Uchaguzi 2020 Rais Magufuli: Nina uhakika wabunge wa CCM watarudi bungeni, lakini ambao hawatarejea tunashukuru kwa mchango wao

M-mbabe

JF-Expert Member
Oct 29, 2009
11,671
2,000
Vyama vya upinzani mmeona hicho kigongo kutoka kwa mshika dola?

Maneno haya aliyoyasema Rais yalipaswa yatolewe kwenye CCM campaign rally na siyo ndani ya chombo huru (at least kikatiba) kama bunge. Ana audacity ya kuonyesha upendeleo wa wazi kwa chama chake mahali ambapo si pake (bungeni) na yeye ni rais anayetakiwa kuwaunganisha watu wote hususani tunapoelekea kwenye uchaguzi.

Tukiingia kwenye uchaguzi bila ya kutengeneza mazingira ya uchaguzi huru na wa haki (hususani bila tume huru), si rahisi kwa wapiga kura wanaotaka upinzani ushike dola kushiriki kwenye uchaguzi ambao rais tayari keshatoa amri kwa vyombo vyenye wajibu wa kusimamia uchaguzi kuwa ni wabunge wa CCM pekee ndiyo watakaorejea bungeni.

Zitto Kabwe, John Mnyika na wengineo - you have the whole monster ahead of you to fry.

1592300690515.png
 
Omusolopogasi

JF-Expert Member
Aug 31, 2017
3,552
2,000
Wapinzani walikuwa na miaka 5 ya kutafuta katiba mpya yenye kuweka mazingira ya uchaguzi huru na wa haki. Tena hapo mwanzo 2016 walikuwa na Wabunge wengi sana na nguvu ya kutosha.

Lakini walitulia tuli baada ya kuambiwa kuwa hakuna mikutano na maandamano. Kwa sasa it's too little too late. Siyo siri tena - dikteta atawatoa wote Bungeni. Alikwishawatoa kwenye serikali za mitaa tayari.
 
chagu wa malunde

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
5,925
2,000
Vyama vya upinzani mmeona hicho kigongo kutoka kwa mshika dola?

Maneno haya aliyoyasema rais yalipaswa yatolewe kwenye CCM campaign rally na siyo ndani ya chombo huru (at least kikatiba) kama bunge. Ana audacity ya kuonyesha upendeleo wa wazi kwa chama chake mahali ambapo si pake (bungeni) na yeye ni rais anayetakiwa kuwaunganisha watu wote hususani tunapoelekea kwenye uchaguzi.

Tukiingia kwenye uchaguzi bila ya kutengeneza mazingira ya uchaguzi huru na wa haki (hususani bila tume huru), si rahisi kwa wapiga kura wanaotaka upinzani ushike dola kushiriki kwenye uchaguzi ambao rais tayari keshatoa amri kwa vyombo vyenye wajibu wa kusimamia uchaguzi kuwa ni wabunge wa CCM pekee ndiyo watakaorejea bungeni.

Zitto Kabwe, John Mnyika na wengineo - you have the whole monster ahead of you to fry.

View attachment 1480372
Kama kwa miaka mitano walikuwa wanashinda mahakama ya kisutu badala ya kuwatumikia wananchi,unategemea warudi?
 
Kadhi Mkuu 1

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
9,014
2,000
Hii kauli hatari. Anajua kuwa atafanya kama serikali za mitaa. Juzi niliandika humu, watia nia ya urais wanalisemeaje hili? Hakuna haja ya kutangaza nia kama hili halijawa addressed! Mwanahabari Huru Erythrocyte Quinine Mbowe hana akaunti humu?
Chadema mnasema tundu Lissu atashinda urais wa JMT kwa kumbwaga JPM. Sasa hofu ya Nini tena wakati mnaenda kuchukua dola hivi karibuni?

Bunge limeshavunjwa nanyi chadema ndo mtaongoza nchi hapo October na mtaondoa upuuzi wote wa ccm.
Lissu oyeee! Rais wa jmt October 2020.
 
