Mafuru adai heshima ya AICC ilipotea, atairejesha upya

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,379
8,123
Ephraim-Mafuru-73b99c1a1d21-780x470.jpg
MKURUGENZI Mtendaji wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC), Ephraim Mafuru ameahidi kufanya kazi kwa bidii, ili kurudisha heshima iliyopotea ya kituo hicho.

Mafuru ameyasema hayo leo mbele ya waandishi wa habari wakati akiripoti kwenye kituo chake kipya cha kazi na kusisitiza kurudisha tena imani ya wateja wa zamani wa AICC.

“Tumedhamiria kuwabakisha wateja wetu ambao walitafuta huduma zinazohusiana na mkutano mahali pengine, lengo letu pekee ni kuona AICC inarudi pale ilipokuwa kwa miaka mingi,” amesema.

Amesema AICC itazindua idadi ya huduma mpya na za kipekee kwa lengo la kuvutia wateja mbalimbali kwenye kituo cha mikutano.
1676958025142.png

HABARI LEO
 
ilipoteaje na nani alipoteza heshima hiyo? ila usinijibi kuwa ni makufuli huu uongo tumechoka nayo
Yaani huyo bira angekaa kimya kuliko kujidharirisha. Yaani hajui kuwa JK alipojenga Julius Nyerere International Conventional Center JNICC ndio ilikuwa kifo rasmi cha AICC.
Na nyingine ni siasa za kiharakati zilizokuwa zinaendelea arusha enzi za Godbless Lema ambazo zilileta shida hadi kwenye sekta ya utalii. Na sasa zimefunguliwa rasmi.
 
Ephraim-Mafuru-73b99c1a1d21-780x470.jpg
MKURUGENZI Mtendaji wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC), Ephraim Mafuru ameahidi kufanya kazi kwa bidii, ili kurudisha heshima iliyopotea ya kituo hicho.

Mafuru ameyasema hayo leo mbele ya waandishi wa habari wakati akiripoti kwenye kituo chake kipya cha kazi na kusisitiza kurudisha tena imani ya wateja wa zamani wa AICC.

“Tumedhamiria kuwabakisha wateja wetu ambao walitafuta huduma zinazohusiana na mkutano mahali pengine, lengo letu pekee ni kuona AICC inarudi pale ilipokuwa kwa miaka mingi,” amesema.

Amesema AICC itazindua idadi ya huduma mpya na za kipekee kwa lengo la kuvutia wateja mbalimbali kwenye kituo cha mikutano.

HABARI LEO
Law 45: Preach the Need for Change But Never Reform Too Much at Once

Everyone understands the need for change in the abstract, but on the day-to-day level people are creatures of habit. Too much innovation is traumatic, and will lead to revolt. If you are new to a position of power, or an outsider trying to build a power base, make a show of respecting the old way of doing things. If change is necessary, make it feel like a gentle improvement on the past.
 
Yaani huyo bira angekaa kimya kuliko kujidharirisha. Yaani hajui kuwa JK alipojenga Julius Nyerere International Conventional Center JNICC ndio ilikuwa kifo rasmi cha AICC.
JNICC na AICC zote zipo chini ya wizara ya Mambo ya nje, na ninadhani Mkurugenzi ni mmoja!
 
Ephraim-Mafuru-73b99c1a1d21-780x470.jpg
MKURUGENZI Mtendaji wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC), Ephraim Mafuru ameahidi kufanya kazi kwa bidii, ili kurudisha heshima iliyopotea ya kituo hicho.

Mafuru ameyasema hayo leo mbele ya waandishi wa habari wakati akiripoti kwenye kituo chake kipya cha kazi na kusisitiza kurudisha tena imani ya wateja wa zamani wa AICC.

“Tumedhamiria kuwabakisha wateja wetu ambao walitafuta huduma zinazohusiana na mkutano mahali pengine, lengo letu pekee ni kuona AICC inarudi pale ilipokuwa kwa miaka mingi,” amesema.

Amesema AICC itazindua idadi ya huduma mpya na za kipekee kwa lengo la kuvutia wateja mbalimbali kwenye kituo cha mikutano.

HABARI LEO
Muda ni wakili au Hakimu nzuri
 
Bongo bhana !! kwahiyo waliopita walikuwa mabwege ila yeye ndio anajua !
 
ilipoteaje na nani alipoteza heshima hiyo? ila usinijibi kuwa ni makufuli huu uongo tumechoka nayo
Magu alikuta AICC ilishakufa. ICTR ilipomaliza shughuli zake na JNICC ilipojengwa dar ndipo AICC ilikwisha.
 
ilipoteaje na nani alipoteza heshima hiyo? ila usinijibi kuwa ni makufuli huu uongo tumechoka nayo
Ni Magufuli! Huyu bwana alikuwa hapendi chochote cha maana kifanyike kanda ya kaskazini. Aliichukia kanda hii na watu wake kama vile ilimkosea sana, sijui ndio waliomlisha sumu siku za nyuma?
 
Inawezekana, hakuna kazi ngumu hapo; akikaa ofisini aka-draft barua nzuri ya ushawishi kwenda kwa wahusika (wateja) patafurika sana.
 
Nawakumbudha kuwa Kuna hotel jubwa hapo na zenye kumbi nzuri zaidi ya huo. Fani za watu hizi msijadili kitu jilicho nje ya upeo wenu😂
 
Back
Top Bottom