Wanasimba mjiandae kisaikolojia hakuna usajili wa maana msimu unaofuaya

Expensive life

JF-Expert Member
May 2, 2020
1,704
5,480
Wanasimba niwaibie tu Siri licha ya Mo kutapa kuwa anataka ubingwa wa Africa ili jamaa ni bahili balaa.

Misimu uliopita alileta ubahili akaleta wachezaji wa bei chee tukachemka, msimu huu yatajirudia yaleyale, ukiwatizama viongozi wetu unawaona kama wapo serious vile kumbe hawana lolote.

Kwa dunia ya sasa hakuna mchezaji mzuri utampata kwa Siri. Ukiwauliza wanadai usajili wanafanya kwa usiri mkubwa.

Tunamuofia nani mpaka tuwe wasiri kwenye usajili? Mo kama kweli unataka Simba avuke robo fainali weka mzigo wa maana kwenye usajili leta kocha bora, acha janja janja.
 
.... Kwa dunia ya sasa hakuna mchezaji mzuri utampata kwa Siri. Ukiwauliza wanadai usajili wanafanya kwa usiri mkubwa.
Acha kulalamika bila kutoa mapendekezo. Je, ungependa kila mchezaji anayetakiwa na Simba atangazwe mapema hadharani bila siri halafu ndio aanze kutafutwa?

Au una maanisha nini kusema 'dunia ya sasa' mchezaji mzuri hapatikani kwa siri?
 
Kama Mo bahiri, basi wewe weka mzigo wasajili.Kama huna hela basi mwambie hata babako aweke mzigo Simba wasajili wachezaji wa gharama. Na kama wewe na babako wote masikini basi tuliza matako acha kubweka kwenye hela za wanaume wenzio..mwisho uolewe mtoto wa kiume!!!!
 
wanasimba mbona mnatukana sana kukosa makombe mwaka mmoja tu matusi yote haya je mkipoteza miaka mitano si mtahama nchi?
 
Kama Mo bahiri, basi wewe weka mzigo wasajili.Kama huna hela basi mwambie hata babako aweke mzigo Simba wasajili wachezaji wa gharama. Na kama wewe na babako wote masikini basi tuliza matako acha kubweka kwenye hela za wanaume wenzio..mwisho uolewe mtoto wa kiume!!!!
duh! hizi lugha
 
Back
Top Bottom