usajili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wana Yanga SC Wenzangu hivi ni mpaka lini Simba SC itaendelea 'Kutunyayasa' namna hii katika Usajili? Tuwafukuzeni upesi GSM na Msola watuachie Timu

    Nikiwa kama Mshabiki Mwandamizi kabisa wa Yanga SC 'nimekerwa' sana na aina ya 'Unyanyasaji' wa 'Kimafia' kabisa tunaofanyiwa na Timu bora si tu Tanzania bali Afrika ya Mashariki na Kati, Duniani hadi hadi Mbinguni ya Simba Sports Club halafu Sisi Wanayanga tunabaki 'Kunyamaza' tu pekee. Wiki...
  2. T

    JamiiForums Tanzania "Kamilisha usajili wa ugali kwa alama ya mchicha"

    Alisikika kijana mmoja akinadi biashara yake ya mchicha. Wabongo mna maneno!
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa Usajili huu mzuri na Kabambe kabisa unaofanywa na Yanga SC sasa, bila shaka Makocha wao wapya kutoka nchini Hispania ni hawa wafuatao

    Kutokana na Usajili wanaoufanya sasa ambao 'Kitaalam' na 'Kiufundi' ni wa Kipumbavu (Kipopma) ukiachilia mbali ni wa Kimasikini pia, Mabingwa wa Kutochukua Kikombe chochote ndani ya Miaka Mitatu Yanga SC tayari wameanza Kututambulisha 'Kisiri' Makocha wao wapya ambao nahisi watakuwa ni hawa...
  4. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Kama ni rasi, Vaa jezi pitia jangwani ulambe usajili

    Asubuhi hii hapa jangwani tunajaribu bahati yetu
  5. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Tetesi kuhusu usajili Bongo kuelekea msimu 2020/21

    Karibuni tuelezane Tetesi za usajili VPL na FDL. Taja jina la mchezaji anatoka timu gani, anaenda wapi Naanza na Charles Ilanfya (KMC) kwenda Simba Mwamnyeto (Coastal Union) kwenda Yanga/Simba/Azam Awesu Juma (Kagera) kwenda Yanga Kigi Makasi (Ndanda) kwenda Dodoma Jiji
  6. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Aliyefanikisha usajili wa Samatta atupiwa virago nje

    Klabu ya Aston Villa imemfuta kazi mkurugenzi wake wa michezo , Jesus Garcia Pitarch baada ya kukosoa sera za usajili za klabu hiyo. Mshambuliaji wa klabu ya AstoNVilla, Mbwana Samatta akimzunguka mlinzi wa Leicester City, John Evance katika mechi ya EPL. Pitarch aliondoka klabuni hapo siku ya...
  7. Influenza

    JamiiForums Tanzania Ligi Kuu Tanzania Bara: Wachezaji 5 kubadilishwa katika mchezo mmoja. Usajili kuanza Agosti Mosi

    Shirikisho la Soka Nchini (TFF) limezingatia maelekezo ya FIFA katika kukabiliana na changamoto za #COVID19 ambapo katika mchezo mmoja timu itaruhusiwa kubadili hadi Wachezaji watano badala ya watatu Limesema marekebisho hayo yamefanyika katika Kanuni ya 14 (25) ya Ligi Kuu, Kanuni ya 14 (25)...
  8. M

    JamiiForums Tanzania TBS na Usajili wa Hotel, maduka na Posho mills

    TBS imetoa tangazo na muda kwa wenye biashara tajwa hapo juu kujiandikisha. Jambo la kwanza ni kuwa muda waliotoa ni mfupi sana kwa mfano kwa posho mills ambazo zimesambaa mpaka vijijini sidhani kama muda huo utatosha. La pili, ndani ya website yao hakuna application form kwa ajili ya kuomba...
  9. H

    JamiiForums Tanzania BASATA lamfuta usajili “Dudubaya”

    Baraza la Sanaa Tanzania lamfutia usajili msanii Godfrey Tumaini maarufu Kama "Dudu baya" kwa kosa la kutumia mtandao wake wa Instagram kuwatukana wadau wa mziki. Hivi karibuni msanii huyo alitumia maneno mabaya na kauli chafu kumtupia Mkurugenzi Mkuu wa Benchmark "Madam Rita" kwenye sakata...
  10. winnerian

    JamiiForums Tanzania Naomba elimu juu ya Ulipaji wa Kodi zote stahiki za Kampuni baada tu ya kukamilisha Usajili na kuanza biashara

    Naelewa kuna kodi nyingi zinazostahili kulipwa TRA, ila kuna taratibu nyingi pia katika kuzilipa hizi kodi pamoja na kuandaa taarifa nyingi kwa nyakati tofauti katika mwaka. Naomba kwa wale wenye uelewa na hii elimu watupe katika mtiririko mzuri.
  11. Influenza

    JamiiForums Tanzania NACTE yavifutia usajili Vyuo vya Ufundi 10 kutokana na kutokidhi vigezo

    Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) limevifutia usajili vyuo 7 kikiwamo Time School of Journalism (TSJ), kwa kutokidhi vigezo vya kutoa mafunzo yanayoratibiwa na baraza hilo. Mkurugenzi wa Uthibiti, Ufuatiliaji na Tathmini, Dkt. Geofrey Oleke amesema Baraza limevitaarifu vyuo husika kwa...
  12. C

    JamiiForums Tanzania NIDA

    Serikali kupitia mamlaka yake ya Usajili wa Vitambulisho vya Taifa (NIDA) ilitoa muongozo wa kupata namba yako ya NIDA kwa njia ya kielectronic kama tayari MTU kishafika kwenye mamlaka halisi na kujisajili lakini anasubilia namba. Cha kushangaza ,Unapo andika ombi La kupata namba huambiwa ombi...
  13. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahakama Kenya yazuia usajili wa vidole

    Mahakama Kuu Kenya imesitisha kutekelezwa kwa mfumo wa usajili wa wananchi kwa njia ya alama za vidole hadi hapo sheria ya kulinda taarifa itakapopitishwa. Mbali na kuzuia utekelezaji huo, mahakama imesema kuwa kukusanya taarifa za eneo (GPS) na vinasaba (DNA) ni kinyume na katiba ya nchi...
  14. OLS

    JamiiForums Tanzania Tanzania imeshika namba moja kwenye sera mbovu za usajili wa laini za simu

    Kwa mujibu wa comparitech Tanzania ndio nchi inayoongoza kwa sera mbovu za usajili ambazo zinafanya mtumiaji wa simu akose faragha ya simu yake, kwa kukosa sharia zinazohusu faragha ya mtu kutumia simu, Usajili wa kutumia alama za vidole unaofanywa pia unaongeza hatari kwa kuwa taarifa za mteja...
  15. beth

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri: Serikali itatumia hekima kuwasaidia ambao wameshindwa kujisajili

    Serikali ya Tanzania imesema itatumia hekima kuwasaidia wananchi walioshindwa kusajili laini za simu kwa sababu ya kukosa kitambulisho cha Taifa na namba licha ya kuanza mchakato wa kupata kitambulisho hicho. Imesema wananchi hao taarifa zao zipo katika Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA)...
Back
Top Bottom