Bomu la Ajira litamlipukia Rais Magufuli

technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
12,499
50,988
Rais Jakaya Kikwete Pamoja na mapungufu yake mengi ya corrupt system aliyokuwa ameijenga lakini alifanikiwa kutoa Ajira kwa watanzania kila mwaka,kupandishwa madaraja kwa wafanyakazi kila mwaka,kupeleka wafanyakazi kusoma kila mwaka na mengine mengi.

Tanzania watu wanaingia kwenye soko Ajira kwa mwaka ni 800,000- 1000,000 .

1: Kila mwaka Kikwete alitengeneza Ajira rasmi serikalini kwa wastani wa 40,000 za Walimu Madactari,halimashauri na Wizarani.

2: Kila mwaka idadi ya watu walioajiriwa iliongezeka kwa mfano wakati anaingia mwaka 2005 serikali ilikuwa ikiajiri wastani wa wafanyakazi elfu 9,000- 12,000 kwa mwaka...

Lakini ameondoka serikali ina uwezo wa kuajiri wafanyakazi 40,000 kwa mwaka..

Sasa hivi mwaka unapita hata kupanda madaraja kwa wafanyakazi imeshindikana kisa uhakiki hivi uhakiki kwanini haufanyiki wa wakuu wa mikoa ,Wilaya na wakurugenzi na wakuu wa idala serikalini?..

Kichekesho na mshangao ni wakati serikali wapo kimya kwenye swala la Ajira

Serikali iko na upungufu wa walimu wa sayansi 25,000, madactari wa kawaida 7,000, madactari bingwa 1200 wauguzi 20,000 ..

Wakati huo kiwango cha wanafunzi wanaojiunga primary schools kikiongezeka kwa 84% na wanajiunga sekondari kwa 25%.

Lakini kikubwa zaidi sector binafsi Ajira zilikuwa nyingi lakini ndio hivyo tena Sera mbovu za uchumi zinaua hata Ajira zilizokuwepo...

Sector ya usafirishaji pekee Mfano mwaka ulioisha pekee maroli 15,000 yalipaki ambayo yalisababisha Ajira kati ya 30,000- 40,000 kupotea na vijana hawa kuingia mtaani..

Mwaka huu huu ulioisha tumeondoa wafanyakazi 19,000 kwenye payroll ya serikali na kuokoa pesa ambazo zingefanya tuajiri watu zaidi ya 20,000 kwa mpigo lakini mpaka sasa kimya.

Na wakati huo wastani wa makusanyo kutoka TRA ni kiasi cha 1.2 trions kwa mwezi.

Sasa unashindwaje kutoa Ajira kwa vijana wakati unakusanya trions 1.2 kwa mwezi kwa nini?

Hakuna serikali yeyote duniani inayo ajiri watu wote lakini hakuna serikali duniani ambayo haitoi Ajira kwa watu wote.

Kumbuka watanzania wanaishi kwenye poverty line ni 12,000,000 hawa utegemea ndugu zao walioajiriwa ili kujikwamua .

Sasa kama Ajira hakuna,Madaraja upandishi, wenye Ajira zao sector binafsi unaziua...

Unategemea nini hawa vijana wakizagaa mtaani? Magufuli Bomu unalotengeneza litakulipua.
 
Wamepelekwa Jeshi kwa mujibu ....Leo wapo mtaani na vyeti vyao vya chuoni na std7 ndo mabosi......Usimshtue kazi ni kazi tu. ....Kwanza tz hakuna uvamizi kihivyo halafu kuna ulinzi wa kutosha na askar wengi wana degree zao. ....wa kiume piga kazi haijalishi ni legal au illegal,,,kuzaliwa masikini siyo kosa ila kufa masikini . ....Die trying. .....
 
Hili bomu mbona tokea wakat wa kikwete tunaambiwa litaripuka? Suala la ajira ni gumu sio tanzania tu bali dunia nzima hata kwenye kampeni za urais marekani lilitajwa sana tu
 
Huyu teknikali wala hata simuelewagi? Juzi si alikuwa anampongeza huyo anayemponda leo?

Sisi hayo tumeyapigia kelele kwa mwaka sasa ila wewe ukatunanga humu kuwa "Tunapinga kila kitu" labda kina BAK Chakaza na Salary Slip wanisaidie kukuelewa maana peke yangu nimeshindwa!
Tatizo wengine wanapigania maslahi ya vyama wengine wanapogania maslahi ya nchi ..

Hapa ni ngumu kuelewana....
 
Hili bomu mbona tokea wakat wa kikwete tunaambiwa litaripuka? Suala la ajira ni gumu sio tanzania tu bali dunia nzima hata kwenye kampeni za urais marekani lilitajwa sana tu
Hivi kuna serikali duniani ambayo inafanya teuzi mwaka mzima bila kutoa Ajira?.....
 
Huyu teknikali wala hata simuelewagi? Juzi si alikuwa anampongeza huyo anayemponda leo?

Sisi hayo tumeyapigia kelele kwa mwaka sasa ila wewe ukatunanga humu kuwa "Tunapinga kila kitu" labda kina BAK Chakaza na Salary Slip wanisaidie kukuelewa maana peke yangu nimeshindwa!
mimi mwenzenu huyu "technically" nishamuulizaga amesoma shule hadi kiwango gani?

the guy is just all over the kitchen. he just writes a load of trash hata anachosimamia wengine tumeshindwa kukijua..
 
w
Rais Jakaya Kikwete Pamoja na mapungufu yake mengi ya corrupt system aliyokuwa ameijenga lakini alifanikiwa kutoa Ajira kwa watanzania kila mwaka,kupandishwa madaraja kwa wafanyakazi kila mwaka,kupeleka wafanyakazi kusoma kila mwaka na mengine mengi.

Tanzania watu wanaingia kwenye soko Ajira kwa mwaka ni 800,000- 1000,000 .

1: Kila mwaka Kikwete alitengeneza Ajira rasmi serikalini kwa wastani wa 40,000 za Walimu Madactari,halimashauri na Wizarani.

2: Kila mwaka idadi ya watu walioajiriwa iliongezeka kwa mfano wakati anaingia mwaka 2005 serikali ilikuwa ikiajiri wastani wa wafanyakazi elfu 9,000- 12,000 kwa mwaka...

Lakini ameondoka serikali ina uwezo wa kuajiri wafanyakazi 40,000 kwa mwaka..

Sasa hivi mwaka unapita hata kupanda madaraja kwa wafanyakazi imeshindikana kisa uhakiki hivi uhakiki kwanini haufanyiki wa wakuu wa mikoa ,Wilaya na wakurugenzi na wakuu wa idala serikalini?..

Kichekesho na mshangao ni wakati serikali wapo kimya kwenye swala la Ajira

Serikali iko na upungufu wa walimu wa sayansi 25,000, madactari wa kawaida 7,000, madactari bingwa 1200 wauguzi 20,000 ..

Wakati huo kiwango cha wanafunzi wanaojiunga primary schools kikiongezeka kwa 84% na wanajiunga sekondari kwa 25%.

Lakini kikubwa zaidi sector binafsi Ajira zilikuwa nyingi lakini ndio hivyo tena Sera mbovu za uchumi zinaua hata Ajira zilizokuwepo...

Sector ya usafirishaji pekee Mfano mwaka ulioisha pekee maroli 15,000 yalipaki ambayo yalisababisha Ajira kati ya 30,000- 40,000 kupotea na vijana hawa kuingia mtaani..

Mwaka huu huu ulioisha tumeondoa wafanyakazi 19,000 kwenye payroll ya serikali na kuokoa pesa ambazo zingefanya tuajiri watu zaidi ya 20,000 kwa mpigo lakini mpaka sasa kimya.

Na wakati huo wastani wa makusanyo kutoka TRA ni kiasi cha 1.2 trions kwa mwezi.

Sasa unashindwaje kutoa Ajira kwa vijana wakati unakusanya trions 1.2 kwa mwezi kwa nini?

Hakuna serikali yeyote duniani inayo ajiri watu wote lakini hakuna serikali duniani ambayo haitoi Ajira kwa watu wote.

Kumbuka watanzania wanaishi kwenye poverty line ni 12,000,000 hawa utegemea ndugu zao walioajiriwa ili kujikwamua .

Sasa kama Ajira hakuna,Madaraja upandishi, wenye Ajira zao sector binafsi unaziua...

Unategemea nini hawa vijana wakizagaa mtaani? Magufuli Bomu unalotengeneza litakulipua.

Rais Jakaya Kikwete Pamoja na mapungufu yake mengi ya corrupt system aliyokuwa ameijenga lakini alifanikiwa kutoa Ajira kwa watanzania kila mwaka,kupandishwa madaraja kwa wafanyakazi kila mwaka,kupeleka wafanyakazi kusoma kila mwaka na mengine mengi.

Tanzania watu wanaingia kwenye soko Ajira kwa mwaka ni 800,000- 1000,000 .

1: Kila mwaka Kikwete alitengeneza Ajira rasmi serikalini kwa wastani wa 40,000 za Walimu Madactari,halimashauri na Wizarani.

2: Kila mwaka idadi ya watu walioajiriwa iliongezeka kwa mfano wakati anaingia mwaka 2005 serikali ilikuwa ikiajiri wastani wa wafanyakazi elfu 9,000- 12,000 kwa mwaka...

Lakini ameondoka serikali ina uwezo wa kuajiri wafanyakazi 40,000 kwa mwaka..

Sasa hivi mwaka unapita hata kupanda madaraja kwa wafanyakazi imeshindikana kisa uhakiki hivi uhakiki kwanini haufanyiki wa wakuu wa mikoa ,Wilaya na wakurugenzi na wakuu wa idala serikalini?..

Kichekesho na mshangao ni wakati serikali wapo kimya kwenye swala la Ajira

Serikali iko na upungufu wa walimu wa sayansi 25,000, madactari wa kawaida 7,000, madactari bingwa 1200 wauguzi 20,000 ..

Wakati huo kiwango cha wanafunzi wanaojiunga primary schools kikiongezeka kwa 84% na wanajiunga sekondari kwa 25%.

Lakini kikubwa zaidi sector binafsi Ajira zilikuwa nyingi lakini ndio hivyo tena Sera mbovu za uchumi zinaua hata Ajira zilizokuwepo...

Sector ya usafirishaji pekee Mfano mwaka ulioisha pekee maroli 15,000 yalipaki ambayo yalisababisha Ajira kati ya 30,000- 40,000 kupotea na vijana hawa kuingia mtaani..

Mwaka huu huu ulioisha tumeondoa wafanyakazi 19,000 kwenye payroll ya serikali na kuokoa pesa ambazo zingefanya tuajiri watu zaidi ya 20,000 kwa mpigo lakini mpaka sasa kimya.

Na wakati huo wastani wa makusanyo kutoka TRA ni kiasi cha 1.2 trions kwa mwezi.

Sasa unashindwaje kutoa Ajira kwa vijana wakati unakusanya trions 1.2 kwa mwezi kwa nini?

Hakuna serikali yeyote duniani inayo ajiri watu wote lakini hakuna serikali duniani ambayo haitoi Ajira kwa watu wote.

Kumbuka watanzania wanaishi kwenye poverty line ni 12,000,000 hawa utegemea ndugu zao walioajiriwa ili kujikwamua .

Sasa kama Ajira hakuna,Madaraja upandishi, wenye Ajira zao sector binafsi unaziua...

Unategemea nini hawa vijana wakizagaa mtaani? Magufuli Bomu unalotengeneza litakulipua.

Wanaojua kinachofanyika barabara ya ddm-babati, itigi, tabora-kigoma, hatua za kuanza std gauge Dar- mza, kigoma na miradi mingine mikubwa ya miundombinu hawajisumbui kuuliza makusanyo ya tra yanakwenda wapi..tembea uone hata kwa miguu itakusaidia vitu vya kuuliza.
 
Hili bomu mbona tokea wakat wa kikwete tunaambiwa litaripuka? Suala la ajira ni gumu sio tanzania tu bali dunia nzima hata kwenye kampeni za urais marekani lilitajwa sana tu
Tatizo la ajira la nchi zilizoendelea (marekani) sio sawa na nchi zinazoendelea...muda mwingine Tz ubinafsi pia unachangia ilo tatizo.
 
Mimi nimeshapata kazi private, lakini walah naapa sitalipa deni la bodi ya mikopo na 2020 lazma magufuli nimfundishe adabu
Kama kichwani ndo unaweka takataka ya namna hii hata waliokupa kazi hawajui wanalofanya..unajipiga ngwara mwenyewe kijana!
 
Big up mkuu...maana nilianza kupoteza imani na wewe..ila cha kushukuru unarudi kwenye msimamo ambao sisi wote tunaupigania.
 
Binafsi huwa nazifurahia articles zake kwani yupo very dynamic. Sio sawa na hawa wapiga siasa za kusibiri teuzi zisizoishi humu. Najua anawaacha mbali wale buku Saba wa mtaa uleee!
Keep doing technicality! Unawapa za USO baai tu nyuso zao ni za puto hazitoi manundu!

Back
Top Bottom