Naomba Ushauri kununua Google pixel kati ya 3 au 3a xl

Naomba Ushauri kununua Google pixel kati ya 3 au 3a xl

Burn the bridge _Tz

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2021
Posts
2,240
Reaction score
6,608
Wakuu ipo hivi 3 plain wanauza 250k used from Dubai hapo protector na cover free.

Lakini kuna pixel 3axl hii ni used Tanzania na jamaa ambae anauza alinunua kwa mtu ambae alikuwa anafanya top up

Kwa wale wa taalamu wa pixel be nichukue maamuzi Gani?

Screenshot_20260430_202203.jpg
 
3axl ni nzuri ina resolution kubwa chaji inatunza inafaa kwa kuanzia
 
Back
Top Bottom