usajili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. KJ07

    JamiiForums Tanzania Aliyeelewa usajili wa Mudathir Yahya anieleweshe

    Mimi ni mwana yanga damdam lakin kwenye huku usajili naona kama tumepigwa na kitu kizito na sielewi Mudathir alikuwa ana uhitaji gani na naenda kumchukua nafasi ya nani au ndo yale ya kina Ngushi. Huenda Wana maana yao Ila Acha tuone walikuwa wanalenga nini...
  2. King snr

    JamiiForums Tanzania Msaada usajili wa Trademark Brela kipengele cha Nice description

    Naomba msaada kwenye hii sehemu baada ya kujaza nice class ambayo service yangu imo natakiwa kuweka nice class description Ni zipi hizo? Mfano nice class yangu Ni 42 Kwenye nice description naandika nini?
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania NIDA yaanza usajili wa Vitambulisho kwa njia ya Mtandao

    Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imetambulisha mfumo wa usajili wa watu kwa njia ya mtandao utakaowezesha wananchi wenye sifa za kuomba vitambulisho vya taifa kwa kujaza fomu mtandaoni. Waombaji wa awali watajaza fomu mahali popote walipo bila kulazimika kwenda ofisi za usajili za...
  4. AbuuMaryam

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Usajili dirisha dogo

    ~ Yanga wamalizana na Muzungu kutoka Berkane. ~ Yanga wanamaliza na Bobosi. ~ Yanga wanatarajia kuwatumia Yacouba, Sogne na Kambole kwenye mashindano ya Mapinduzi, ili kuwaangalia nani wa kumuacha na nani wa kumbakiza. ~ Yanga wapo mbioni kuachana na Makambo, Ambundo. Sijapata za uhakika...
  5. Sambinyakwe kitololo

    JamiiForums Tanzania Bajaji, guta, pikipiki zinanunuliwa kwa Kasi Sana

    Ikiwa Ni mwaka mmoja na mwezi mmoja Toka namba D ya vyombo hivo vianze kwa Sasa wanasajili no MC**** DR* Ambapo kwenye magari walitumia muda mrefu sana kufika usajili huo, Ni wazi Hadi mapema mwaka ujao watakuwa wamemaliza no D yao na kuanza fukuzana na no D ya magari na kuwaacha forever...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Nauza au kukodisha Pick Up Nissan Single Cabin usajili ni DBW

    Nauza au Kukodisha pick up Single cabin Imenunuliwa 2014 ikiwa mpya kutoka South Africa. Namba ya Usajili T4....DBW Kwa Yoyote atakaye hitaji napatikana kwa 0767 848423
  7. dracular

    JamiiForums Tanzania Gharama za usajili wa gari aina ya townace kutoka Japan

    Habarini za majukumu ndugu zangu wa Jf. Bila kupoteza muda twende kwenye maada moja kwa moja.. Nina mpango wa kuagiza gari aina ya townace kwa ajili ya biashara nilikuwa naomba kujua kuhusu gharama za usajili ikifika hapa Tanzania mpaka iweze kuingia barabarani inaweza gharimu kiasi gani...
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kocha apanga kumuuza Maguire ili akusanye fedha za usajili

    Inadaiwa kocha huyo, Erik ten Hag wa Manchester United anataka kumuuza nahodha wake lakini kikwazo ni kiasi ambacho wanatakiwa kukipata kutoka sokoni Beki huyo aliyesajiliwa kwa Paundi Milioni 80 mwaka 2019 hana uhakika wa namba katika kikosi cha kwanza cha United na Ten Hag hafurahii kasi ya...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Usajili dirisha dogo kuelekea michuano ya kimataifa mashariti na utaratibu wake ukoje?

    Habari wadau, Nina maswali haya kuhusu usajili huu: 1. Ni idadi gani ya wachezaji inaruhusiwa kusajili kupitia dirisha dogo? 2. Wachezaji wa kimataifa watakaosajiliwa kupitia usajili huu, wataruhusiwa kucheza katika ligi za ndani? 3. Inawezekana kununua mchezaji ambaye bado ana mkataba na...
  10. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania TRA, hii imekaaje? Gari ya 2022 na usajili wa miaka ya 2005?

    Mitaani kuna vituko vingi. Kuna magari ya wasiyojulikana wengi tu sasa hivi, lakini hii ni kiboko. Gari T140ALF ina usajili wa karibia miaka 20 nyuma kwa gari iliyotengenezwa 2022, LC300 Landcruiser New model. Inakuwaje hapo?
  11. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania Waziri Ndaki : Wizara imeridhia wafugaji wote nchini kuongezewa muda wa Usajili na Utambuzi wa Mifugo kielectronic Mpaka desemba 31

  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Neymar afutiwa mashtaka yaliyokuwa yakimkabili kuhusu usajili wake

    Mshambuliaji huyo wa Paris St-Germain na timu ya taifa ya Brazil alikuwa akikabiliwa na mashtaka hayo yaliyohusu usajili wake mwaka 2013 kutoka Santos kuhamia Barcelona akidaiwa usajili huo ulikiuka baadhi ya masuala ya kifedha. Katika kesi hiyo waendesha mashtaka walitaka nyota huyo ahukumiwe...
  13. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Safaricom yatuhumiwa kubadili usajili wa laini ya mteja na kuruhusu wizi wa Tsh. Milioni 7.6

    Abdi Zeila amefungua kesi ya madai dhidi ya kampuni hiyo ya Mawasiliano akiituhumu kufanya mabadiliko hayo kitendo kilichopelekea kutolewa fedha kupitia Benki ya NCBA bila ridhaa yake. Zeila amesema wizi huo usingewezekana bila kuwepo mtu mwenye kibali cha kuifikia mifumo ya Taarifa Binafsi za...
  14. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya wapewa saa 24 kukamilisha usajili wa line kabla ya kuzimiwa mawasiliano

    Watumiaji wa Simu nchini humo wamebakiwa na chini ya saa 24 kukamilisha usajili wa laini zao za simu kabla Mamlaka ya Mawasiliano (CAK) haijazima huduma za mawasiliano yao. Kwa mujibu wa CAK watumiaji simu na kampuni za mawasiliano waliongezewa muda wa miezi 6 kuanzia April 15, 2022 ambao...
  15. Kingsmann

    JamiiForums Tanzania BRELA: Kalynda ilipewa leseni ya kuuza vifaa vya kielektroniki

    Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) imesema leseni ya kampuni iitwayo Kalynda E-Commerce Limited iliyotolewa Juni 21, 2022 ni kwa ajili ya uuzaji wa jumla wa vifaa vya kielektroniki na mawasiliano pamoja na ufanyaji wa biashara ya kiteknolojia ya kimataifa mtandaoni. BRELA imesema...
  16. CAPO DELGADO

    JamiiForums Tanzania Bado nalia na Kamati ya Usajili ya Simba, kushinda michezo ya kimataifa kusitusahaulishe

    Habari wakuu. Naomba niwaeleze ukweli, japo ukweli ni mchungu. Bado NALIA na kamati ya usajili ya Simba. Simba bado ni underdog kwa YANGA. Tunawachezaji Baadhi wa KIMATAIFA nadhani uongozi uwaangalie kwa jicho la tatu. 1. Peter Banda. 2. Mohamed Ottara 3. Dejan aliyeondoka. 4. Okwa Nelson...
  17. Express Business Solution

    JamiiForums Tanzania Ushauri na Huduma za Usajili Kimtandao

    Express and Quick Business Solution ni kampuni yenye uzoefu wa utoaji ushauri na huduma za usajili kimtandao kwa ufanisi na haraka. Usajili wa Kampuni Usajili wa log/Nembo ya biashara/Trademark Usajili wa NGO's Maombi yote ya vibali na leseni za biashara, leseni za viwanda, leseni za makazi...
  18. Alexander Lukashenko

    JamiiForums Tanzania Usajili kuongeza nguvu Yanga

    Baada ya kuitazama Game yetu jana tar 11 sept 2022, tukimgaragaza mtu goli nne kwake. Nilifanya analysis yangu nikaona kuna maeneo yanahitaji kuongezwa Nguvu ili tufike mbali kimataifa. Tunahitaji kuongeza baadhi ya wachezaji ili kuimarisha kikosi chetu kwa ajili ya mapambano. Naamini GSM na...
  19. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Kihasibu: Hasara ya Milioni 400 usajili wa Aziz Ki kwenda Yanga

    Uzuri wa huu mchezo unafanyika hadharani kila mtu anaona, nani kifaa nani garasa. Aziz Ki ni mbovu, hana thanani ya milioni 400. Kifupi Yanga wameingia hasara ya milioni 400, yale ni manunuzi ya mchezaji yasiyo na tija. Hii hasara inatakiwa kuonekana kwenye vitabu vya Yanga mwisho wa mwaka kama...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Wana-Simba, mwaka huu ndiyo umeisha; tusubiri usajili wa mwakani

    Najua nitaitwa majina yoote hapa, "shabiki maandazi, hujui mpira wewe, ushawahi kucheza mpira?unachangia sh ngapi" Kwa kweli ikitokea simba ikachukua ubingwa wa ligi basi itakuwa miujiza mikubwa sana na kufika robo fainali ya CAF itabidi ifanywe sherehe kubwa sana. Aiseee, eiiish ...
Back
Top Bottom