DC Katambi: Wabunge wa upinzani wanaongoza kwa biashara ya kununua huduma za makahaba jijini Dodoma, orodha ya majina yao ninayo.

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,915
141,875
Mkuu wa wilaya ya Dodoma mjini mh Patrobas Katambi amesema biashara ya ukahaba imeshamiri wilayani kwake na wanunuzi wakuu wa Huduma hiyo ni wabunge na zaidi wa upinzani.

Katambi amesema kuanzia sasa hawatawakamata makahaba pekee bali pamoja na wateja wao. Amedai kuwa anazo namba za magari ya viongozi wa serikali na Ngos zinazobeba malaya usiku na kuwaonya wahusika kuacha huo uchafu.

Katambi alitaka kumtaja mmoja wa wabunge wa upinzani ambaye ni kinara wa kununua " Huduma " za makahaba lakini akasema maadili yanambana lakini atawataja hivi karibuni.

DC Katambi alikuwa ameamshwa na waandishi wa habari usiku wa manane ili akashuhudie makahaba wanavyojiuza katika maeneo ya Uhindini na bunge pubs.

Source Ayo tv

Maendeleo hayana vyama!
 
Inawezekana yeye pia ni mshiriki mzuri wa Biashara hiyo.Wataalamu wanasema hauwezi kuimba wimbo usioujua.
 
Back
Top Bottom