Naomba Ushauri: Naona kazi ya Ualimu inataka kunishinda

The dumb Professor

JF-Expert Member
Dec 10, 2023
660
1,401
Wataalam,

Nimeanza hii kazi mpya ila kidizaini kama naona maji yanataka kuzidi unga.

Naomba tu niwe muwazi kwenu kwa leo, kazi ninayofanya ni mwalimu wa chuo kikuu kikubwa hapa Dar na nchini (ingawa wenzangu hawapendi kujiita waalimu). Ninafundisha sanasana physics. multipurpose kuanzia Astrophysics mpaka Quantum mechanics.

On paper, qualifications zangu (PhD) zimenifanya niipate kazi kiurahisi, lakini kwenye field mambo naona ni magumu kwangu.

Changamoto nayopitia: Nina aibu sana.

Kuna wanafunzi wa kike wakikaa mbele hapa na sketi fupi wananichanganya sana akili yangu. Yaani kuna muda unakuta naelezea vitu kwenye whiteboard lakini nikiangalia kibinti kinanichekea nasahau hata nilikuwa naongea nini, nabaki tu nachekacheka pale mbele kama zoba.

Wanafunzi wakinikazia sana macho na kuniuliza maswali magumu natetemeka sana pale mbele.

Waalimu wenzangu mnawezaje kupambana na hii hali?

Kweli wanafunzi wa chuo wakorofi sana.😞
 
Waombe wadesign viti viwe hivi kama vya UDSM. Mtu akikaa mbele hauoni sket yake.

images (2).jpeg
 
Back
Top Bottom