upinzani

  1. Influenza

    JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Marekani nchini wasikitishwa na Uminyaji demokrasia na ukamataji wa Viongozi wa Upinzani nchini

  2. Mystery

    JamiiForums Tanzania GE2020 Je, utabiri wa Mwalimu Nyerere kuwa upinzani wa dhati nchini utatoka ndani ya CCM kuanza kutokea katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu?

    Katika moja ya hotuba zake muhimu kwa nchi hii wakati wa uhai wake Mwalimu Nyerere aliwahi kutoa utabiri kuwa upinzani wa dhati nchini utatoka ndani ya CCM. Kutokana na kujitokeza kwa mwanasiasa, Bernard Membe kudai kuwa amepania kuchukua fomu ya kugombea Urais katika uchaguzi mkuu wa mwaka...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Vyama vya upinzani jifunzeni kutumia unyanyasaji mnaofanyiwa kwa faida yenu - tumieni mahabusu kwa kuhamasisha maelfu kukamatwa dunia yote ione!

    Mara nyingine ili Magufuli na serikali yake waelewe kwamba wanafanya unyanyasaji usiokubalika kwa vyama vya upinzani, inatakiwa vyama vya upinzani waje na namna ya kutumia unyanyasaji huo kwa faida yao wenyewe. Wafuasi wa vyama vya upinzani wanapaswa kuelewa siku zote wale wanaopigania haki zao...
  4. Sophist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Pendekezo la Kauli-Mbiu ya Upinzani katika Uchaguzi Mkuu 2020

    Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2020, ninawashauri wapinzani kutumia Kauli-Mbiu moja hata kama kila chama kinashindana kivya-vyake. Ni kwa njia hii upinzania utaweza kuichinjia CCM baharini ki-mkakati. Ninawashauri kuchagua Kauli-Mbiu inayoelekea kufanana na hii: Ondoa Balaa [la udikiteita], [Ruhusu]...
  5. Influenza

    JamiiForums Tanzania Serikali yasitisha leseni ya kuchapisha na kusambaza Gazeti la Tanzania Daima kuanzia Juni 24, 2020

    Serikali kupitia kwa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imesema kuwa kufuatia kusitishwa kwa lesini ya gazeti hilo, halitaruhusiwa kuchapishwa wala kusambazwa popote nchini au nje ya nchi Serikali imebainisha kuwa uamuzi huo umetokana na kukithiri na kujirudia kwa makosa yanayokiuka...
  6. Kawe Alumni

    JamiiForums Tanzania Ikulu: Rais Magufuli awataka watendaji kufanya kazi kwa kuzingatia viapo vyao. Awaasa kuridhika na nafasi walizo nazo, siyo kukimbilia Ubunge

    Tunasubiri tuone atasema nini Rais Mzalendo Magufuli ------ UPDATE---- Rais Magufuli leo amemwapisha Idd Kimanta kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha anayechukua nafasi ya aliyekuwa mkuu wa mkoa huo Mrisho Gambo baada ya kutenguliwa Juni 19, 2020. HOTUBA YA RAIS MAGUFULI (KWA UFUPI) Nami niungane...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Upinzani mkubwa katika historia ya Urais Tanzania

    Upinzani Mkubwa Niliowahi Kushuhudia Kwa Suala La Siasa Hasa Kwa Uchaguzi Wa Rais Tanzania Ulioshirikisha Vyama Vingi, Ni Ule Wa 1995 Kati Ya Mrema Na Mkapa Na Wa Pili Ni Ule Wa 2015 Kati Ya Lowasa Na Magufuli. Chaguzi Zingine Zote Hazikuwa Na Upinzani Wa Kutisha. Wapo Wengi Wanadai Hata Mwaka...
  8. technically

    JamiiForums Tanzania Membe anatumika kuua upinzani?

    Mwaka 2010 waliotaka kumchallenge Kikwete ilikuwaje? mwaka 2000 je kwa Mkapa ilikuwaje? Membe kugombea urais mwaka huu anatumwa na nani? hata angekuwa yeye ndiye rais angekubali mtu mwingine apewe form? Sikubaliani Na Magufuli kwa mambo mengi ila kuna ajenda ya siri anayo Membe. Membe anatumika...
  9. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Upinzani ukimweka Membe itakuwa tofauti kubwa na ilivyokuwa kwa Lowassa! Watashinda

    Lowassa pamoja na kupendwa sana kwa kweli alikuwa dhaifu mno 2015. Tena mno, kimawazo (hakuwa na mvuto wa hoja) na hata kiafya (enzi za siha njema zilishampita). Kwangu mie hata JK kuhakikisha Lowassa hawi Rais ilikuwa ni kumsaidia rafiki yake ambaye alikuwa anajua undani wake. Lowassa...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Membe: Kamati Kuu haina mamlaka ya kunifukuza Uanachama wa CCM bali Halmashauri Kuu ya Taifa. Asema kati ya Juni na Oktoba chochote kinaweza tokea

    Membe anasema: Kuhusu kugombea ndani ya CCM: Kuhusu kugombea ndani ya CCM, tukafikia mwafaka na Washauri, Tukafikia uwamuzi kwamba, sisi hatujamkosea mtu, sisi hatujawa waharifu, sisi hatuna uoga na tunaniamini, sisi tuna haki kabisa kabisa ya kugombea urais huu kwa sababu tunalindwa na Katiba...
  11. Azizi Mussa

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ushauri kunusuru upinzani ‘kidharura’: CHADEMA msimamisheni Membe, ACT msiweke mgombea bara; Haitawapa ushindi ila itawasaidia kuendelea ku 'savaivu'

    Disclaimer; Mtoa ushauri huu ni mwana CCM anayeamini katika demokrasia. Anaamini CCM imara itatokana na uwepo wa upinzani bora kwa kuwa CCM itapata kioo cha kujitazama, na kufa kwa upinzani kutasababisha CCM isiwe na pa kujipimia na hivyo ubora wake kuyumba.Kama Simba ikipotea kabisa, hatuwezi...
  12. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania GE2020 Vyama vya Upinzani teueni Mgombea Kati ya walioko Tanzania ndege za ulaya hazisafiri hazijulikani lini zitaanza sababu ya Corona

    Kwa sababu ya Corona ndege za kutoka ulaya kuja Tanzania hazipo na hazijulikani lini zitaanza Kwenye mchakato wa uteuzi wa mgombea uraisi chadema na vyama vingine vya upinzani ni vizuri vikateua wagombea uraisi waliomo ndani ya Tanzania. Wasije poteza kwa kuteua mtu ambaye hataenda kuchukua...
  13. WENYELE

    JamiiForums Tanzania Kwanini Upinzani wanafuatilia sana CCM?

    Kwa siku za hivi karibuni, wapinzani hasa Chadema na Zitto wamekuwa wakifuatilia sana mambo ya CCM. Yaani sasa hivi wanafuatilia kila move anayopiga mgombea wa urais CCM badala ya kufuatilia mambo ya kwao? Nimeona gazeti la CHADEMA, Tanzania Daima habari kuu ni CCM na humu hadi social media...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Mafuriko wa Wabunge wa Upinzania kuhamia CCM: Baada ya Bunge kuvunjwa,wabunge wa Upinzani waliomiminika kwenda CCM wako wapi?

    Tuliambiwa kuwa Bunge litapovunjwa au kukaribia kuvunjwa,Wabunge wa upinzani, hasa wa CHADEMA, wangehama kwa wingi mithili ya maji ya mafuriko kwenda CCM na kwamba CHADEMA ndio ingekufa rasimi. Swali: Mafuriko hayo yako wapi? Je, wale Wabunge Bunge wa viti maalumu waliohama hivi karibuni...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Bulembo: Sina mkwe anayeitwa Zitto, wao wanafanya starehe zao vichakani hawezi kuwa mkwe wangu!

    Mbunge wa kuteuliwa mstaafu alhaj Bulembo amesema hana mkwe anayeitwa Zitto na kwamba " wao" wanafanya starehe zao vichakani hivyo hawezi kuwa mkwe katika familia yake. Alhaj Bulembo alikuwa akijibu swali la mtangazaji wa Clouds 360 aliyetaka kujua kama Halima Bulembo ni mke wa Zitto na...
  16. Mzalendo2015

    JamiiForums Tanzania GE2020 Upinzani Tanzania wafananishwa na George Floyd!

    Kibano ambacho vyama vya Upinzani Tanzania vinapitia tangu Rais Magufuli aingie Madarakani 2015 ni sawa na kibano cha Polisi wa Marekani kwa George Floyd (RIP). Tunaingia Uchaguzi Mkuu wa 2020 bado Wapinzani hawana RUKSA ya kufanya mikutano iwe ni ya ndani au ya nje. Hakuna kuandamana wala...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo baadhi ya wabunge wa upinzani wanavyochukuliwa na jamii baada ya miaka karibu mitano ya shida na mateso

    Chanzo:Tony Alfred on twitter. Maoni yangu: Kuna mtu/watu watakuwa wanajisikia vibaya sana kusoma tweet hizi(maneno haya) na wajue tu watakumbukwa kwa matendo yao na si kwa structures watazotuachia kwani wako wengine watakaoikuja kujenga structures zingine bora zaidi kama ambavyo wao sasa...
  18. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Spika Ndugai, upinzani siyo CHADEMA, ni Watanzania waliochoka...

    Miaka kadhaa sasa, Chama chango tawala CCM imekuwa ikihubiri kukiua Chadema kwa maana wanaonekana ni wapinzani wa utawala. Kukiua Chadema siyo issue, maana CHADEMA ikifa, kitakachokuja mbadala ni mbaya na kubwa Zaidi ya Chadema. Chadema siyo wapinzani. Wapinzani ni watanzania. Mioyo yao ndio...
  19. M-mbabe

    JamiiForums Tanzania GE2020 Rais Magufuli: Nina uhakika wabunge wa CCM watarudi bungeni, lakini ambao hawatarejea tunashukuru kwa mchango wao

    Vyama vya upinzani mmeona hicho kigongo kutoka kwa mshika dola? Maneno haya aliyoyasema Rais yalipaswa yatolewe kwenye CCM campaign rally na siyo ndani ya chombo huru (at least kikatiba) kama bunge. Ana audacity ya kuonyesha upendeleo wa wazi kwa chama chake mahali ambapo si pake (bungeni) na...
  20. APA CHICAGO

    JamiiForums Tanzania Vyama vya upinzani hebu tusemezane kidogo

    Mwaka huu hapo October kutakuwa na uchaguzi Mkuu wa Rais, wabunge na madiwani. Ninaimani mtasimamisha wagombea wa urais, wabunge na madiwani. Nataka tusemezane jambo moja kubwa kwa kuwa wabunge na madiwani wa upinzani baada ya uchaguzi wanahamia CCM hatimaye taifa linaingia gharama za kurudia...
Back
Top Bottom