ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    JamiiForums Tanzania Kuna kitu kimoja kinanisumbua nahitaji ushauri

    Nina uwezo wa kupenda wanawake wengi sana hata 500 kwa pamoja, na nikishampenda mwanamke yeyote, hakuna kitachofanya niache kumpenda. Hii inaonekana nzuri lakini inaniletea tatizo moja, hata wanawake niliowahi kuwapenda nikiwa na miaka 9, licha ya kuootezana kwa muda mrefu bado nawapenda Hata...
  2. JamiiForums Tanzania Watu hudhania kila mzee ni wa kuomba ushauri na guidance, wengi wao wanaweza kuchefuka na hatua kubwa uliyopiga ambayo wao katika umri huo hawakugusa

    Roho mbaya ikizeeka haikauki. Anaweza tu kukuona umewazidi maendeleo watoto wake haina budi kukuelekeza shimoni.
  3. JamiiForums Tanzania Naomba Ushauri kununua Google pixel kati ya 3 au 3a xl

    Wakuu ipo hivi 3 plain wanauza 250k used from Dubai hapo protector na cover free. Lakini kuna pixel 3axl hii ni used Tanzania na jamaa ambae anauza alinunua kwa mtu ambae alikuwa anafanya top up Kwa wale wa taalamu wa pixel be nichukue maamuzi Gani?
  4. JamiiForums Tanzania Nifanyaje niache kubeti?

    Guys naombeni ushauri unaofaa nimekua mraibu wa kubeti mpaka Sina Tena marafiki, Nina madeni mpaka kausha damu, mkewangu anataka aondoke aniache, Nina watoto wanne na wanasoma, mwaka jana tu kidogo watimuliwe shule kwa kukosa ada. Nikakomaa miezi mitatu bila kubeti ila imeshindikana nimeanza...
  5. JamiiForums Tanzania Mwenye kuzifahamu hizi saa namba ushauri

    Casio ABL-100WE
  6. M

    JamiiForums Tanzania Polisi inafanya uchunguzi kutokana na taarifa ya Hilda Newton aliyochapisha kuwa Serikali imepanga kumuua Lissu kwa Risasi

    TAARIFA KWA UMMA Jeshi la Polisi linaendelea na uchunguzi wa kukusanya ushahidi kutokana na taarifa ya Hilda Newton aliyochapisha na kusambaza katika Mitandao ya Kijamii tarehe 10.4.2026. Taarifa hiyo ilikuwa inasema pamoja na mambo mengine kuwa, Serikali imepanga kumuua Mhe. Lissu kwa risasi...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Kuna ushauri ninauomba kutoka kwa baadhi ya watu wenye busara

    Mimi nipo mkoa Y, na Kuna mwanamke X ninampenda sana. Nimefanya sehemu yangu kumuelezea jinsi ninavyompenda na akakubali. Baada ya hapo nae niliona ameanza kunielewa akawa ananitafuta kila mara kunisalimia nami nikawa najituma kwake kwa namna fulani Lakini huyu mwanamke X baada ya muda mrefu...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Madereva wa serikali naombeni ushauri hapa.

    Mwenzenu Mimi ndo natarajia kuanza veta lengo likiwa kupata cheti Cha mafunzo ya udereva hatimae nikamalizie na NIT.Lengo ni kuingia serikalini kupitia driving kwahivyo wale madereva wazoefu mlioko huko,wale mnaohusika na kada ya usafirishaji serikalini naombeni ushauri katika Hilo aidha...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa chadema wakae na Rais katika ufumbuzi wa Tundu lissu

    Hivi sasa uendeshaji wa dunia umebadilika. UNO ipo lkn kama mpitishaji wa ajenda za USA ICC ipo lkn haiwezi kuikosoa Isreal. Vipo vyombo vya habari vikubwa kama bbc , CNN lkn vyote hivyo huvisikii kumkosoa Trump. Yaani hivi sasa dunia inavyoendeshwa kama inaendeshwa na watu na sio mihimili...
  10. JamiiForums Tanzania USHAURI: walimu tumieni kishikwambi kukuza ndoto za wanafunzi

    Walimu hasa mlioko vijijini. Najua hali ya ufundishaji ni ngumu lakni hakuna namna, komaeni na hizo kishikwambi angalau kukuza ndoto za vijana mfano kuna Dj arts, kuchora, kuimba nk. Ila zinakufa na walimu wameshikilia hizo vishikwambi mikononi wengi wakizitumia kwa kuangalia movie na...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa Speakers & Mic(Sound system) naomba ushauri wenu tafadhali