M-mbabe

JF-Expert Member
Oct 29, 2009
11,671
2,000
Shetani hajawahi kumshinda Mungu , mimi binafsi kwa maono yangu Magufuli kipindi chake cha Urais kitakwisha baada ya miaka mitano
hata mimi napenda hii itokee ila sijaona kinachoendelea cha kunishawishi ndoto yangu kutimia.. nasikia tu kuwa wapinzani watashiriki uchaguzi basi.

kuna haja ya viongozi wakuu wa upinzani wafanye cha ziada.....

mathalani vipi "Court Injunction to Suspend the 2020 General Elections Until/Unless an Independent Electoral Committee is Formed"? nina uhakika hii itapata support kubwa sana kutoka kwa wadau wetu wa maendeleo...

cc: Zitto Kabwe, John Mnyika, etc
 
pilipili kichaa

JF-Expert Member
Sep 3, 2013
10,906
2,000
Kuna kila dalili hakuna uchaguzi huru na wa haki hata kwa asilimia 40!
raisi ameshapanga wa kurudi ni akina nani!
Ameshakuwa msemaji wa wapiga kura
Msemaji wa tume huru ya uchaguzi
Pia hata wapinzani wakishinda maana yake DED hakuna kuwatangaza tangaza wa ccm!
 
Crimea

JF-Expert Member
Mar 25, 2014
11,396
2,000
hata mimi napenda hii itokee ila sijaona kinachoendelea cha kunishawishi ndoto yangu kutimia.. nasikia tu kuwa wapinzani watashiriki uchaguzi basi.

kuna haja ya viongozi wakuu wa upinzani wafanye cha ziada.....

mathalani vipi "Court Injunction to Suspend the 2020 General Elections Until/Unless an Independent Electoral Committee is Formed"? nina uhakika hii itapata support kubwa sana kutoka kwa wadau wetu wa maendeleo...

cc: Zitto Kabwe, John Mnyika, etc
Unahangaika sana mkui
 
Mbalinga

JF-Expert Member
Apr 9, 2010
1,679
2,000
Mimi napendekeza kuwa uchaguzi wa mwaka huu ugeuzwe kuwa fursa ya mapinduzi ndani ya nchi yetu. Wapinzani wa kweli ongozeni umma kwenye mapinduzi. Kwa kauli ya Magufuli ni kuwa watafanya kila litakalowezekana pasiwe na upinzani wa kweli mara baada ya uchaguzi.

Kitendo chochote cha kukosa haki ni lazima kikabiliwe na upinzani imara hata kama hiyo itabidi kufanya vurugu. Itisheni civil disobedience. Zile kauli za woga kwamba 'hatutaki kuingia ikulu kwa damu za watu' ziachwe kabisa, kwani sasa ni dhahiri kuwa haki haiwezi kutolewa bali itadaiwa.

Tujitayarishe kwa mapambano, na kwangu sioni mgombea wa urais anayeweza kuliongoza hili isipokuwa Mh Tundu Lissu. Mbowe ni kiongozi mzuri lakini ni soft sana, na mwoga. Nyalandu ndiyo kabisa hili haliwezi. Tujiandae kwa mapambano, wananchi wataunga mkono wakiona mko makini.

MUNGU IBARIKI TANZANIA
 
Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
24,815
2,000
hata mimi napenda hii itokee ila sijaona kinachoendelea cha kunishawishi ndoto yangu kutimia.. nasikia tu kuwa wapinzani watashiriki uchaguzi basi.

kuna haja ya viongozi wakuu wa upinzani wafanye cha ziada.....

mathalani vipi "Court Injunction to Suspend the 2020 General Elections Until/Unless an Independent Electoral Committee is Formed"? nina uhakika hii itapata support kubwa sana kutoka kwa wadau wetu wa maendeleo...

cc: Zitto Kabwe, John Mnyika, etc
Hatuna majaji wa kutoa amri kama hiyo. majaji wenyewe mashauri na Magoiga? That could have been the best option. Erythrocyte
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom