usajili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. beth

    JamiiForums Tanzania Nigeria yazitaka kampuni za Mitandao ya Kijamii kusajiliwa na kupata leseni

    Serikali imesema Kampuni za Mitandao ya Kijamii zinazotaka kuwepo Nchini humo zitalazimika kusajiliwa kama Kampuni ndani ya #Nigeria na kupata Leseni. Imeelezwa, baadhi ya kampuni tayari zimepewa Notisi na haijaelezwa ni lini zoezi la usajili na upataji leseni litamalizika. Serikali imesema...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Usajili wa Simba ni bora kabisa, kama ni ukweli

    Kocha kishingo kipindi yuko simba alitamani sana kupata beki mrefu wa kati anayetumia mguu wa kushoto kama ilivyokuwa kwa Ally Sonso ambaye shida yake ni mistakes nyingi, mwingine ni Abdi Banda ambaye kwa kweli sidhani kama kuna mtu anataka kuiona sura yake pale Msimbazi. Sasa leo nasikia...
  3. Civilian Coin

    JamiiForums Tanzania Hatimaye nimepata Usajili wa Kimataifa wa Muziki wangu(ISRC), naweza kuuza popote na kuchezwa TV au Redio yoyote duniani

    OFFICIALLY NOW ON TV& RADIO. Thanks almighty God, all my audios and Videos songs now have Copyright under ISRC(International Standard Recording Code) and can be Played anywhere all over the World and I can sell anywhere all over the World. Now I have my own Registrant code number. Join with me...
  4. Darucha

    JamiiForums Tanzania Je, naweza kuendelea kupata mkopo kama nimeacha chuo bila kufuta usajili wangu katika chuo husika?

    Karibuni jamani mchangie mawazo yenu kuhusu hii mada mtu anaweza akaendelea kuchukua boom Kama ameacha chuo lakini Bado hakufuta usajili wake katika chuo chake.
  5. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Ndugulile: Tunaweza kuhakiki upya usajili wa namba za simu kwa vidole ili kuwabaini wanaomiliki isivyo halali

    Waziri Ndugulile amesema wizara yake inaweza kuhakiki upya usajili wa namba za simu kwa alama za vidole ili kuwabaini wanaozimiliki isivyo halali. Ndugulile amesema mitambo ya kubaini hayo wanayo. Chanzo: Swahili times
  6. Shadida Salum

    JamiiForums Tanzania Sajili za Wachezaji zilizotamba sana lakini zikadunda

    Imekuwa ni utamaduni wa kawaida kwa vilabu vya Mpira wa miguu Ulimwenguni kufanya usaliji (kununua Wachezaji) pindi madirisha ya usajili yanapofunguliwa. Katika harakati hizo kuna baadhi ya Wachezaji ambao sajili zao huwa na mbwembwe nyingi na kuibua taharuki kwa Mashabiki lakini kwa bahati...
  7. hp4510

    JamiiForums Tanzania Je, naweza kutumia gari yenye usajili wa Zanzibar, Tanzania Bara?

    Wandugu, Nina gari Zanzibar, nataka kuja nalo bara, na niweze kulitumia kwa miezi michache. Swali langu: je, ni process gani zinatakiwa kufuatwa? Kama kuna mtu yeyote amewahi kupata changamoto kama hii naomba aniambie alitatuaje.
  8. Sweet mangi

    JamiiForums Tanzania Msaada nahitaji kupata usajili wa biashara yangu

    Habari za jioni Wana JF ,Mimi ni kijana mjasiriamali ,nina jishughulisha na biashara ya kutengeneza na kuuza Milk products kama Yogurt na Cultured milk(mtindi) ila changamoto ninayopata ni baadhi ya wateja kutoamini ubora na usalama wa bidhaa hizi ,hii imesababisha niache kutengeneza kwa muda...
  9. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Mtoto wangu amepoteza fomu ya usajili kidato cha nne private je hatua ni zipi?

    Wakuu, Mtoto wa kaka yangu amepoteza karatasi yake ya NECTA private yaani ile ambayo unapewa baada ya usajili halafu unaambiwa upige copy upeleke kituo unachofanyia mtihani na ni muhimu sana. Je tumsaidieje?
  10. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Muswada kuhusu usajili wa Biashara na Kampuni. Watu wenye miaka 70 kuruhusiwa kuwa Wakurugenzi

    Kuhusu Sheria ya Mawakili, alisema inalenga kuanzisha Kamati za Maadili za Mawakili kwa ngazi ya mkoa ili kurahisisha upatikanaji wa haki. “Pia, kumwezesha mwananchi anayemlalamikia wakili kwa ukiukaji wa maadili kushughulikia tatizo lake katika ngazi ya mkoa bila ya uhitaji wa kusafiri...
  11. Samedi Amba

    JamiiForums Tanzania Tony Elumelu Foundation (TEF Connect) imefungua dirisha la usajili kwa wajasiriamali

    Habari za muda wadau na wanajamvi, Tony Elumelu ni mwana wa afrika, mjasiriamali, mpambanaji na mkarimu pia. Alianzisha foundation ya Tony Elumelu, mnamo mwaka 2010. Nia ilikuwa ni Mnamo mwaka 2015, mlango ulifunguliwa kwa ajili ya kuwafadhili wajasiriamali barani Afrika, kupitia kampuni ya...
  12. tyc

    JamiiForums Tanzania Kwa mujibu wa kanuni, Chikwende hatocheza mechi yoyote CAF group stage akiwa na Simba

    Inasikitisha Simba tumesajili mchezaji mwenye kiwango kizuri, uzoefu wa kutosha katika mashindano ya kimataifa ngazi ya klabu lakini hatoweza kuichezea Simba katika hatua ya CAF group stage (16 round) Hii ni kutokana na kanuni ya CAF kwamba timu yoyote ikifuzu kuingia group stage basi...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kukurupuka katika usajili kwa Simba na Yanga ni kiashiria kuwa tuna safari ndefu sana

    Usiku huu nilianza kuona tetesi za usajili wa Chikwende! Kama ni kweli, hiki ni Kielelezo kingine cha kukosa weledi katika menejimenti ya Soka! Inawezekana Rais alikuwa sahihi aliposema Tatizo la doka la Tanzania ni Simba na Yanga! Katika hiki kinachoitwa uwekekezaji katika hizi timu mbili...
  14. Bilionea Asigwa

    JamiiForums Tanzania Wafugaji wa kuku wa nyama na mayai wasiosajiliwa kuchukuliwa hatua

    Wafugaji wa kuku wa nyama na mayai wametakiwa kujisajili kisheria ili waweze kutambulika na kufanya kazi ya ufugaji kwa ufuata sheria zilizowekwa. Imeelezwa kuwa wote ambao hawajasajiliwa lakini wanafanya kazi ya ufugaji kuku, hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi yao. Mpaka sasa takwimu...
  15. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Vodacom Foundation wapambana kurejeshewa usajili wao

    Mfuko wa Kusaidia Jamii wa Vodacom (Vodacom Foundation) kama kampuni ambalo lilikuwa na ukomo wa ahadi ambalo linasaidia jamii na hivyo halikuwa na malengo ya kukuza biashara au uwekezaji lilifutwa kwa tangazo la BRELA la Septemba 11, 2019. Mfuko huo ambao umekuwepo nchini tangu Oktoba 2007 na...
  16. C

    JamiiForums Tanzania Kucheleweshwa kwa Hela za kujikimu kwa wanafunzi wa elimu ya juu, mpaka pale watakapo lipa Hela ya usajili na kusajiliwa chuoni

    Wakuu naomba Muongozo juu ya hili suala. Je ni sahihi kwa chuo kuchelewesha hela za wanafunzi kwa kigezo cha lazima wasajiliwe chuoni wakiwa wameshalipa hela ya usajili, wakati miongoni mwa hao wanafunzi wanategemea hela hizo za kujikimu kuendesha maisha na kulipa pesa kama hizo wanazodaiwa...
  17. The Humble Dreamer

    JamiiForums Tanzania Tume ya Vyuo Vikuu (TCU) iwafutie usajili wanafunzi wanaorekodi na kusambaza video chafu mitandaoni

    Wakuu Salaam: Siku za karibuni kumekuwa na usambaaji wa video chafu kwenye mitandao ya kijamii na jambo hili linaendelea kukua miongoni mwa wanafunzi wa Elimu ya juu. Na waliohusika katika video wapo pamoja na kwamba kumekuwa na matamko toka uongozi wa vyuo lakini bado hakuna fundisho. Hawa...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wana Yanga SC tusikubali Usajili wa hawa akina Kisinda, Sarpong na Tonombe; ni mbovu. Tuandamaneni ili akina Yikpe, Molinga na Tshishimbi warudi

    Nikiwa kama mwana Yanga SC tena Mwanachama wake kabisa GENTAMYCINE mapema kabisa kabla hata 'Dirisha' la Usajili halijafungwa Usiku wa leo nakuwa wa Kwanza kabisa Kupinga 'Usajili' huu 'Mbovu' kabisa wa hawa Wachezaji akina Kisinda, Sarpong na Tonombe badala yake nataka akina Yikpe, Molinga na...
  19. kavulata

    JamiiForums Tanzania Alichokosea Dr. Msolla kuhusu mashabiki Yanga kuchangia usajili

    Dr. Msolla kwa nia njema kabisa alisema kuwa wadau wa Yanga wachangie fedha ya kusajili wachezaji 2 wa kigeni. Kwa kauli hii dk Msolla Amevuruga saikolojia ya wachezaji, amevuruga saikolojia ya Wana Yanga na amewapa nafasi upande wa pili kutibua vichwa vya wachezaji na mashabiki wa Yanga kuwa...
  20. demigod

    JamiiForums Tanzania Sikuamini nilipoambiwa kuwa Senzo aliondoka na ramani ya usajili, sasa nimeamini

    Hivi mashabiki wenzangu mnapendezwa na namna ya usajili wetu unavyoenenda hivi sasa. Ona sasa vituko hivi, Kuna mshambuliaji kutoka Lusaka Dynamo Chrispine Mugalu (ambaye huenda akasaini ndani ya siku 2 zijazo klabuni kwetu). Huyu ni forward ambaye takwimu zake za ufungaji ni za kiduwanzi...
Back
Top Bottom