ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. itakiamo

    JamiiForums Tanzania Ushauri / Ujumbe kwa JWTZ

    NAPENDA KUWASILISHA MAPENDEKEZO KUHUSU JINSI JWTZ INAVYOWEZA KUREJESHA NA KUIMARISHA IMANI YA JAMII KUPITIA MAUDHUI YA FILAMU NA TAMTHILIA (MOVIES/SERIES). Kwa kuzingatia nafasi kubwa ya sanaa katika kuelimisha na kuunganisha jamii, napendekeza JWTZ itengeneze series mbili hadi tatu zenye lengo...
  2. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Natoa hapa ushauri kuhusu misumari ya bati

    📌 𝐔𝐬𝐡𝐚𝐮𝐫𝐢 𝐰𝐚 𝐊𝐢𝐭𝐚𝐚𝐥𝐚𝐦𝐮: 𝟏️⃣ 𝐔𝐤𝐢𝐭𝐮𝐦𝐢𝐚 𝐦𝐢𝐠𝐨𝐧𝐠𝐨 𝐦𝐢𝐩𝐚𝐧𝐚 𝐚𝐮 𝐦𝐚𝐛𝐚𝐭𝐢 𝐲𝐚 𝐦𝐟𝐚𝐧𝐨 𝐰𝐚 𝐤𝐢𝐠𝐚𝐞, 👉 𝐭𝐮𝐦𝐢𝐚 𝐦𝐢𝐬𝐮𝐦𝐚𝐫𝐢 𝐲𝐚 𝐭𝐫𝐞𝐝𝐢 (𝐢𝐧𝐚𝐳𝐮𝐢𝐚 𝐤𝐮𝐯𝐮𝐣𝐚 𝐧𝐚 𝐡𝐮𝐬𝐡𝐢𝐤𝐢𝐥𝐢𝐚 𝐯𝐢𝐳𝐮𝐫𝐢). 𝟐️⃣ 𝐔𝐤𝐢𝐭𝐮𝐦𝐢𝐚 𝐦𝐢𝐠𝐨𝐧𝐠𝐨 𝐦𝐢𝐝𝐨𝐠𝐨, 👉 𝐭𝐮𝐦𝐢𝐚 𝐦𝐢𝐬𝐮𝐦𝐚𝐫𝐢 𝐢𝐬𝐢𝐲𝐨 𝐲𝐚 𝐭𝐫𝐞𝐝𝐢 𝐤𝐰𝐚 𝐦𝐚𝐭𝐨𝐤𝐞𝐨 𝐛𝐨𝐫𝐚. fundi kupaua 0 7 4 3 2 5 7 6 6 9 kama unataka mbao Za dawa nipigie...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Naweza kuanzisha biashara gani kwa mtaji wa Milioni 5 kwa mwaka 2026?

    Naweza kuanzisha biashara gani kwa mtaji wa M5 na ikawa na mwanzo na muendelezo mzuri kati ya hizi 1. Soft drinks 2. Nafaka Pia kwa mwenye ushauri wa biashara nyingine tofauti na hizo kwa mtaji wa M5 Mkoa ni MWANZA Natanguliza shukrani
  4. Q

    JamiiForums Tanzania Samia angekubali ushauri wa Lissu asingepata fedheha anayoipata leo

    Samia alikuwa na nafasi nzuri ya kujijengea heshima mbele ya Taifa na mbele ya Mataifa kama angekubali ushauri aliokuwa akipewa na watu mbalimbali akiwemo Lissu wa kuahirisha uchaguzi na kufanya reforms. Watanzania walikuwa tayari kwa reforms hata kama uchaguzi ungeahirishwa kwa miaka miwili...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa kupata usingizi mchana

    Tafadhali husika na mada apo juu mm ni muungwana ambae natamani kupumzika mchana siku nikiwa sina pirika ila naishia tu kukaa kitandani bila kupata usingizi hii hali inanisumbua sana ila usiku nalala vizuri tu hii imekaaje wakuu
  6. Beberu Mwitu

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu kituo kizuri cha kujiandaa kurudia mtihani wa Kidato cha Sita

    Natumaini kila mmoja wetu hapa yupo na siku nzuri kabisa; Nimekuja kwenu asubuhi hii ili kuomba ushauri wa mambo ya kielimu; hasa kurudia mtihani wa kidato cha sita. Kitaaluma mimi ni mwalimu wa ngazi ya cheti, pia nilisoma kidato cha sita mwaka 2014 mchepuo wa PCM. Sikufanya vema...
  7. Bob Manson

    JamiiForums Tanzania Maombi ya ushauri wa kitaalamu kuhusu wazo la biashara

    Habari zenu waungwana, nawasilisha wazo langu la kibiashara ili nipate mawazo Kwa wazoefu na hata wasio wazoefu wa biashara hizo, lengo ni kujifunza na kupata mawazo ya wengine. Nina wazo la kuanzisha biashara zifuatazo: 1. Ninunue pool table jipya na niweke sehemu ambayo tayari...
  8. Meneja CoLtd

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Namna ya kuposa Binti Mkristo Mimi Muislamu

    ‎Habari zenu! Mimi ni muislamu nataka kuoa binti Mkristo Mzaliwa wa Huko Gairo, Naomba nisaidiwe taratibu za huko za kuandika barua ya posa zipoje? mana nataka niende Wiki hii.
  9. MIHULU

    JamiiForums Tanzania Ushauri unahitajika, asome degree ipi?

