upya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Kama unamuamini Mungu na huamini haya mambo matano ni afadhali uache kumuamini au uanze upya

    1. Miujiza Miujiza na uwezo wa Mungu kufanya kitu ambacho kibinadamu hakiwezekani. Mfano Kufufua mtu aliyekufa, kutembea juu ya maji, kupasua bahari, e.t.c kama huamini miujiza humiamini Mungu. Ni afadhali uache kuamini uungane na wapinga Mungu au uanze upya. 2. Kiyama cha dunia hii Hii...
  2. BUSH BIN LADEN

    JamiiForums Tanzania Sheria ya droo (sare) kwenye mpira wa miguu iangaliwe upya

    Wakuu mpo? Naamini wengi tunaangalia mechi inayoelekea mwishoni kati ya Chelsea na Man City ila pia huenda tunnangalia mechi inayoendelea kati ya Lazio na Roma ambayo huenda ikaisha kwa suluhu ya 0-0. Hivi kwa logic ya kawaida ni sahihi Chelsea na Man City walifungana 4-4 wapate point moja...
  3. Fifteen

    JamiiForums Tanzania UDSM pitieni upya mfumo wa wanafunzi kusaini pesa ya kujikimu

    Habari wakuu, moja kwa moja niende kwenye topic chuo kikuu Cha udsm kimekua na utaratibu wa kuzuia wanafunzi kusign pesa za kujikimu mpaka pale mtu awe anemaliza kulipa ada pamoja na direct cost. Huu mfumo haujakamilika kwasababu Kuna wanafunzi wa Hali ya chini wanategemea kulipa ada kwa pesa...
  4. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Tunahitaji Rais Mzalendo 2025 aupitie upya Mkataba wa DP world

    Uwekezano wa kuingizwa mjini na Samia ni mkubwa sana. Tunahitaji tumpate Rais wazalendo 2025 akauchunguze huu mkataba wa Bandari. CCM Hawaaminiki na hawajawahi kuaminika kamwe. Mpaka 30 iishe robo tatu ya tuliomo humu aidha tutakuwa tumeshakufa au tu wazee sana. Hiyo miaka 30 ikiisha hakuna...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Tafsiri ya sentensi "Kuajiriwa upya check namba

    Habarini wadau, Mimi ni mdau nilie kwenye utaratibu wa kurejeshwa kazini. Nina barua yenye check namba..... inanitaka niombe kazi nionapo tangazo limetangazwa ili niweze kurejeshwa upya kwenye mfumo HCMS na kuweza kupangiwa kituo Cha kazi. Swali je nikiomba tu psrs au mamlaka yoyote ya ajira...
  6. MK254

    JamiiForums Tanzania Putin aomba msaada kwa kiongozi wa zamani wa Wagner, aomba wajikusanye upya

    Jamaa ameishiwa hadi imebidi aokote okote..... Russian President Vladimir Putin has instructed Andrei Troshev, the former head of the Wagner Group, to start forming "volunteer units". Source: Russian Interfax news agency, with reference to Putin's statement during a meeting with Troshev...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Simiyu: Kesi ya Askari kumjeruhi kwa kumpiga mtoto wake, iliyofutwa, yarejeshwa Mahakamani upya

    Kesi ya Jinai Na 08 ya Mwaka 2023 iliyokuwa inamkabili Askari wa Jeshi la Polisi H.4178 Abati Benedectio wa Kituo cha Polisi Bariadi Mkoani Simiyu kutuhumiwa kumpiga hadi kumjeruhi vibaya mtoto wake mwenye umri wa miaka 7 (jina linahifadhiwa) imerejeshwa tena. Askari hiyo Februari 17, 2023...
  8. Mparee2

    JamiiForums Tanzania EWURA waangalie upya kutangaza bei ya mafuta

    nafikiri EWURA waangalie upya huu utaratibu wa kutangaza bei ya mafuta Kila mwezi
  9. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Profesa Lipumba: Hakuna haja ya elimu ya uraia kuandika upya Katiba

    Profesa Lipumba amesema kuwa hakuna sababu ya kutoa elimu ya uraia kwa wananchi kwa miaka mitatu ili kuandika upya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Profesa Lipumba ameongeza kuwa Tume ya Jaji Warioba ilishatoa ufafanuzi kuwa wananchi wanaelewa aina ya katiba wanayohitaji na hakuna...
  10. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Taratibu za kurenew passport ziangaliwe upya

    Napendekeza passport ikiisha muda wake au kujaa; mtu apewe nyingine kwa taratibu rahisi kwa sababu anafahamika na sio kuanza mlolongo wa maombi mapya kama mtu ambaye hajawahi kumiliki passport Nafikiri mtu angetakiwa tu awakilishe copy ya NIDA na pengine kuwepo na fomu rahisi ya kujaza vile...
  11. kavulata

    JamiiForums Tanzania Zawadi za mshindi wa ligi ziangaliwe upya

    Mil 80 anazopewa mshindi wa ligi ya NBC ziangaliwe upya ili zilingane na thamani ya ligi na gharama za timu.
  12. R-K-O

    JamiiForums Tanzania Kwa wale tuliojiajiri, kama umeshawahi kufilisika ulifanikiwa vipi ku bounce back / kurudi upya?

    Inaweza kutokea umeibiwa, umepata ushindani mkali, sheria za serikali zimeathiri unachofanya, umechezewa michezo michafu, umeumwa, n.k. Ukiwa na mshahara angalau unaweza kuugulia kwa wiki kadhaa mshahara ulioisha lakini una uhakika mwezi ujao upo hivyo ni wewe kujitafakari tu jinsi ya kula kwa...
  13. kijanamtanashati

    JamiiForums Tanzania Ungezaliwa upya ungependa kuzaliwa nchi gani?

    Je kungekua na uwezekano wa kuzaliwa upya, ungependa kuzaliwa nchi gani? Toa sababu?
  14. Kulupango

    JamiiForums Tanzania SoC03 Zumaridi ni kipimo kwa watu wenye akili na serikali kujirudi na kujitafakari upya

    Zumaridi ni msumari wa moto na chachu ya mabadiliko na wala hamuwezi kumpeleka popote. Mnamnanga kwa yeye kujiita ni mungu, hivi kweli ninyi mnaakili sawa? Je mnataka kumpeleka mahakamani, mahakama ipi inayo hukumu kwa kutumia sheria za MUNGU. ? Mnajifanya mna uchungu sana na MUNGU ilihali...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mwili wa Marehemu kufukuliwa ili uzikwe upya baada ya utambuzi

    Mwili wa kijana mmoja unaosadikika kuwa miongoni mwa miili mitano iliyopatikana eneo la Mlima Senjele wilayani Mbozi Mkoa wa Songwe Mei 10 mwaka huu, umefukuliwa baada ya kutambuliwa kwa picha kisha kwenda kuzikwa kwao. Kamanda wa Polisi Mkoani hapa ACP Theopista Mallya amewaambia waandishi wa...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu barua ya kurejeshwa upya kazini

    Habarini, Nina barua yenye check namba, niliyoambiwa kwamba nionapo tangazo mamlaka yoyote ya ajira nchini ikiwemo sekretarieti ya ajira niombe ili niweze kupangiwa kituo kulingana na uhitaji uliopo. Sasa kuona tangazo ni ishu ukiliona leo mpaka baada ya miezi au mwaka pia nafasi ni chache...
  17. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Njia ya kumteua Makamu wa Rais kupitia ccm iangaliwe upya ina kasoro

    Namna ya kumpata Saa100 mwaka 2015 kupitia ccm kuna mahali ccm walibugi step. Hii mikataba tunayoiona ikisaini Dubai na kutoa bandari zote kwa kampuni moja hata hatujui bodi members wake ni akina nani?inatokana na namna ailivyopatikana kupitia ccm.
  18. gimmy's

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimeomba 'Control Number' NACTE ya kulipia 10,000 badala ya 30,000. Sifahamu namna ya ku-cancel nianze upya

    Salaam, Wanabord ninaomba kufahamishwa kwa yeyote inaefahamu anisaidie kunifshamisha. Nacte wamefungua dirisha la udahili kwa vyuo vya afya ambapo deadline ni mwisho wa mwezi huu. Kwa kosa nililofanya la kupata control number ya 10,000 nitalazimika kuomba chuo kimoja tu hivyo nitakua na risk...
  19. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Ndaisaba Ruhoro aitaka Wizara ya Ardhi kupitia upya Sera na Viwango vya Fidia kwa Wananchi

    "Mgogoro wa Ardhi baina ya kijiji cha Rusumo na Gereza la Rusumo, mgogoro ulioletwa na Afisa wa Ardhi ambaye Mamlaka yake ya kinidhamu yapo chini ya Wizara ya Ardhi." - Mhe. Ndaisaba George Ruhoro, Mbunge wa Jimbo la Ngara "Afisa kwa kushirikiana na viongozi wa Gereza la Rusumo walikwenda...
  20. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Soko la Mbagala sasa liko safi na linafikika kwa urahisi. Masoko machafu yote yabomolewe na kujengwa upya

    Habari! Mwaka jana kabla soko la Mbagala kuungua moto niliingia sokoni ili nipate mahitaji muhimu . Lile soko lilikuwa chafu na wakati wa mvua linatoa harufu mbaya sana. Njia za kuingilia na kutokea hazijulukani. Bidhaa ziko hovyohovyo. Huwezi kuingia mara mbili kama hujazoea uchafu. Jana...
Back
Top Bottom