upya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DR SANTOS

    JamiiForums Tanzania Kaibiwa na Dada poa sasa anaanza upya

    Moja kwa moja kwenye mada, Ni ndugu yangu mmoja ameshakamata 40 years mpaka Sasa Ana kazi Ni afisa kilimo na mifugo. Jamaa Ni hataki kusikia habari ya kuoa, Ni baada ya kupigwa tukio na alokua manzi yake miaka mitano ilopita. Alishangaa tu anaambiwa manzi yake kaolewa na yeye Hana taarifa...
  2. Vladivostok

    JamiiForums Tanzania Mwamba huyu hapa kazaliwa upya, Mabeberu wajipange

    Hii picha imepostiwa na binti yake Gaddafi mtoto ni Gaddafi mtupu.apo kavaa kama babu yake muammar Gaddafi.
  3. T

    JamiiForums Tanzania Nguvu inayotumika kunyukana kwenye chaguzi za CCM iwaamshe wapinzani wafikirie upya namna ya kufanya siasa

    Inavyoonekana kupata uongozi ndani ya ccm ni jambo la kufa na kupona ndio maana uchaguzi wao una vitimbi na vituko vingi Kwa kiwango cha kufuatiliwa sana na wafuasi na wasiowafuasi. Kilichonitisha ni misuli inayotumika kushinda uchaguzi. Misuli hii inawajengea ccm uzoefu wa kushinda kwa njia...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Johnthebaptist umeanza kuwa hovyo, jitafakari upya na maandishi yako!

    johnthebaptist Umewatukana chadema mpaka Moderators wakafuta uzi wako. Jitafakati! Kwa "heshima" yako humu JF, hukupashwa kuandika kitu kama hiki, to quote you! CHADEMA kwa kupenda 'mapochopocho' unaweza kukuta kikao cha Rais Mwinyi wamejazana Watanganyika badala ya kuwapa fursa Wazanzibari!
  5. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania Moto walipuka tena upya ndani ya Mlima Kilimanjaro

    Achana na ule moto wa wiki iliyopita, habari hii imeripotiwa tena kutokea usiku wa tarehe 29 Oktoba 2022, kuna nini kinaendelea huko katika Mlima Kilimanjaro? Ni majanga ya kawaida au kuna mikono ya watu? Habari yenyewe nimeichukua kama ilivyo, hii paha chini ---------------- Picha ya...
  6. Mr Pixel3a

    JamiiForums Tanzania Serikali haina budi kupitia upya sera ya elimu bure

    Elimu ya sasa imewaacha vijana wengi kutojituma kimasomo, hawana uchungu kabisa kupambania viwango vyao darasani na hili ni tokeo la Elimu bure, Na ndio Maana shule binafsi bado zinaongoza kufaulisha wanafunzi kila iitwapo leo. Hoja muhimu Hawa wanafunzi hawaoni uchungu kabisa Ela inayotolewa...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Hawa wakubwa wanachanganya sana; wamekutana Ujerumani jana kuzungumzia kuijenga upya Ukraine. US$200 bl yapendekezwa!

    Mkutano uliitishwa na Chancellor wa Ujerumani na kuhudhuriwa na wajumbe wa NATO wote (source: StarTV habari, BBC na AlJazeera). Swali langu ni kuwa kwani vita imeisha au hii ina maana gani? Au ndo kweli kama wanavyosema wengine kuwa walikuwa kwenye majaribio yao ya silaha na sasa wameshapata...
  8. St. Paka Mweusi

    JamiiForums Tanzania Barabara ya Kimara mpaka Kibaha itazamwe upya, vifo vya watu kutokana na kugongwa na magari vimekuwa vingi sana

    Naanza kwa kuwasalimia wakuu. Hapa ntaongelea matukio mawili niliyoyashuhudia kwa macho yangu.. Pia ntaongelea matukio machache niliyoyasikia. Mwezi mmoja uliopita mida ya saa 11 alfajiri nikiwa napita maeneo ya Mbezi mwisho jirani na stendi ya mabasi ya Magufuli nilishuhudia mwili wa mwanamke...
  9. Mr Pixel3a

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Elimu ipitie upya Mtaala wa Masomo ya Sayansi wa A-Level

    Wanafunzi wengi wa Advance wamejikuta kwenye hali ngumu hususani kwenye masomo ya Mathematics, Physics, Chemistry na Biology Kwanza, Mambo ya kujifunza ni mengi sana (materials) bila kupima uwezo wa ubongo wa mwanafunzi ivo kupelekea kufeli Pili,Uchache ama ufinyu wa mda, miaka miwili kwa...
  10. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Soko la Kariakoo Kuanzia Upya Wake 1900s

    SOKO LA KARIAKOO KUANZIA UPYA WAKE MWANZONI MWA MIAKA YA 1900 Sisi tuliozaliwa miaka ya 1950 tumelikuta Soko la Kariakoo kama linavyoonekana katika picha ya tatu na ya nne. Nikiangalia picha ya mwanzo ya Kariakoo akili yangu inanipeleka katika nyumba ambazo nyingine mimi zinanihusu na nyingine...
  11. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Daraja la mto Mara (Serengeti NP) liangaliwe upya!

    Kuna daraja lenye urefu wa kama meta 50 hivi ambalo limejengwa ndani yamaji (yaani wamemimina maji yapite juu). Huo mto Mara ni mkubwa sana ambapo ndio watalii hufurika kuona Nyumbu wakivuka (crossing). Changamoto ya daraja ni kuwa , maji yakiongezeka kidogo, daraja huwa halionekani na hivyo...
  12. Tunzo

    JamiiForums Tanzania Serekali ya CCM mjitafakari upya, yaani kirahisi tu, kuachana na madai ya matrilion ya pesa mnakimbizana na tozo

    Endeleeni kukimbizana na wanyonge, ila laana itawatafuna na kizazi chenu kinachotafuna jasho la wanyonge, waziri anashindwa kujiekeza, Tatraaaa leo amesema hayo matrilion yaliondolewa kirahisi, Kwanini haya yanakuja baada ya kushindwa kujieleza? Kama mliunda tume, mkaleta yale yote kwa...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Nashauri tufute vyama vya upinzani vilivyopo tuanze upya harakati za kudai mageuzi ya kweli

    Harakati za kudai mageuzi ya demokrasia katika nchi yetu yalianza miaka miaka mingi iliyopita. Hatimae Kwa shinikizo la mataifa makubwa tukakubali kuruhusu mfumo wa vyama vingi ndani ya muundo wa chama kimoja. Kwa maoni yangu ikiwa tunahitaji upinzani utusaidie kweli kweli lazima tuanze upya...
  14. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Hawajamaliza: Mabando ya data kupanda tena upya, Naibu spika ampa kibarua Nnape kupandisha gharama

    Bado hawajamaliza, Naibu Spika wa Bunge la Tanzania, Mussa Azzan Zungu, amemtaka Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe.Nape Nnauye, kuona namna watakavyoweza kushirikiana na Wizara ya Fedha, kuja na mfumo thabiti utakachochea ongezeko la mapato ya serikali kupitia matumizi...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia nakushauri unda upya serikali yako!

    Ndugu Rais Japo watu wanapenda kukuita rais wa awamu ya sita lakini mimi nakuona kuwa wewe ni rais wa sita kutawala nchi yetu anayekamilisha awamu ya tano. Haina mantiki kwa mfano eti Rais akitawala wiki moja kisha akaacha kuwa Rais kwa sababu zozote za kikatiba mfano kifo halafu eti tuiite...
  16. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Sababu ya Kuvunjika EAC-I, Kuundwa Upya EAC-II,"The Coalition of The Willing" Kujimwambafay na Jinsi JK Alivyoiokoa Jumuiya Isivunjike Kwa Kujishusha!

    Wanabodi, Kazi Inaendelea, Kwa Maslahi ya Taifa, Jumapili ya Leo, 11 September Kwa Maslalahi ya Taifa leo, inaendelea na sehemu ya pili ya Ijue Jumuiya ya Afrika Mashariki na Fursa za Mtangamano. Wiki iliyopita nilianza kwa kuitambulisha Jumuiya ya Afrika Mashariki EAC na kusema hii ni Jumuiya...
  17. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tatizo la ajira nchini ni taarifa kwa mamlaka husika kupitia upya mitaala ya elimu inayotumika nchini

    Chakula, malazi na makazi ni mahitaji ambayo kila mwanadamu lazima ayapate kila, ndio maana yamewekwa katika mahitaji ya msingi ya mwanadamu. Kila siku mwanadamu anapambana ili kuhakikisha anakua na uhakika wa nini atakula, nini atavaa na wapi atalala. Kabla ya kufikiria ubora wa mahitaji haya...
  18. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ukosefu wa ajira ni taarifa kwa mamlaka husika kupitia upya mitaala ya elimu inayotumika nchini

    Chakula, malazi na makazi ni mahitaji ambayo kila mwanadamu lazima ayapate kila, ndio maana yamewekwa katika mahitaji ya msingi ya mwanadamu. Kila siku mwanadamu anapambana ili kuhakikisha anakua na uhakika wa nini atakula, nini atavaa na wapi atalala. Kabla ya kufikiria ubora wa mahitaji...
  19. Ryder2

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Nimeshindwa kuziacha beta blocker ila nimefanikiwa kupima tena upya vipimo vya ECHO na ECG

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, kwa kifupi nimekua nikitumia beta blocker kwa takriban inaelekea kufika miezi 8 hivi na baada ya muda kidogo kuringana na ushauri wa doctor kwa kuniambia niache kutumia hizi dawa beta blocker (NEBIVOLOL 5MG TAB), hivyo nikaona sio mbaya kuziacha nikajaribu...
  20. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Uchaguzi Kenya: Masanduku 9 kati ya 15 ya Kura zilizoagizwa kuhesabiwa upya hayana hitilafu

    Uchunguzi wa kundi la kwanza la masanduku 9 kati ya 15 ya kura zilizoagizwa kuhesabiwa upya na Mahakama ya Juu haukuweza kuonesha hitilafu zozote za wazi katika matokeo ya uchaguzi wa Urais. Wakati wa kuchapisha, ni masanduku tisa pekee kati ya 15 ya kura yalikuwa yamefunguliwa, kuchunguzwa na...
Back
Top Bottom