timu yetu imefanikiwa kupanda daraja na kufuzu kucheza Ligi Kuu kuanzia msimu ujao wa 2022/2023, hivyo nitumie fursa hii kuwashukuru mashabiki...
Habari wana JF wote,
Nyumbani kwangu huwa kunatokea matukio ambayo mimi nayaita ya ajabu kwani kuna mtu nisiyemfahamu anajisaidia haja kubwa pembeni kabisa ya nyumba yangu sasa sijui anakuwa na lengo gani.
Sasa nataka nijue kama anafanya ulozi au nini! Na kama ni ulozi nini itakuwa dawa ya...
Habarini za wakati huu wana JF
Mimi ni mhitimu wa chuo kikuu nina miaka takriban mitatu mtaani sjabahatika kupata ajira so nikawa najichanga changa kwenye mambo yangu nikapata kama 2.2 M nikafungua kigrocery mtaani sasa kinachonisibu asee yan nakopwa so mchezo hadi msingi umepungua sana.
Of...
Hello JF members,
Ilibaki kidogo tu nijiengue ndani ya JF baada ya kupondwa na wengi kuhusu tatizo langu lililousumbua moyo wangu, lakini ntafanya nini, sikuwa na mtu wa kumlilia, ndo maana niliamua kuanika dukuduku la moyo wangu kwenu nikiamini ningepata kutiwa moyo, lakini ilikuwa tofauti...
Kwanini unakuta baadhi ya wadada tunahasira sana sio wavumiliaji,? Tunawasiwasi wa kuachwa na kuattact wapenzi wetu tukihisi kwamba wanachepuka au kutuacha?
Hivi tatizo nini??
Habarini Ndugu zangu,
NAHITAJI MSAADA WENU KATIKA HILI
1. Ninapata changamoto hii ya suala zima la ANUWANI SAHIHI ya kujazwa kipindi natuma maombi ya kazi katika mfumo wa ajira portal. Mfano kuna baadhi ya post nafasi za kazi unakuta umeandikiwa moja kwa moja anuwani ya kuwasilisha maombi yako...
Maisha yanakwenda kasi mno, speed ambayo hata wewe inafika mahala unakosa utambuzi. Maisha mazuri na bora ndio lengo la kila mmoja hapa kwanzia tukiwa wadogo ndio wiimbo tumesikia mpaka sasa tumeshakua tunapata na nguvu ya kujituma kuyatengeneza. Muhimu kama kijana;
1. Hakikisha umeweka pesa...
Habari zenu wakuu,
Naomba kupata ushauri kuhusu biashara ya viatu Dodoma, mimi kwa kweli nina laki 4 tu. Kwa mawazo yangu nilitaka nipate mtu mwenye uelewa mzuri na hii biashara hasa anaefanya hiyo biashara Dodoma nifanye Naye kazi hata kwa kujitolea tu Ili nipate uzoefu wa kuanza kazi.
Naomba...
Asalam wana jamii! poleni na majukumu ya hapa na pale!
.
Niende moja kwa moja kwenye hoja!
.
.
Ukisoma nyuzi nyingi za hapa jamii forum zinawaongelea vibaya sana wanawake ambao wameajiriwa na kuwa wake za watu!
.
Ushauri wangu ni kutaka kupata kutoka kwenu mnaongeleaje hili swala, je ni sahihi...
Wakuu Jana Prof Sospeter Muhongo amechangia Kwenye Bajeti ya Nishati na kutoa ushauri ufuatao:
(1) Ukuaji wa uchumi wetu uendae na upatikanaji wa umeme mwingi na wa bei nafuu
GDP/Capita:
*US$ 3,000 na MW 10,000 -15,000
*US$ 1,500 na MW 5,000
(2) Tuwe na Vyanzo vingi vya uzalishaji wa umeme -...
Wakuu, habari zenu,
Samahan mimi nipo Mwanza nina juice bar naona hapa biashara kidogo imekua ngumu nawaza kuhamia mji mmoja kati ya Katoro au Kahama,
Naombeni ushauri kwa wenyeji wapi panafaa zaidi kwa biashara hyo na urahisi wa kupata eneo na matunda, pia aina ya watu sehemu izo,
ASANTENI
Nillelewa na mama baada ya baba kufariki nikiwa mtoto mchanga. Kwa hali hiyo Nilisomeshwa na wasamaria wema.
Nilipokuwa nasoma college nilikuwa nanjibana sana namtumia mama yangu 35% ya kila mkopo wa kujikimu, yaani boom. Nilifanya kazi za zege ili pesa nitakayolipwa nichanganye na kiasi cha...
Kitu mapenzi haina formula;
Usisikilize ushauri wa mtu hata kama ni nani!
Fanya mapenzi yako kwa style yako!
Chimbuko kubwa la anguko katika mapenzi ni kufurahisha au kusikiliza maoni ya watu!
Ukipenda kusikiliza story za rafiki yako anavyochepuka ni rahisi sana kuchepuka! hivyo ACHA...
Sisi wamiliki wa vyombo vya moto, tumekuwa wazito sana kulipia vyombo vyetu Bima(third party).
Hasa Mikoani.
Ushauri:
Kama ilivyo kwa iliyokuwa Road License, third party iingizwe kwenye mafuta, hii itasaidia sana.
1) Serikali itaachana na mambo ya Agency
2) Haitawaumiza walipaji (they won't...
Habari zenu wakuu! Nina elimu ya diploma ya Mining Engineering, nina uzoefu wa miaka minne (nimeshafanya kazi kwenye mining lab, quarry na small scale mines).
Mwenye connection za kazi migodini, tafadhali naomba tuwasiliane kupitia 0622614105, hata mwenye ushauri au mawazo napokea!
NB...
Wakuu habari za muda huu!
Baada ya kukaa nyumbani muda mrefu nikifanya kilimo cha kutegemea mvua, mwaka huu kilimo kimeniangusha sana na hata miaka iliyopita mara zote mavuno yalikuwa tofauti na matarajio hivyo nimeamua kuachana na kilimo kwani sioni hatima ya maisha yangu ikiwa tofauti na ya...
Habari wakuu.
Kama heading inavyojieleza, naomba ushauri kuhusu simu ninayoweza kuipata kwa bajeti isiyozidi laki saba na nusu (750k)
Binafsi ninapendelea brand ya samsung na xiaomi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.