Nipeni ushauri: Haya mahusiano na mtoto wa kigogo yananitesa

The dumb Professor

JF-Expert Member
Dec 10, 2023
660
1,391
Wataalam,

Nimekuwa kwenye mahusiano ya takriban miaka mi3 Sasa na huyu Binti mmoja mtoto wa Kigogo mkubwa hapa Tanzania.

Kusema kweli Binti ananipenda na Mimi nampenda sana. ila changamoto imekuja hapa baada ya kutaka kufikia hatua ya ndoa.

Ni kwamba Binti nilikuwa nakaa naye nyumbani kwake (amejengewa kasiri la kifahari na baba ake) na mda wote Kuna ulinzi wa kutosha plus popote aendapo Kuna walinzi na watu wa usalama hutufuata.

Shida Inakuja Sasa, mwaka Jana Binti alipata kazi Uingereza, kazi iko tight na kwa ratiba ikaonekana tutakuwa tunaonana anapopata likizo mara moja kwa mwaka.

Mimi nikataka kumfuata niishi naye huko lakini yeye na wazazi wake wakakataa kwamba inabidi nibaki bongo nikisimamia miradi lukuki ya Binti.

Ni sawa naishi maisha ya kifahari, naendeshwa kwenye Magari makubwa nilivyokuwa nayaona kwenye movie tu, na nikimuoa nitapewa mpaka walinzi wa kuandamana na Mimi.

Tatizo lipo hapo, Yani Mimi sex kwangu itakuwa mara moja tu kwa mwaka akipata likizo, na siwezi kucheat maana mda wote nafuatiliwa na watu wa usalama.

Mnanishauri nifanyeje? Nimuoe Au niachane na huyu binti?
 
Asante.

giphy (1).gif

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Gonjera za tungo tata zako
 
Ungelikuwa unakujua huko uingereza hata usingeandika huu Uzi, ingelikuwa huyo bi mdash hajaondoka ningekushauri umwambie akupeleke vacation japo hapo Dubai lakini Basi wewe acha tu, tangu kidukulilo asepe zake marekani hatujawahi kupata mbadala wake umefeli big time wee bwege, unatunga vitu usivyovijua, hapo uingereza siku hizi unakwenda asubuhi unarudi jioni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom