Ushauri wenu katika matokeo haya

Nov 3, 2019
47
32
Poleni na majukumu.

Mpwa wangu amepata matokeo haya. Naomba ushauri wenu

Civics- D, Hist-F, Geo-F, Kisw-D, Engl-F, Phy-F, Chem-F, Bio-D, B/Math-F.

Ushauri wenu unahitajika sana
 
Arudie form four, angalau apate D'4.! lakin ajitahidi sana mana akicheza itakula kwake tena
 
Poleni na majukumu.

Mpwa wangu amepata matokeo haya. Naomba ushauri wenu

Civics- D, Hist-F, Geo-F, Kisw-D, Engl-F, Phy-F, Chem-F, Bio-D, B/Math-F.

Ushauri wenu unahitajika sana

Pole sana....
Hata Kama ataenda veta ....
kielimu ataishia ngazi ya certificate throughout the life, Kama vipi niaje niaje arudie mtihani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom