usajili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. kavulata

    JamiiForums Tanzania Simba yatia aibu usajili wa Yusufu Mhilu, inategemea tena TFF iibebe kama kwa Morrison

    Simba kumsajili na kumtambulisha Mhilu mwenye mkataba halali na Kagera bila kufuata utaratibu inamaanisha nini?
  2. pakaywatek

    JamiiForums Tanzania Wiziri Simbachawene: Usajili sasa utahusu vyama vya kijamii pekee siyo taasisi za dini

    SIMBACHAWENE: MABADILIKO YA HADHI YA VYETI VYA USAJILI WA JUMUIYA KUHUSISHA JUMUIYA ZA KIJAMII PEKEE BADALA YA TAASISI ZA KIDINI _ Na Mwandishi Wetu, MOHA. _ WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene amesema zoezi la...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Yanga SC na GSM na hawa Wakongo Watatu nao pia wanaomba Usajili Kwenu, ili Jangwani Music FC Band ikamilike

    1. Diblo Dibala (Soloist) 2. Bileku Mpasi (Rapper) 3. Allain Kounkou (Dancer) Naamini wakisajiliwa tu na hawa Watatu basi Waimbaji maarufu wa Bendi yenu ya Jangwani Music FC Band kama akina Makambo, Mayele, Moloko, Mukoko, Bangane na Djuma watauza mno Albums zenu ambazo mnatarajia kuzitoa.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kwa ulimbukeni wa usajili wa Yanga na Simba, vijana wetu watatoboa?

    Club za Simba na Yanga wameshindwa kabisa kubalance usajili wao na kujikita zaidi kupata first eleven ya wageni. Najiuliza aina hii ya usajili itawasaidiaje vijana wa Tanzania wanaopanga kutoka kimaisha kwa fani ya mpira? Lini wataonekana na kutoka?
  5. Tate Mkuu

    JamiiForums Tanzania Hongereni Yanga kwa usajili mzuri 2021/2022

    Naomba nichukue nafasi hii nikiwa kama mdau wa michezo na shabiki mkubwa wa timu ya Yanga (Timu ya Wananchi), kuupongeza uongozi wa timu, chini ya Mwenyekiti Mshindo Msolla, Wadhamini wa timu, benchi la ufundi, na wadau wote kwa ujumla! Kwa kufanya usajili mzuri. Nimekiona hiki kikosi mahali...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa kuwa na Mahakama ya Katiba na Usajili wa Vyama vya Siasa

    Ili kukuza demokrasia Nchini na uwepo uongozi/utawala bora wenye misingi ya usawa kwa kila mtawala na mtawaliwa ni wakati sasa kuwa na Mahakama ya Katiba na Usajili wa Vyama vya Siasa. Nchi inavyoenda kwa mfumo huu bila chombo madhubuti ni sawa na kuendesha kikada na fikra za mtu binafsi bila...
  7. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Waziri Kabudi: RITA Kuanzisha mfumo wa usajili wa ndoa kwa njia ya Mtandao

    Prof. Kabudi alibainisha hayo jana jijini Dar es Salaam wakati wa maadhimisho ya nne ya usajili wa matukio muhimu ya binadamu yaliyoandaliwa na RITA na kusema mfumo huo utasaidia kutoa nakala mtandaoni kabla ya nakala ya cheti cha ndoa kutolewa. “Kabla mfumo huu haujaanza kufanya kazi, wadau...
  8. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Wakati wa Usajili Yanga ni kipindi cha kutengeneza Pesa kwa wajanja wachache

    Club yangu ya Yanga nmekuwa nikiipenda toka mwaka 1980s wengi wakiwa wadogo ama hawajazaliwa. Nikiwa mwanachama halali mpaka leo hii zaidi ya miaka 40. Naifahamu Yanga kiasi fulani ambacho kinanipa nafasi ya kusimamia ninachoamini pasipo kuyumba. Nimekuwa mara nyingi nikisema Uhuni ambao...
  9. mshale21

    JamiiForums Tanzania Waziri Kabudi: Viongozi wa dini ambao hawajasajiliwa na RITA hawataruhusiwa kufungisha ndoa ya aina yoyote

    Waziri wa Katiba na Sheria Prof. Palamagamba Kabudi amesema viongozi wa dini ambao hawajasajiliwa na Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) hawataruhusiwa kufungisha ndoa ya aina yoyote na endapo watafungisha ndoa bila ruhusa, ndoa hiyo itakuwa batili.
  10. P

    JamiiForums Tanzania Kama Mwenyekiti wa Chama atajihusisha na Ugaidi na chama hakifutwi, kosa gani linaweza kusababisha chama kufutwa?