    Nahitaji Speaker na Mic mbili zile zinazotumika sana kuhubiria Injili barabarani(mitaani). Naomba mnishauri ni aina(brand) ipi ina ubora wa sauti, portable na sifa nyingine muhimu za ziada. Natanguliza shukrani 🙏
  12. JamiiForums Tanzania Naombeni Ushauri

    Jamani kuna binti alikua mpenzi wangu sasa kuna siku nilienda kwake nikafanya yaliyonipeleka nilikua nimevaa boxer mbili moja kama bukta zile za juu na ya ndani ya polyester ya kubana Sasa ile boxer ya juu bahati mbaya nilisahau kwake na nilivyomuuliza kataja mpaka jinsi ilivyo lakini anasema...
  13. JamiiForums Tanzania Ushauri gani UNAIPA nafsi yako, wakati huu?

    Binafsi Nashukuru 🙏🏿, sasa USIHOFU, kaza!
  14. U

    JamiiForums Tanzania Ushauri Kocha wa Yanga hana sifa atafutwe kocha mwingine

    Amekosa mbinu za ushindi, Yanga haikabi wala haina kasi kama zamani Nashauri atafutwe Kocha mwingine haraka i ukweli hana uwezo kuivusha timu na ni Muda muafaka aachwe
  15. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa watu ambao pombe zinawatesa na wameshindwa kabisa kuacha kwa kila mbinu.

    Kuna mbinu mbalimbali wanapewa watu ambao wanataka kuacha pombe. Mfano wa hizo mbinu wanazopewa lakini mwisho wa siku wanarudi kulekule ni hizi. 1)Kupunguza kiasi cha unywaji. Hapa ushauri wanaopewa ni kupunguza idadi ya pombe au siku za kunywa pombe. Mfano kama alikuwa anakunywa bia 10 kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Trend mpya Instagram: Wadada wengi wa mjini wamegeuka washauri wa maisha wakiwa ndani ya magari yao wakirekodi video

    Siku za hivi karibuni nimekuwa nikiona trend fulani kwenye Instagram ambayo inanifanya nijiulize maswali mengi. Wadada wengi wa mjini, hasa wale wenye magari yao, wameanza kujirekodi video wakiwa ndani ya magari wakitoa ushauri wa maisha. Ukiangalia kwa makini, karibu kila siku utaona clip ya...
  17. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa walio Chuo Kikuu na vyuo vya kati GPA matters

    Wadogo zangu ambao bado hamjamaliza Please msicheze vyuoni mpate ufaulu ambao ni mzuri yaani GPA kuanzia 3.5 inakua nzuri kwako hata kama utaajiriwa na mtu au taasis ambayo haitaki GPA kubwa. Kwa Tanzania na Population yake wasomi wamekua wengi na ili kupunguza michujo mingine ndo inafanywa kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Kununua ardhi halafu huna pesa ya kujenga ni ujinga, Bora hiyo hela ufanyie biashara

    Kuna jamaa alikua ana milion 5 zake akakimbilia kununua kiwanja mwaka jana halafu hela ya kujenga hana Sasa hivi anateseka Hivi Hawa watu wana akili timamu acheni ujinga fanyeni biashara ardhi ni hasara Kwa mtu unaejitafuta huyu jamaa sa sa hivi kachoka njaa imemjaa hela zake katupa ardhini
  19. JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa ushauri wa kisheria juu ya mgogoro huu wa ardhi

    Habari ndugu zangu. Kuna ndugu yangu ana nyumba huko Mbezi Msakuzi. Leo wameitwa na mwenyekiti wa mtaa na kuelezwa kuna mtu amekwenda ofisini kwake akamueleza anaomba ampatie barua ya kufufua mipaka ya eneo lake. Kwa maelezo ya mwenyekiti, mama huyo anadai mumewe alinunua eneo mwaka 1989 na ana...
  20. JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri kuhusu kushea biashara na mtu

    Nimepata mdau ameniomba aweke mtaji kwenye ofisi yangu kesho ndo nataka nikamsikilize. Ila ni kuongeza bidhaa ofisini Mm plani yangu ni kama ataongeza mtaji basi nilitaka nimwambie mtaji wake tuweke kwenye simu ndogo za batani radio za kuchajisha na sabufa zisizo zidi Bei ya 120 Na bidhaa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…