    Wakuu kwema!.. ushauri unahitajika tafadhali degree ipi Bora kati ya 1. Bachelor of education in special Education (BED SB) 2. Bachelor of Law (LLB) NB Msomaji tayari ni muajiliwa idara ya Elimu secondary.
  10. co fm

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu huyu mdogo wangu mkopo wa milion 100

    Hello wadau, poleni sana na majukumu ya kulijenga taifa. Ipo hivi mimi nina mdogo wangu mwaka jana alipata mchongo kwenye taasisi moja hivi na wanamlipa vizuri sana like 4m kwa mwezi na tena bado ni mdogo sana ni miaka 26 tu. Juzi kaja home nikawa namuulizia habari za kazi akawa anipa stories...
  11. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Gwajima wataje watekaji badala ya kujibaraguza na kutafuta kiki kwa uchawa na utapeli

    Ukimsikiliza vizuri askofu uchwara wa kujipachika Josephat Gwajima, unashangaa. SIku hizi, amendandia hoja iliyotaka kumzamisha ya utekaji. Anasema hapendi utekaji kana kwamba kuna mtu mwenye akili zake anayeupenda ukiachi wauaji wetu . Kinachoshangaza ni kusema eti serikali na vyombo vya...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri: iitwe Tume ya Maridhiano na Muafaka wa Pamoja wa Kitaifa

    Heri ya Mwaka mpya 2026 kwa kila mmoja, Mungu awe pamoja na kila mmoja kwa mwaka mzima. Katika hotuba ya Mhe.Rais ya kuaga mwaka 2025 na kukaribisha mwaka 2026 alizungymzia suala la kuanzisha TUME YA MARIDHIANO YA KITAIFA mwaka 2026. Niungane na wote waliopongeza hotuba hiyo iliyojaa matumaini...
  13. Bullshit

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa App zangu huzi

    Habari jf Nisiwachoshe sana Mimi ni non-code Developer na hizi hapa ni App zangu zilizokamilika Chini ya 50%. Nilizotengeneza kutoka Loveble Fanya kupitia Apps hizi na toa ushauri wako https://linkdash.lovable.app https://linkinn.lovable.app https://golink1.lovable.app...
  14. Kazanazo

    JamiiForums Tanzania Baada ya NRNE chini ya Lissu na maridhiano chini Mbowe kufeli huu ndio ushauri wangu kwa Chadema

    Ni ukweli usiopingika kuwa hizo mbinu zote mbili zilizotumika katika vipindi tofauti katika uongozi wa mwenyekiti Mbowe na Lissu zote zimeangukia pua baada ya kushindwa na mbinu za ccm za miaka yote. Hadi sasa madai yote ya chadema hakuna hata moja lililotekelezwa hasa Yale yanayohusu uchaguzi...
  15. Hustler_

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri biashara ya uwakala(M-PESA, tiGO Pesa nk)

    Habari zenu wana jamvi, Mimi naishi Dar es salaam lakini nataka kufungua vibanda viwili vya uwakala niwe na yas, Airtel money na mpesa kwasababu wilayani kwetu mwanza mtaani Kuna uhaba sana Lengo langu niwe na vibanda viwili wilaya nzima maeneo tofauti tofauti na mimi nikiwa huku huku Dar...
  16. The Eric

    JamiiForums Tanzania Nauza Spare za Bajaji na Pikipiki Jumla kwa bei ya Jumla, natoa ushauri pia

    Hello Jf Spare zote za Bajaji na pikipiki kama ↔️ tyre Rim Bush Bearings Plugs Engine mount Block Piston and Rings Valve Cylinder head Brake shoe Master brake Rubber Brake Shock ups cable gear clutch plates na center yake Maker etc Pia tunauza lubricants na oil za jumla.
  17. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Ushauri Kwa Serikali Yetu, Ili Kuisafisha Tanzania Kimataifa, Tumieni Dekio la Scapegoat Mop, Kusafisha Madoa ya Damu ya October 29!.

    Wanabodi, Huu ni muendelezo wa ushauri wangu kwa serikali yetu, anzia hapa Ushauri kwa Serikali: Tangazeni hata idadi ya uongo ya waliofariki. Gazeti la “The Sun” limeiita Tanzania HOUSE OF BLOOD Ili kuisafisha nchi yetu Tanzania Kimataifa, dhidi ya kadhia ya kile kilichotokea kwenye yale...
  18. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwa Mariam Uswazi

    Ushauri wa bure kwa mwanadada mpambanaji na kwa kiasi fulani ana pesa za hapa na pale Mariam Uswazi. Mariam kwa alipofikia akubali tu kumuajiri designer wa nguo maana comments za kumponda zimekuwa nyingi mno. Mariamu yupo rough sana , hajui kupangilia nguo yani vululu vululu muda wote...
  19. Mzee Kigogo

    JamiiForums Tanzania Ushauri ushauri Kuhusu RAV4 1st Gen aka Mkulima

    Hii gari imekaaje wataalam wa magari maana mwaka ujao nataka nivute hii chuma. Kati ya Automatic ama Manual gear ipi ina fuel consumption nzuri na pia ipi nzuri kwa masafa hasa sehemu korofi. Nimeambatanisha na picha
  20. TZ-1

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bidhaa ipi ni bora katika ku skimu ndani na eneo la copro(dirishani)

    Hbr wajenzi. Baada ya kumaliza kuchapia/plasta ndani na copro naomba kujua bidhaa gani ni bora kwakuw skimu lakin pia nakarbisha fundi aje inbox tuelewani kazi _ location saiti ilipo ni KIBAHA -kongowe Coral decor Wallputy Gypsum power Na unazo zijua nyingne, napenda kujua na bei elekezi pia...
Back
Top Bottom