Halafu klabu inapata 1300 tuInawezekana GSM haioni tatizo kwenye mapato ya jezi lakini wadau wengine wengi wananung'unika sana kutokana na uuzaji wa Jezi.
Jezi zinafichwa na kuuzwa kwa bei kubwa kwa mlango wa nyuma hapohapo klabuni.
na uongee na mzee mpili aache kutukana wtu mitaaniNtalifanyia kazi
Uyo ndio kiboko yenu. makombe yote ya hapa tz ndio muyasahau Paka anandoka madarakani mtakuwa mmenyoosha mikono juu mbwa nyieFaida yote anachukua 'Injinia Uchwara' Yanga kama Yanga haipati Kitu..,!
Njia ni Moja tu...Timua injinia
Hata achukuae faida na kila kitu si hatuna shida ilimradi timu ifanye vizuri, wachezaji wanasajiliwa na kulipwa mishahara.Faida yote anachukua 'Injinia Uchwara' Yanga kama Yanga haipati Kitu..,!
Njia ni Moja tu...Timua injinia
Mwezi wa 7 Yanga waliingia mkataba mpyaHalafu klabu inapata 1300 tu
Inayobaki anawapa kina manara oscar oscar na kigwangala wahoji billion 20 za simba ili yanga wasishtuke kama wanapigwa hela muwakilishi wa company na muwakilishi wa club ndio huyo hyo kweli wajinga ndio waliwaoHalafu klabu inapata 1300 tu
Lete dodoso la huo mkatab mpya kuhusu mgawanyo wa fedha za jeziMwezi wa 7 Yanga waliingia mkataba mpya
Mkataba huu wameingia 12/9/2022Lete dodoso la huo mkatab mpya kuhusu mgawanyo wa fedha za jezi
Kuna kitu nataka nikuandikie ila nyakujulisha msimu mpya ukianza mkitangaza mapato na matuminziMkataba huu wameingia 12/9/2022
KLABU ya Yanga na Kampuni ya GSM wamesaini mikataba miwili yenye thamani ya jumla ya Sh Bil 10.9
Akizungumza wakati wa kusaini mikataba hiyo, Dar es Salaam leo, Rais wa Yanga, Mhandisi Hersi Said, amesema mkataba huo umegwanyika sehemu mbili.
“Mkataba huo uliogawanyika sehemu mbili utahusisha, mkataba wa kwanza wa uzalishaji na usambazaji wa jezi pamoja na bidhaa mbalimbali za klabu, ambapo kila mwaka GSM Group itailipa Young Africans Sh Bilioni 1.5, ambayo itakua inaongezeka kwa 10% na kufanya jumla ya thamani kuwa Sh Bilioni 9.15 ndani ya miaka mitano.
“Mkataba wa pili utakua ni wa udhamini, ambapo GSM italipa Sh Milioni 300 kwa mwaka, itakayokuwa ikiongezeka kwa 10% kila mwaka kwa muda wa miaka 5 kuifanya jumla kuwa na Sh Bilioni 1.83 kwa miaka mitano,” alisema Hersi na kuongeza kuwa mkataba huo wa pili ni wa GSM kuweka nembo kwenye jezi.
“Yanga itanufaika na mikataba hii miwili kwa kuvuna takribani Sh Bil. 10.9, jambo ambalo ni neema kubwa kwa Yanga na tunaamini kupitia mikataba hii, Yanga itazidi kuimarika,” alisema Hersi.
Kwa upande wake, Mkurugenzi wa Biashara, GSM, Allan Chonjo, alisema ameafiki ufunguzi huo wa ukurasa upya baina ya GSM na Yanga, kwani utakuwa ni chachu ya kudumisha michezo nchini.
Mapato na matumizi hayatangazwagi mitandaoni bali ni kwenye mkutano mkuu tu.Kuna kitu nataka nikuandikie ila nyakujulisha msimu mpya ukianza mkitangaza mapato na matuminzi
Yule mzee mtata sanana uongee na mzee mpili aache kutukana wtu mitaani
Tusubiri muda ufike halafu tutarejea hilo dodosoMapato na matumizi hayatangazwagi mitandaoni bali ni kwenye mkutano mkuu tu.
Wewe andika tu kama ni Cha kweli kitaonekana na kama ni uongo itajulikana.
Ana balaa mzee wetuYule mzee mtata sana