Naomba ushauri: Ni taasisi gani inayotoa ufadhili kwa ngazi ya Diploma?

HAFIDH FADHIL

Member
Jan 20, 2020
9
5
Habari zenu wana JF.

Nilikuwa naomba ushauri/msaada. Kama kuna yeyote anaefahamu taasisi au sehemu wanayotoa ufadhili wa masomo kwa ngazi ya diploma kwa wale wasioweza kumudu ada.

Mimi ni kijana nimeomba chuo diploma ya afya lakini nimeshindwa kuendelea sababu ya ada.
 
Back
Top Bottom