Naomba ushauri tafadhali

Wisdon101

New Member
Feb 4, 2024
1
0
Nimesoma bachelor ya geography and environmental studies Ud, kisha nikataka kuhamia education lkn sikuwa na taarifa sahihi nikasoma masters baada ya kumaliza nikaambiwa inabidi nisome postgraduate mwaka mmoja ili niweze kufuzu kuwa mwalimu.

So nikaanza postgraduate ila nilivosoma nikawa vitu vingi sielewi especially curriculum sasa nikataka kuacha postgraduate nisome diploma ya education kabisa labda nitaelewa zaidi.

Hivyo nipo njia panda mpaka sasa naomba ushauri tafadhali kwa mana lengo ni nipate nafasi serikalini, kwenye education na pia nlitaka kusomea masomo ya science kama biology or chemistry so je kwene kusoma postgraduate nikimaliza naweza kupata nafasi serikalini au ni vema nianzie diploma kabisa?

Na pia napenda early child education lkn hii nilitaka kwa malengo ya baadae kufunguwa shule yangu na pia kama nitaisoma nifundishe hizi international schools private.

Tafadhali naomba ushauri kwa wenye uelewa zaidi kuhusu maswali haya. Natanguliza Shukrani sana.
 
Hujielewi.

Elimu haijakukomboa.

Na bila shaka hata huko ulipopita umepita pita kimazabe mazabe ,chabo kwa sana ,kukariri bila kuelewa.

Kwa kifupi wewe ni MPUMBAVU.
 
Back
Top Bottom