Nifanyaje niache kubeti?

JimCarrey

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
231
Reaction score
151
Guys naombeni ushauri unaofaa nimekua mraibu wa kubeti mpaka Sina Tena marafiki, Nina madeni mpaka kausha damu, mkewangu anataka aondoke aniache, Nina watoto wanne na wanasoma, mwaka jana tu kidogo watimuliwe shule kwa kukosa ada. Nikakomaa miezi mitatu bila kubeti ila imeshindikana nimeanza tena, hii hali itanimaliza.
 
😁😁😁Hii haihitaji ushauri niwewe mwenyewe kuamua kuacha
 
IMG-20260427-WA0082.jpg
 
Nyie wengine mnakwama wapi wakati wakamaria wenzenu wanatuonesha mafanikio yao ikiwemo mijengo waliyovuna kupitia betting? Eg Mbunge wa Kigoma Mjini.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom