Ushauri kwa Kambi ya Upinzani

Kichuguu

Platinum Member
Oct 11, 2006
15,555
19,428
Kambi ya upinzani ni nguzo muhimu sana kwenye bunge na kweny siasa za nchi kwa jumla. Sina uhakika kama CCM itaondolewa madarakani mwaka huu, ila ningependa kambi ya upinzani bungeni iimarike zaidi.

Sasa ili kuiimarisha ni muhimu wagombea wa upinzania wateuliwa kwa makini sana ili wawe ni watu wenye kutoa matumani badala ya kuwa watu wa kulaumu. Tatizo kubwa la CHADEMA kati 2010 na leo ni kuwa mwaka 2020 chama kile kilikuwa kinatoa matumanini sana, lakini leo kimekuwa ni chama cha kulaumu tu.

Ninaweza kuwapiga semina za kuendesha kampeini positive zinazotoa matumaini kuliko kampeni za kulaumu na kutisha watu tu. Wakiendesha kulaumu na kutisha watu, ni wazi hawataweza kupambana na CCM na watafutwa wote. Bunge letu bila upinzani ni hali ya kutia hofu sana.
 
Unarudia hayo hayo ninayoonya; hayawezi kuleta kura kwenye uchaguzi.
Angalau serikali ingejaribu kuweka mizani sawia kwa kiwango angalau alichojaribu Kikwete, Upinzani na kulaum kwao wangepata wabunge wengi sana.Na hata uraisi ungekuwa mgumu zaid ya 2015.

Lakini kwa maneno yale kuwa nikuteue halafu utangaze mpinzani ya mwenyekiti sa ccm sidhani kama hata wakishinda watatangazwa.
 
Back
Top Bottom