Usajili wa Simba kuwekwa hadharani leo, Mwanasimba kaa mkao wa kunogesha furaha

.... Djigui Diara aliondoka akiacha Simba ina point 24

Anarudi anakuta Simba ina point 25

Anajiuliza Ligi ilisimama au???!!
 
Taarifa ya usajili itakujia leo kupitia Simba App

Saa 7:00 mchana shughuli zote zitasimama kwa muda kupisha utambulisho wa mabingwa wa nchi.

Shughuli yote kwenye Simba App





View attachment 2080627
😁😁😁 Bamutu ba simba bana maneno mingi sana! Ila bakija uwanjani, banaruka ruka tu na kukanyagana! 😁😁😁
 
Back
Top Bottom