usajili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Je, unakwama kusajili kampuni au jina la biashara BRELA?

    Kama ni ndiyo basi DAY DREAMER TZ CONSULTANCY ni mkombozii Kwako. Sisi ni wazoefu wa masuala yote yakusajili biashara(kampuni au jina la biashara? kuanzia usajili hadi namna gani utaikuza biashara yako. Huduma zitolewazo 1. Kusajili kampuni 2. Kusajili jina la biashara 3. Kuandaa memorandum and...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Gael Birigimana ni usajili mzuri Sana Yanga wamefanya

    Jana uongozi wa Yanga wamemtambulisha mchezaji aliwahi kuichezea newcastle united Gael Birigimana. Tangu atambulishwe kijana huyu kuna maneno mengi yamekuwa yakizungumzwa ikiwemo Takwimu zake mashabiki Watanzania wanaonesha wanapenda soka ila hawalijui soka Gael Birigimana ni kiungo mkabaji sio...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Mweka Training Centre kimesajiliwa na NACTE?

    Wakuu, naomba kufahamu chuo kimoja kinaitwa Mweka training centre kipo Kimara, Dar na kinatoa kozi za afya. Je, kimesajiriwa na nacte? Na kama kimesajiliwa kwanini wahitimu wake hawakukiona kwenye orodha ya vyuo wakati wa kufanya application za ajira? Sent from my SM-A260F using JamiiForums...
  4. JamiiForums Tanzania Usajili mbovu kumuondoa Ronaldo Man United

    Cristiano Ronaldo anafikiria kuondoa Manchester United ikiwa timu hiyo haitafanya usajili wa kueleweka katika dirisha hili la sasa. Ronaldo ambaye alirejea klabuni hapo mwaka jana baada ya kuondoka miaka 13 iliyopita kwenda Real Madrid, yupo tayari kubaki lakini ni kama usajili utakuwa mzuri...
  5. JamiiForums Tanzania Dirisha la usajili Tanzania kufunguliwa Julai 1 kufungwa Agosti 31, 2022

    Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetoa taarifa rasmi ya dirisha kubwa la usajili kwa vilabu vinavyo shiriki ligi zote zilizopo chini ya shirikisho hilo la soka nchini Tanzania. Taarifa hiyo itavihusu vilabu vyote vinavyoshirki ligi kuu ya NBC Tanzania bara,ligi daraja la kwanza...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Usajili wa Morison aibu kwa mpira wa Tanzania

    Kwa tunavyofahamu mpira ni kazi kama zilivyo kazi zingine na mtu ili apewe kazi tabia na mwenendo ni kitu muhimu sana. sasa record za Morrison hazirizishi hata kidogo na kundelea kubaki kucheza Tanzania akilipwa ni dhararu ndio kitu kinampa jeuri, hii itawapa nafasi hata wachezaji wengine...
  7. JamiiForums Tanzania Wanasimba mjiandae kisaikolojia hakuna usajili wa maana msimu unaofuaya

    Wanasimba niwaibie tu Siri licha ya Mo kutapa kuwa anataka ubingwa wa Africa ili jamaa ni bahili balaa. Misimu uliopita alileta ubahili akaleta wachezaji wa bei chee tukachemka, msimu huu yatajirudia yaleyale, ukiwatizama viongozi wetu unawaona kama wapo serious vile kumbe hawana lolote. Kwa...
  8. JamiiForums Tanzania Usajili Man Utd kulikoni?

    Zimebaki wiki mbili kabla ya pre season ya Man Utd ianze mwishoni mwa mwezi huu lakini mpaka leo hakuna usajili wowote uliofanyika. Mashabiki wa Man Utd wana matumaini makubwa sana Kocha mpya wa Man Utd, Eric Ten Hag (ETH), lakini matumaini hayo yanaweza yakayeyuka kama hatopewa/kusajiliwa kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kuweka tetesi na Taarifa za usajili Ligi Kuu ya NBC kwa msimu ujao 2022/2023

    Salaam Wakuu, Ligi kuu ya NBC ya msimu huu 2021/2022 inaelekea ukingoni huku timu ya Yanga ikiwa na zaidi ya 99% ya kunyakua taji hili. Kama tujuavyo mwisho wa msimu mmoja ndiyo maandalizi ya msimu mwingine. Baadhi ya timu tayari zimeanza kufanya maandalizi kwa ajili ya msimu ujao. Timu nyingi...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Usajili wa chama cha siasa cha National Economical Reformation Socialist Party -NERP

    Kama kichwa cha habari hapo juu, tuko mbioni kusajili chama cha siasa kitakachosimia rasilimali za taifa kuwanufaisha wananchi wote wa Taifa hili.
  11. JamiiForums Tanzania Msaada: Usajili wa domain (Tanzania)

    Habari wanaJamiiForums Nina mpango wa kusajili website yangu itakayohusu masuala ya kitaaluma, na nilitamani iwe na kikoa cha DOT ACADEMY (.academy) ukizingatia kwamba kwa . TZ sijaona domain yenye mantiki ya kielimu mbali na kuwa taasisi. Wasiwasi wangu upo kisheria, na hapa ndipo ulipo...
  12. JamiiForums Tanzania Napendekeza mfumo wa ‘Randomizer’ kwenye usajili wa ‘plate number’ za magari nchini

    ========================== Badala ya mfumo wa sasa wa ‘TxxxAyy> TxxxByy > TxxxCyy > TxxxDyy , na sasa karibia tunaingia namba ‘E’ , ambapo mtu anakuwa anajua kabisa kwamba gari hii imesajili ya zamani au ni mpya. Napendekeza namba zinazofuata baada ya kuisha kwa namba ‘D’ ziwe katika mfumo wa...
  13. JamiiForums Tanzania Usajili wa Umoja Party unakawia kwa sababu Polepole kahamia Malawi?

    sponsor wa chama Yuko ughaibuni, alitumia posho za ubunge kukianzisha, hajamaliza, kahamishwa, ubalozi milioni 5 kwa mwezi
  14. JamiiForums Tanzania Umoja party walalamikia kucheleweshewa usajili, kumgongea hodi Rais Samia

    Chama cha Umoja Party kiliomba usajili wa muda tangu April 2021 na kimeona kuna dalili za kukwamishwa licha ya kufuata taratibu zote ikiwemo kujibu mapingamizi juu ya rangi ya bendera na muonekano wa nembo hivyo kimepanga kwenda kumuona Rais Samia ili kupata haki ya usajili katika ofisi ya...
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KENYA: Afungua kesi Mahakamani kupinga usajili mpya wa laini za simu, ataka picha za wateja zifutwe

    Karanja Matindi, raia wa Kenya, Eliud anayeishi Uingereza ameifungulia mashitaka Mamlaka ya Mawasiliano ya Kenya (CA) kwa kuagiza watumiaji wote wa laini za simu kujisajili upya, akitaka Mahakama ipinge maamuzi hayo kuwa ni kinyume cha katiba. Mamlaka ilitoa tangazo kuwa laini ambazo...
  16. JamiiForums Tanzania TRA wekeni mfumo wa wazi au App ya kuangalia taarifa za usajili na ulimiki wa Vyombo vya Moto ili kuepusha hizi kadi feki

    Napendekeza TRA waweke mfumo wa wazi ili watu waweze kutizama Taarifa za usajili wa gari, piki piki au bajaj ili kujia mmiliki halali ni nani Mnaficha kitu gani kuweka mfumo huo kuwa huru? Mbona ni jambo ambalo linawezekana na ni jepesi tu Hili litasaidia sana kuzuia watu kutengeneza kadi feki...
  17. JamiiForums Tanzania Usajili kufanya mtihani wa ufamasia

    Habarini wapendwa wote, ni matumaini yangu wote ni wazima na mnaendelea poa. Naomba mwenye kujua namna ya kuverify malipo, baada ya kulipia malipo jinsi ya kuverify na kusubmit maombi. Ahsanteni sana na weekend njema.
  18. JamiiForums Tanzania Usajili wa Bernard Morrison kurudi Yanga, kuna mvutano mkali unaendelea!

    Jana hata kabla ya Simba kutoa taarifa kuhusu kumsimamisha Bernard Morrison nilieleza kuwa mchezaji huyo amesimamishwa kwa sababu ya utovu wa nidhamu kwa kile kilichodaiwa kuwa alitoroka kambini. Baadaye Morrison akapost kwenye pages zake kuwa kuna kitu kikubwa kinakuja akiwa ameweka picha...
  19. JamiiForums Tanzania Usajili wa Simba kuwekwa hadharani leo, Mwanasimba kaa mkao wa kunogesha furaha

    Taarifa ya usajili itakujia leo kupitia Simba App [emoji336] [emoji935] Saa 7:00 mchana shughuli zote zitasimama kwa muda kupisha utambulisho wa mabingwa wa nchi. Shughuli yote kwenye Simba App [emoji2]
  20. JamiiForums Tanzania Je, kampuni mbili zinaweza kusajiliwa chini ya kampuni moja?

    Naomba mnieleweshe. Kama mtu anataka fungua kampuni A na B ina maana lazima awe na bank acc mbili na kila moja ifanye kazi kivyake. Je, inawezekana hizi kampuni mbili zika sajiliwa chini ya kampuni moja? Mfano badala ya kuwa na kampuni A na B ukawa na kampuni C na hii kampuni C iwe na hizo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…