    Kwanza naomba nieleweke kwamba, Huu uzi hauongelei chama chochote, isipokuwa unaangazia makosa ambayo yakifanyika ndani ya chama chochote, na nani ndani ya chama endapo atafanya makosa yanayopita uwezo wa kustiliwa hadi kupelekea kufutwa kwa Chama, Kama M/kiti wa chama husika, anajihusisha na...
  11. BigBro

    JamiiForums Tanzania Barcelona yaishitaki PSG usajili wa Messi

    Barcelona yafungua kesi Mahakami kupinga usajili wa Lionel Messi kujiunga na PSG, wakidai klabu hiyo haiwezi kumsajili mchezaji huyo kutokana na rekodi mbaya ya mapata na matumizi ya klabu hiyo, ambapo wanaamini wakifanya hivyo watavunja kanuni ya Financial Fair Play. Mawakili wa Barcelona...
  12. K

    JamiiForums Tanzania CCM inauawa na usajili wa Hayati Dkt. Magufuli uliofedhesha wana CCM

    Ukiona chama cha siasa kimeishiwa wajenga hoja kwa muda mfupi lazima ujiulize sababu. CCM imejimaliza kwa sababu zifuatazo; 1. Imejiwekea utaratibu kwamba, Mwenye kusema Ni yule tu mwenye cheo ndani ya chama kwa maana mwenyekiti, makamu, katibu mkuu na mwenezi, mawaziri na manaibu,. Waliobaki...
  13. mmh

    JamiiForums Tanzania Usajili Simba hausikiki zimebaki tetesi tu

    Team zote zinasajili na kutangaza sajili zao ila club ya Soka ya Simba Tanzania zinasikika tetesi ila hazikamiliki! Je hiyo ndo professionalism au? Maana dunia nzima hata huko ulaya kuna hekaheka na wadau wanasikika lakini he sie Simba ndo tumekua proffesional kuliko hata huko ulaya...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Simba mbona hatujasajili mpaka sasa wakati Mo ameweka pesa? Yanga wanatunyang'anya mpaka wachezaji

    Kiufupi ule ubabe wa Yanga aka uto in dhahiri umerejea. Naona wengi sasa wanasimba tunawabeza lakini ukweli tusipoangalia hawa jamaa wanakuja kuchukua mafanikio yetu. Kumbuka tuna wachezaji umri umewatupa kama John Boco, Onyango wakipata injury tu basi tumekwisha msimu ujao.
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Yanga SC mkimaliza na hizi 'mbwembwe' zenu za Usajili ambazo mara nyingi huwa zinawaponza mnitaarifu ili nije na Uchambuzi wangu Kwenu

    Kwa Kuanzia tu ni kwamba Daktari wa Timu ya Taifa ya Congo DR amewashangaa Yanga SC Kumsajili Beki Shabaan Djuma ambaye ni 'proin injury Player' wakati aliwashauri Wasimsajili. Pili baada ya Kocha Nabi kurejea Likizoni sasa amezozana na Uongozi wa Yanga SC kwa Kumsajili Mshambuliajj Herritier...
  16. Orketeemi

    JamiiForums Tanzania Link ya kufanya usajili wa Chanjo ya COVID-19

    Wakuu naomba mwenye kujua namna ya kufanya online registration ya chanjo ya COVID-19 aweke hapa link au namna ya kufanya huo usajili online.
  17. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania WeChat wasitisha usajili wa watumiaji wapya ili kuongeza ulinzi wa taarifa

    Kampuni ya Tencent ambayo ni wamiliki wa app ya WeChat ambayo inatumiwa zaidi na wachina, wamesitisha usajili wa watumiaji wapya wa mtandao huo. Wamefikia hatua hiyo ili waweze kuboresha mifumo yao ya ulinzi ambao utakamilika mwezi Agosti. Taarifa ya Tencent imesema kuwa maboresho yanafanyika...
  18. Planeti

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa usajili majina ya biashara BRELA

    Wakuu habari zenu, Nimeanza jana kujaribu kusajili Jina la biashara kwa mfumo wa Brela ORS. Nimejisajili vizuri tu ili kuendelea na hatua inayofata, sasa shida ndio imeanzia hapo.. Kila nikijaribu kupakia taarifa ili kuendelea na hatua inayofuata, wao hunigomea. Wanadai kuna taarifa...
  19. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Usajili Simba kuelekea 2021/2022 nani aondoke na nani aje?

    Simba ni timu bora Sana afrika hii, inawachezaji wengi wazuri sana linapokuja swala la usaji tunajiuliza aje nani na aondoke nani? Wa kimataifa wapo 11 ukiachana na Kahata, je nani ataondoka kati yao? 1. Medie kagere 2. Mugalu 3. Bwalya 4. Chama 5. Miquesone 6. Morrison 7. Tadeo Lwanga 8...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Taarifa za usajili wa Wachezaji mbalimbali kwa mwaka 2021/2021 special thread

    Kwema wadau, Katika thread hii tutakuwa tukipeana Habari za usajili wa wachezaji kwa msimu 2021/22 kutoka nchi mbalimbali na ligi mbalimbali duniani. Kuna baadhi ya timu zimeshakamilisha usajili wa baadhi ya wachezaji ambapo: ULAYA, David Alaba from Fc Bayern to Real Madrid Memphis Depay...
Back
Top Bottom