usajili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Usajili wa Simba wamepatia 80%

    Simba imesajili vizuri Upande wa Beki sio mbaya sana, Akpan atamsaidia Kanoute. Mhm apunguze UZITO. PHIRI is the best kwa sbb ana track mpira na anakimbia kwa haraka naye aongeze mazoezi ya kupunguza uzito. Mzungu DEJAN yule hapana kwa soka la Afrika hatatusaidia mfano Jana SImba wakicheza...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini usajili wa namba E kwenye magari unakimbia sana?

    Napata ukakasi kuwa magari mengi hapo mwishoni yalifichwa kusajiliwa ili wasubiri namba E, maana gari zilikuwa zinaingia watu wako na chasis tu wanategeana watu wamalizie waanze herufi mpya. Huu ni umasikini sana sana kwa wenye magari madogo madogo eg, raum, IST, rumion passo nk. hawa watu...
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Chelsea yakubaliwa dili la kumsajili Wesley Fofana

    Chelsea imefikia makubaliano na Leicester City juu ya ada ya Paundi Milioni 70 kufanikisha dili la kumsajili Wesley Fofana (21) baada ya awali dili hilo kukwama mara tatu. Kocha wa Leicester, Brendan Rodgers alimpa adhabu beki huyo kufanya mazoezi na kikosi cha vijana cha U23 baada ya Fofana...
  4. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania National Alliance for Mass Advancement(NEMA), chama kilichonyimwa usajili kwa kuogopwa wanachama wake

    National Alliance For Mass Advancement(NEMA) Nimeingia Maktaba na nimekuta picha ambazo nilipiga mimi mweyewe kwa mkono na jicho langu ukumbi wa Arnautoglu miaka 28 iliyopita. Ilikuwa siku ambayo msajili wa vyama anahakiki wanachama wa NEMA. Leo asubuhi naziangalia picha hizi nacheka peke yangu...
  5. Nyamboboy

    JamiiForums Tanzania KUHUSU USAJILI WA MAGARI

    Msaada hapo wazee wa magari Eti usajili wa E umeanza rasmi?
  6. J

    JamiiForums Tanzania TBS SASA KIDIJITALI: Usajili wa bidhaa za Chakula na Vipodozi pamoja na Majengo ya kuuzia na kuhifadhia bidhaa hizo, usajili ni Kielekroniki

    TBS YAWATAKA WAFANYABIASHARA WA BIDHAA ZA VIPODOZI NA CHAKULA PAMOJA NA MAJENGO YA KUHIFADHIA NA KUUZIA BIDHAA HIZO KUJISAJILI KIELEKTRONIKI Shirika la Viwango Tanzania (TBS) leo Tarehe 22 Agosti, 2022 imewataka wafanyabiashara wa Chakula na Vipodozi pamoja na wamiliki wa Majengo yanayotumia...
  7. kavulata

    JamiiForums Tanzania Simba: Ni nani kafanya Usajili wa wachezaji?

    Kuna kila aina ya ushahidi kuwa Kocha mkuu wa Simba hahusiki na Usajili wa wachezaji hawa ndio maana hawataki baadhi yao, ni nani kapendekeza Usajili huu? Hapa ni kocha mkuu aondoke au kocha msaidizi aondoke,
  8. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mfumo fursa za kilimo biashara

    Mafanikio ya binadamu yeyote hutegemea namma anavyotumia maarifa katika kuyaendea yale anayoyaamini na kuyatamani. Wakati maarifa ni zao la teknolojia iliyopo, maono hutokana na mitazamo na uelekeo wa fikra za Imani za dini, falsafa na itikadi. Ndio kusema teknolojia na maono ndio msingi wa...
  9. luangalila

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba fanyeji usajili wa mshambuliaji (readmade) sio huyu mzungu

    Tuna muda mchache sana kuelekea Mashindano ya CAF lazima macho yenu na akili zenu zifanye kazi chap chap hatuwezi fika popote katika mashindano ya CAF kama striker ni huyu Dejan Simba haitajin striker wa kumpa muda anatakiwa striker wa kuja kufunga sio huyu wa kumjaribu
  10. technically

    JamiiForums Tanzania Simba chukueni billion 20 za Mo mfanye usajili wachezaji wa maana

    Simba solution ni simple tu chukueni pesa alizotoa Mo bilion 20 mnunue wachezaji wenye quality ya kupambana na Yanga. Acheni uswahili kuficha mambo wakati ubovu wenu tunauona. Kama Mo alitoa pesa pesa zikowapi si zitumike kuleta wachezaji? Shida ya Simba ipo kwa Mo sio kwa Kakolanya, Matola...
  11. CAPO DELGADO

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Simba kuchanga pesa za kununua wachezaji

    MASHABIKI WA SIMBA KATIKA MITANDAO YA KIJAMII. Baadhi ya mashabiki wa Simba wameamua kuchangishana FEDHA kwa ajili ya kuimarisha idara ya kiungo na idara ya mshambuliaji. Hayo yametokea Baada ya mchezo wa jana DHIDI ya Yanga Baada ya Simba kufungwa goli 2 kwa 1. Mashabiki wamekuja juu...
  12. CAPO DELGADO

    JamiiForums Tanzania Simba na kamati ya usajili

    Simba imeshindwa kusajili wachezaji wafuatao ndani ya Dirisha kubwa 2022-23. 1. Victoria Adebayor. 2. Stephan Azizi Key. 3. Luis Joseph Miquisson. 4.Abdul Suleiman Sopu. 5. LOBIE CESAR MANZOKI. Na MBAKA SASA Haina mbadala wa kagere. KAMATI jisahihisheni. 6 ndio TATIZO kabisaaaa
  13. M

    JamiiForums Tanzania Pongezi Yanga kwa usajili wa viwango vya juu

    Nafikiri mechi ya Yanga dhidi ya Vipers ilikuwa ni moja ya mechi bab kubwa, Vipers walionyesha ni namna gani wako vizuri kiufundi, walikuwa wanacheza objective football, walikuwa very sold kwenye ngome yao baada ya kutangulia kupata bao la mapema, ni moja ya timu ambayo iko vizuri sana kwenye...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba SC na Msemaji Ahmed Ally kuweni na 'Adabu' na Sisi 'Mashabiki' wa Simba SC juu ya 'Usajili' wa 'Manzoki' sawa?

    Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally jana Asubuhi ukiwa Wasafi FM ulisema tena kwa Kujiamini kabisa kuwa Mchana au Alasiri mtamtangaza rasmi Manzoki kuwa Mchezaji Wetu na haikuwa hivyo. Nilitegemea Wewe kama Mweledi ( Professional ) baada ya muda huo kupita basi Kiungwana ungetuomba Radhi ila...
  15. Lady Whistledown

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahakama: Uamuzi wa Tume ya Uchaguzi wa Kutumia Usajili wa Kilektroniki Pekee katika uchaguzi wa Agosti 8 ni batili

    Mahakama ya Juu imebatilisha uamuzi wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) wa uandikishaji wa Wapiga kura kwa Kielektroniki pekee katika uchaguzi wa Agosti 9, na kusema kuwa sababu zilizotolewa na tume hiyo hazitoshi Tume hiyo ilisema kuwa Usajili wa Wapiga kura kwa Makaratasi unaweza...
  16. CAPO DELGADO

    JamiiForums Tanzania Kamati ya usajili ya Simba Sports Club rekebisheni haya kabla ya Agosti 31

    KAMATI YA USAJILI SIMBA.wakuu. Habari wakuu. Mimi ni mpenzi wa mpira wa Miguu. Na kusoma kidogo ukocha kama mafunzo ya ziada tu kwangu. Nianze kwa kuipongeza KAMATI ya usajili ya Simba kwa kufanya usajili mzuri, kuangalia mapungufu Yao ya msimu uliopita. Endapo Simba ikifanikiwa kumpata...
  17. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania SENZO: Mimi Bado ni Mwananchi Sijaondoka Yanga kwa Ubaya, Akanusha kuchukizwa na Usajili wa Morrison

    #Kutoka_mwanasport Saa chache baada ya uongozi wa Yanga kutangaza kwamba aliyekuwa Ofisa Mtendaji wao Mkuu Senzo Mazingiza anaondoka mwenyewe ameibuka na kukanusha juu ya kuondoka kwake kuhusishwa na ujio wa mshambuliaji Bernard Morrison. Akizungumzia ishu ya kupishana mara mbili na kiungo...
  18. N

    JamiiForums Tanzania INASIKITISHA: MTIBWA BADO HAWAJALIPWA USAJILI WA MSHERI

    ile klabu bora Tanzania na afrika mashariki na inayoogopeka Afrika nzima the dar young africans bado haijalipa pesa ya usajili wa kipa mshery toka mtibwa Klabu hiyo inayoendeshwa kisasa kabisa kwa kufata mfumo wa klabu za la liga pamoja na kupigiwa kelele kwa muda mrefu bado imekausha...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Kuna usajili mzito unaendelea Salamander, nchi kutikisika

    Naam hali ni tete sana kwa simba kwani usajili unaoenda kutangazwa muda wowote huko jangwani si wa mchezo mchezo nchi itatikisika na utaacha vilio vikubwa sana hapo Simba. Tajiri mwenyewe Ghalib anahusika hapa kwani amekuwa akimpigia simu muhusika na kukutana naye mara kwa mara hotelini...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Usajili wa Wahandisi ERB waendelea kukwama kisa bodi iliyopo imemaliza muda wake. Rais tunaomba uteue Mwenyekiti mpya wa Bodi

    Wakuu poleni na majukumu. Kuna ndugu yangu ameomba kufanya Usajili wa kuwa mhandisi. Amewasilisha report zake katika bodi ya maengineer yaani ERB. Kila akiulizia Usajili umefikia wapi, anaambiwa bodi ya ERB iliyopo imemaliza muda wake. Ombi kwa RAIS, tunaomba uteue mwenyekiti mpya wa bodi, na...
Back
Top Bottom