Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,783
- 66,961
Zimebaki wiki mbili kabla ya pre season ya Man Utd ianze mwishoni mwa mwezi huu lakini mpaka leo hakuna usajili wowote uliofanyika.
Mashabiki wa Man Utd wana matumaini makubwa sana Kocha mpya wa Man Utd, Eric Ten Hag (ETH), lakini matumaini hayo yanaweza yakayeyuka kama hatopewa/kusajiliwa kwa wachezaji ambao watafiti mfumo wake.
Ikumbukwe Man Utd imetangaza kuwaacha wachezaji kadhaa ambao wamemaliza mikataba yao kama vile Paul Pogba, Matic, Mata, Lingard huku wakitegemea kuwauza akina Aaron Wan Bissaka nk
Baadhi ya timu barani ulaya zipo bize na usajili, kama Real Madrid, Spurs, nk lakini Man Utd wapo kimya mpaka sasa...
Je, ETH anaanza kuandaliwa mipango ya kufeli kama ilivyokuwa kwa watangulizi wake? Tatizi ni nini pale Man Utd??