upya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. white wizard

    JamiiForums Tanzania OSHA , utaratibu huu mnaoutumia sio mzuri! Uangalieni upya

    Mamlaka ya usalama na afya katika mazingira ya kazi(OSHA), moja ya majukumu yake ni kutoa mafunzo mbalimbali kwa wafanyakazi mahala pa kazi. Tatizo ninalo liona ni pale mtu /taasisi inapohitaji mafunzo kwa wafanyakazi wake, unaambiwa jisajiri na kulipia gharama za mafunzo tena sio ndogo kuna...
  2. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Madaraja ya juu: Tufikirie upya mikakati yetu

    Waenda kwa miguu jijini Dar es Salaam hudiriki kuvuka njia zenye msongamano wa magari barabarani licha ya kuwepo kwa madaraja yanayopita juu, huku wengi wao wakisema madaraja hayo ni marefu mno kuvuka, utafiti umebaini. Utafiti huo umefanywa na wanasayansi kutoka Chuo cha Taifa cha Usafirishaji...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kama hali ndio hii huko Ngorongoro, basi Serikali ijitafakari upya kwani tunaweza pata hata laana kama Taifa

    Inaumiza, inasikitisha unless sio kweli. Jionee:
  4. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tulifumua mtaala na kutengeneza upya mkatucheka, oneni sasa wenyewe mnajisema - Why Tanzania’s education is a joke

    Sisi Wakenya tuna uthubutu, tulikusanya wazawa wazalendo wa nchi hii kutokea kwa washika dau wote wanaohusiana na elimu, wakafumua mtaala uliokuwepo na kuunda upya herufi kwa herufi kwa kuzingatia mifumo ya kisasa, mahitaji ya soko la ajira, uzalishaji kwenye uchumi na suala lote la kijamii...
  5. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Rais Samia vunja TAKUKURU na iundwe upya

    Mama kama unataka kudili na rushwa nchi hii anza na TAKUKURU hii haina kazi zaidi ya kutumia pesa za walipa kodi. Hizo pesa za kuwalipa hawa bora vijana wapewe mitaji tu. Ni taasisi ambayo haina kazi na ina bajeti kubwa sana, Taasisi yenyewe imejaa wapigaji. Ukiangalia Habari kila sehemu ni...
  6. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Muda wa kuanza safari za mabasi uangaliwe upya

    Nafikiri sheria tunayotumia kwa sasa ya kuanza safari saa kumi na mbili (06h00) asubuhi ni sheria ya miaka ya nyuma na hivyo inaweza kuboreshwa kwani mambo yamebadilika sana Fikiria safari za Morogoro to Dar unalazimisha basi liondoke saa 12 asubuhi hivi kweli hicho kipande kina hatari gani...
  7. mavya

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya Wizara ya Ulinzi kuundwa upya iwe Wizara ya Ulinzi na Mambo ya Ndani

    Kwa muda mrefu sana tumeona Wizara ya mambo ndani ikikumbwa na changamoto nyingi sana. Hasa kwa vyombo vya ulinzi vilivyoko wizarani hapa. Police, magereza, uhamiaji, na fire. Binafsi nilikuwa naona ili kuweka mambo sawa vyombo hivi vipelekwe Wizara ya Ulinzi ili kuvipa nguvu na kuweka Nidhamu...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ya mapapai kukutwa na Corona yaibuka upya China

    Katika hali ya kuonesha jinsi Dunia inavyotumia mbinu za yule shujaa wa Afrika kukabiliana na Maladhi yenye utata yaliyopewa jina la Covid19 nchi ya China imefanikiwa kubaini matunda yenye virus vya korona yaliyokuwa yanaingizwa China kutoka nchi ya Vietnam Mpaka sasa supermarket kadhaa...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Fedha ifumuliwe upya, ufisadi wake ni msiba mkubwa

    Wakati watanzania wanalia kwa ajili ya tozo na wengine wakizozana kuhusu mikopo, na ugumu wa maisha, Wizara ya fedha inaufisadi wa kutisha. Waziri mkuu alitangazia taifa kugundua wizi wa mabilioni ndani ya miezi 3. Kuanzia March 2021, hadi Mei 2021. Miradi mingi imekwama, na mashirika mengine ya...
  10. J

    JamiiForums Tanzania CCM kuisuka upya Tanzania One Theatre (TOT) kuendana na ushindani wa muziki nchini

    KUMEKUCHA TOT CHAMA CHA MAPINDUZI KUISUKA UPYA ILI IENDANE NA USHINDANI WA KIMUZIKI NCHINI Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, Jumatatu 27 Disemba 2021 amefanya ziara fupi Kutembelea na kuzungumza na watumishi wa CCM wa kikundi cha Sanaaa...
  11. Baba jayaron

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume: Weka Ndoa yako pembeni halafu itazame upya

    Wazee wenzangu wakulugwa tumepigwa saana.... Wasalaam?! Nikiri nilikua na ndoa swafiii, ila sasa imeota mbaya kwakua mwenzangu alinogewa na show ya nje nkaona sio shida nkamwambia ahamie kabisa japo niliumia. Sasa naishi kisela kijana wa watu mwanzo niliwahi majuku kabla miaka hata 30 nshaoa...
  12. Superbug

    JamiiForums Tanzania Mama umesema tuanze upya na tusameheane lakini.......

    Nani waliompiga lisu risasi? Azory Gwanda na Ben Saanane wako wapi? Walio haribu uchaguzi wa 2020 wanaachwa hvhv? Tuanzie hapa kwanza.
  13. kavulata

    JamiiForums Tanzania Wapinzani anzeni upya, Rais Samia ni mpya pia

    Chadema wana wivu na Zitto Kabwe kwa kuupiga mwingi mbele ya Rais Samia. Mama Samia alionekana kumuelewa zaidi Zitto kwa lunga na tone aliyotumia kuhusu Mbowe kuliko akina Lisu na Lema. Issue is not what you say but how you say it. Rais Samia hahusiki na sakata la vyama vya siasa kuzuiwa...
  14. Sijali

    JamiiForums Tanzania Kurekebisha au kuandika upya Katiba?

    Binafsi naonelea ni vizuri zaidi kurekebisha Katiba yetu kuliko kuiandika upya. Sababu zangu: 1- Katiba ni waraka wa kihistoria hivyo ni vyema baadhi yake kuachwa kama ilivyo itukumbushe tulikotoka. 2- Si Katiba yote ni mbaya, wala si nusu yake. Why re-invent the wheel? 3- Gharama za kuandika...
  15. DAVSON

    JamiiForums Tanzania Uhamishwaji na upangwaji wa machinga unapaswa kutizamwa upya kuna vitu havipo sawa

    Kwa maoni yangu operations za kuondoa machinga zimepitiliza japo msingi wake wake ulikuwa mzuri tu kupanga miji visuri. Hakuna haja ya kuondoa machinga wote mji mzima iliapaswa kuishia maeneno ya katikati tu ya mji. Kwa mfano kwa mwanza sioni ulazima wa kuondoa wamachinga hafi maeneo ya...
  16. Arushaone

    JamiiForums Tanzania Zitto: Mradi wa Kabanga Nickel ni Mradi wa Barrick uliofichwa kupitia kampuni ya LZ Nickel ya Uingereza

    Mikataba mipya ya Madini (Frameworks Agreements) itazamwe tena Na. Zitto Kabwe Hivi karibuni Waziri wa Madini Dotto Biteko ameainisha uwekezaji wa miradi mipya mikubwa mitatu inayoanza kufanyiwa uwekezaji hapa nchini. Miradi hiyo ni mradi wa dhahabu Nyanzaga wilayani Sengerema mkoani Mwanza...
  17. F

    JamiiForums Tanzania Tozo za kwenye vifurushi vya simu ziangaliwe upya

    Kila ukinunua vocha na kuingiza kwenye simu ili usajili kifurushi unakumbana na tozo/makato ambayo ukija sasa kusajili kifurushi Mtandao unakwambia huna salio la kutosha kusajili kifurushi. Nafikiri tarrifs za kusajili vifurushi ziangaliwe upya, mfano, vocha ikiwa na thamani ya Tshs.2000...
  18. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Bei gani kupaka rangi upya huko Dar es Salaam

    Hii Toyota Brevis ninayo toka 2013. Machine haina shida wala kipengele chochote. Ila rangi nimeshabandika sana mitaani. Sasa nataka iwekwe rangi upyaaaaaaa iwe sexy kama imetoka jikoni leo. Ndani kwenye sit na dashboard imeshachakaa,nikipakia demu naanza kujitetea sana.Nataka ing'ae kote...
  19. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ni kikundi cha waliokataliwa, kila siku hili kinazaliwa upya na kukua

    Kwa Afrika tunasoma wale wote waliopingana na serikali au waliokuwa na akili za kutisha nafasi za watawala waliitwa wasaliti, wahaini na viombe hatari kwa nchini. Juzi tumeona mjadala wa Bibi Titi Mohamed, aliposhindana na Mwalimu ndipo alipoitwa muhaini, tunamsoma Kambona, Maaalim Seif, na...
  20. Offshore Seamen

    JamiiForums Tanzania Serikali iangalie upya suala la usajili wa meli za kigeni baada ya kusitishwa mwaka 2018

    Usajili wa Meli (Ship registration) hiki ni kitendo Cha kuipa meli uraia katika nchi Fulani na kurusiwa kutumia bendera hiyo iwapo baharini. Meli iliyosajiliwa na Tanzania italazimika kufata Sheria na katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mfano endapo meli itakiuka jambo lolote itaadhibiwa...
Back
Top Bottom