Kama mnajua hamna chaji, ya nini kututia shombo?

KichwaBOGA

Member
Jun 28, 2020
15
33
Hivi kwanini mnajidhalilisha?

Iko hivi, kuna mkaka mmoja alinitoa..anaonekana dume six pack ila hamna kitu kwenye gemu.

Eti dakika 5 kashamaliza anahema ka mjusi hata hajielewi, akazima kabisa nikampepea akazinduka hawezi round nyingine.

Kama mnajua hamna chaji ya nini kututia shombo?
 
Nadhani ungempa ujumbe direct huyo mwanaume wako.
Maana wengine ni 35 to 45 ndio la kwanza. So usijumuishe wote
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Wee endelea kumpepea yaani hajazinduka vizuri unataka atikise nyavu?ndio maana kashindwa kumbe wewe ndo umefosi baiskel ibebe kontena
 
Mm kama mwanaume kamili naomba kutetea uanaume wetu kama huta jali.
Mm nipe tu game sitaki hayo mambo ya out
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom