upinzani

  1. JamiiForums Tanzania Maajabu ya Tanzania, siasa halali za vyama vya upinzani kuhesabika kama uhalifu wa makosa ya jinai!

    Katika Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ya mwaka 1977, ibara ya 3(1) inasomeka hivi " Jamhuri ya Muungano wa Tanzania itakuwa nchi ya kidemokrasia na ya mfumo wa vyama vingi" mwisho wa kunukuu Katika mazingira hayo vyama vya upinzani vinapaswa kutoa "constructive criticism" ambavyo...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Ni wakati wa kuipongeza CHADEMA ni wakati wa kuuonya Upinzani

    Nichukuwe nafasi hii kuipongeza Chadema kwa mambo kadhaa . Kwanza kwa kujuwa nafasi yake ya kuwa chama kikuu cha upinzani na kuwa chama kiongozi miongoni mwa vyama vya upinzani Tanzania. Nawapongeza kwa kuonesha siasa mbadala. Nawapongeza kwa kuanza kukomaa na kutoendeshwa kwa matakwa ya...
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini ukiwakosoa vyama vya Upinzani unageuka kuwa adui wao na ukiwasifia unakuwa rafiki yao?

    Ukiangalia kinachoendelea huko kwenye mitando ya kijamii ni kutoleana kinachoitwa siri za vijana wa upinzani wenyewe kwa wenyewe na kutana wasaliti mala majasusi uchwara kila aina ya kejeli sababu ni nini? Wale wote waliokuwa wakiitana makamanda na kusifiana leo hawapo tena pamoja Prof. Safari...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Huenda 2020 tukawa hatuna chama kikuu cha Upinzani wala Kiongozi wa Upinzani Bungeni ( KUB)

    Ili uwe na chama kikuu cha upinzani na kiongozi wa upinzani bungeni ni lazima idadi ya wabunge na kura za uchaguzi mkuu zihusishwe. Kwa sasa ukiondoa CCM chama kingine chenye uwezekano wa kupata wabunge na madiwani ni ACT wazalendo ambayo inawategemea zaidi wapiga kura wa Zanzibar hasa kule...
  5. JamiiForums Tanzania Upinzani utakuwa na pande mbili zilizo rasmi, ambazo ni “Radical” pamoja na “Moderate” wings!

    Baada ya chairman Mbowe kumtaka mh rais kufanya mchakato wa maridhiano, upinzani ghafla umegawanyika zaidi. Wako wana chadema wanaokubalina, na wako wasiokubaliana na hatua ya mwenyekiti wao kuomba maridhiano ya kitaifa. Kuna wanachadema ambao wamechukizwa, na wengine wakiungana na Zitto kwenye...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Baada ya upinzani kuonesha kusitasita, watanzania wanaitazama Lumumba kama sehemu pekee ya kuwekeza kwa Tanzania ya kesho

    Licha ya sababu mbalimbali za kiuchumi na kisiasa zilizofanya nchi yetu kuanzisha mfumo wa vyama vingi mwaka 1992 na uchaguzi wa kwanza kufanyika 1995 lakini bado CCM ni tumaini pekee la watanzania. Kuanzia uchaguzi wa 1995 mpaka wa mwaka 2015, CCM imekuwa ikishinda na ushindi wa kishindo...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Kesho Mwanza CHADEMA itaifunika CCM sherehe za uhuru. Wakuu wa chama kuhudhuria

    Kamati kuu ya Chadema kwa kauli moja imeazimia kushiriki katika sherehe za Uhuru zitakazofanyika Mwanza kitaifa.
  8. JamiiForums Tanzania Kiongozi wa upinzani azuiwa kuondoka Rwanda

    Kiongozi wa Upinzani nchini Rwanda Victoire Ingabire amezuiwa kutoka nchini Rwanda kupokea tuzo ya haki za binadamu. Bi Victoire Ingabire kiongozi wa upinzani nchini Rwanda alitunukiwa tuzo ya mtetezi wa haki za binadamu iliyotolewa na Shirika la haki za binadamu la Uhispania, lakini hakupewa...
  9. JamiiForums Tanzania Mzee Frederick Tluway Sumaye ajiondoa CHADEMA. Asema mambo yamembadilikia CHADEMA baada ya kuchukua fomu kugombea Uenyekiti Taifa

    Frederick Sumaye ameita waandishi wa habari leo Jumatano Desemba 4, 2019. Sumaye ameitisha mkutano huo siku chache baada ya kushindwa uchaguzi wa uenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani. Licha ya kuwa mgombea pekee, alipigiwa kura 48 za hapana kati ya kura 76. Kulingana na taratibu za chama hicho...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Mbowe ameishinda kauli ya kusema "vyama vya upinzani ni vyama vya msimu"

    Tangu mfumo wa vyama vingi uanze hapa nchini,tumekuwa na vyama kadhaa ambavyo kwa nyakati tofauti vilikuwa ni vyama vikuu vya upinzani(vyama vyenye nguvu) kama vile NCCR-MAGEUZI chini ya Lyatonga Mrema na baadae CUF chini ya Prof.Lipumba. Historia inaonyesha kuporomoka kwa vyama hivi, ni...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Upinzani ni fikra sio chama, haufi

    Kuna wanaofikiria vyama vya upinzani na fikra za upinzani ni kitu kimoja. Tanzania watu wana utamaduni na fikra za kupingana na ubishi hii hakuna mtu ataweza kuiondoa. Ilikuwepo kabla ya uhuru mpaka sasa. Vyama vitakufa kwasababu ni taasisi zinazoweza kubanwa lakini fikra ya upinzani ni kama...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Walalamishi wengi wa upinzani ni wanafiki

    Nimefuatilia mijadala mingi na kugundua kuwa kuna Watanzania wengi sana hasa kwenye mitandao wameweka mbele kulalamikia upinzani tu bila kuzingatia hali halisi ya siasa na mazingira ya nchi yetu. Rushwa za kisiasa zipo mpaka kwenye video, mikutano hairuhusiwi, viongozi wa vyama vya upinzani...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Lowassa angekuwa Rais kupitia CCM, angebana zaidi upinzani kuliko ilivyo hivi sasa

    Kwa mujibu wa mwanaharakati fulani, ni kwamba hali ya siasa za upinzani kubanwa hivi sasa, ni kidogo sana na hali ingekuwa mbaya sana Kama Lowassa angekuwa Rais kupitia CCM 2015. Mwanaharakati huyo anadai, Lowassa sio mvumilivu wa siasa za kukosoana na angekuwa Mbabe zaidi hata ya Rais...
  14. JamiiForums Tanzania Upinzani unadumazwa na CHADEMA

    Wananchi wanapenda mabadiliko sana ila vyama vinavyojiita vya upinzani Nchini hususani Chadema kimekuwa kikizorotesha sana uhai upinzani. Ushahidi wa haya unayoyasema upo wazi kabisa:- 1. CHADEMA ndiyo waliomkera Dr Wilbroad Slaa kiongozi ambaye alipaswa kuzalisha vijana wengi kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Upinzani Tanzania una matatizo? Vyama havina Succession Plan hivyo vina Usultani! CHADEMA kuna Usultani? Usultani huu Utakiinua au Utakiangamiza?

    Wanabodi, Hili ni bandiko la maswali yenye facts Jee kuna ubishi kuwa Upinzani Tanzania Unamatatizo?. Ni matatizo gani na usaidiweje?. Vyama vingi vya Upinzani Havina Succession Plan, kwanini vyama hivyo havina succession plan na sio tuu kwenye uongozi wa ndani, hata kwenye ubunge na udiwani...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Makamu mwenyekiti wa chama cha upinzani hana madaraka wala majukumu yoyote kama aliyonayo yule wa CCM

    Nimejaribu kupitia katiba za Cuf, Nccr, Chadema, TLP na ACT wazalendo nikitaka kuona madaraka aliyonayo Makamu Mwenyekiti wa chama, kiukweli hana majukumu yoyote. Ni kama vile nafasi hii iliwekwa ili kuimarisha muungano japokuwa vyama karibia vyote vya upinzani havilizingatii hilo. Chadema kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Kuna watu wanafikiri upinzani ndiyo kwisha habari yake wanasahau kufa ni sehemu ya kuanza upya.

    Ili mbegu iote sharti ioze kwanza na kuharibika ili uhai uchipuke upya,ni jambo la ajabu sana hili kutafakari kwa kina. Kwa wakulima hawawezi kustaajabu sana kwa sababu ya uzoefu wa jambo hilo ila kuna haja ya kujifikirisha zaidi juu ya mchakato unaofanyika. Ukihusisha kuoza kwa mbegu na kuota...
  18. JamiiForums Tanzania Chama dola kinapokosa upinzani tutegemee nini?

    Gen Paul Kagame alipotwaa madaraka alicheza kulinyoosha Bunge halafu akavimaliza vyama vya upinzani,watu wa chama chake RPF wakabaki wanamshangilia na kuona wamebaki wao tu kama chama tawala! Baada ya kuona sasa bunge ni dhaifu, mahakama ni yake na vyama vya upinzani vimebaki majina tu na...
  19. JamiiForums Tanzania Dk Bashiru: Vyama vya upinzani vitakufa kimoja baada ya kingine

    Katibu mkuu wa CCM, Dk Bashiru Ally amesema vyama vya upinzani nchini Tanzania vitaendelea kufa kimoja baada ya kingine kwa kuwa vinashindwa kufanya siasa vikubalike kwa wananchi. Ametoa kauli hiyo leo Jumatano Novemba 27, 2019 wakati akizungumza na viongozi wa chama hicho tawala Mkoa wa...
  20. JamiiForums Tanzania Vyama vya upinzani mjifunze kutokana na makosa

    Vyama vya upinzani hasa vile saba mlivyojitoa katika kinyang'anyiro cha uchaguzi wa serikali za mtaa kwa mlichokifanya iwe funzo kwenu next time msirudie tena kwa sababu mmewanyima wananchi wenyu fursa ya kuchagua na kuchaguliwa. Tatizo lenu mnapenda kufanya mambo kisiasa, basi kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…