Prof. Lipumba: Kuna vyama vina sera za kutongoza mademu

comte

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
8,222
5,946
Prof. Lipumba: Hitimisho, baraza kuu linatoa wito kwa watanzania pamoja na waandishi wa habari kujiunga na chama cha CUF chenye lengo la kujenga nchi yenye haki sawa na furaha kwa wananchi wote. Kitakachotumia rasilimali za nchi yetu kukuza uchumi unaoongeza ajira utakaowapa na kuwanufaisha wananchi wote, kitakachoimarisha uwajibikaji na kujenga mfumo endelevu wa kupambana na rushwa na ufisadi.

Vyuma vinazidi kukaza, tujiunge na kuimarisha CUF ili hatimaye tupate grisi ya vyuma vilivyokaza na kuna vyama vingine vina sera ya kutongoza mademu, sisi tuna sera ya kujenga nchi yenye haki sawa na furaha kwa wananchi wote.

FnaVtzxX0AEgxLP
mmh ..kumekucha hawa watu bora wangeendelea kufungiwa tu.
Tusahau hizi siasa zao.
 
Prof. Lipumba: Hitimisho, baraza kuu linatoa wito kwa watanzania pamoja na waandishi wa habari kujiunga na chama cha CUF chenye lengo la kujenga nchi yenye haki sawa na furaha kwa wananchi wote. Kitakachotumia rasilimali za nchi yetu kukuza uchumi unaoongeza ajira utakaowapa na kuwanufaisha wananchi wote, kitakachoimarisha uwajibikaji na kujenga mfumo endelevu wa kupambana na rushwa na ufisadi.

Vyuma vinazidi kukaza, tujiunge na kuimarisha CUF ili hatimayetupate grisi ya vyuma vilivyokaza na kuna vyama vingine vina sera ya kutongoza mademu, sisi tuna sera ya kujenga nchi yenye haki sawa na furaha kwa wananchi wote.
Dah...Anakisema kile Chama waziwazi hivi......Professor sio mambo mazuri hayo.....
 
Prof. Lipumba: Hitimisho, baraza kuu linatoa wito kwa watanzania pamoja na waandishi wa habari kujiunga na chama cha CUF chenye lengo la kujenga nchi yenye haki sawa na furaha kwa wananchi wote. Kitakachotumia rasilimali za nchi yetu kukuza uchumi unaoongeza ajira utakaowapa na kuwanufaisha wananchi wote, kitakachoimarisha uwajibikaji na kujenga mfumo endelevu wa kupambana na rushwa na ufisadi.

Vyuma vinazidi kukaza, tujiunge na kuimarisha CUF ili hatimaye tupate grisi ya vyuma vilivyokaza na kuna vyama vingine vina sera ya kutongoza mademu, sisi tuna sera ya kujenga nchi yenye haki sawa na furaha kwa wananchi wote.

Mwizi mkubwa. Ulidanganywa uka uza utu wako. Bora watingoza mademu wenye msimamo kuliko wewe mnafiki ulie uza hadhi na utu wako ili kuua upinzani
 
Distinguished Professor anaongelea sentensi ya rejareja jukwaani anaita sera.

Usihadaike na akili za darasani mkuu,
Ukiambiwa alikuwaga Tanzania One form six na GPA ya 5 UDSM na Masters alisoma Stanford university hawez amini.
Njaa mbaya
 
Back
Top Bottom