Tumbili in town
JF-Expert Member
- Jun 20, 2025
- 354
- 523
Casio ABL-100WE
Sawa broNgoja wajuzi waje
Hapana hii ni ya bluetooth ina stepcounter unconnected na simu zimeanza kutengenezwa 2024Saa ya kitambo now day wamebolesha nakumbuka primary nilikuwaga nayo ya sirver
Yes nimetoka kozi
Karibu tena kwa jamvi.Yes nimetoka kozi
Asante sana secretary bird 🐦Karibu tena kwa jamvi.
ngoja ni Google,,,Casio ABL-100WEView attachment 3578726View attachment 3578727
🤝Asante sana secretary bird 🐦
Sawa , uniambie kati ya hii au xiaomi smart band 10 ipi borangoja ni Google,,,
WameboleshaHapana hii ni ya bluetooth ina stepcounter unconnected na simu zimeanza kutengenezwa 2024
izo saa kama huna utundu itakushinda kuseti , mm nishasahau mkuuCasio ABL-100WEView attachment 3578726View attachment 3578727
NaamWamebolesha
Unaset kwenye app yake ukiconnect na simu nataka nijue ni nzuri ili ninunueizo saa kama huna utundu itakushinda kuseti , mm nishasahau mkuu
Xiaomi smart band 10 ikoje kwa muonekano wakeSawa , uniambie kati ya hii au xiaomi smart band 10 ipi bora