Mambo haya yatakipa ushindi mkubwa CCM na yanaweza kupoteza wabunge wengi wa upinzani kwa kuzingatia muda uliobaki kufanya uchaguzi

Enzi na Enzi

JF-Expert Member
May 29, 2020
888
821
Mambo yafuatayo CCM ikijipanga vizuri itashinda kwa kishindo ....

1. Kitendo cha Tundu Lissu kwenda kuichafua nchi kwa wazungu.

2. Kitendo cha Zitto Kabwe kutaka nchi isipewe mkopo wa elimu na WB, na baadaye nchi kukopeshwa

3. Kitendo cha wapinzani kupinga kila kitu

4. Kitendo cha wapinzani kutaka lockdown kipindi cha korona

5. Kitendo cha wapinzani kunyanyasa wabunge wao

6. Maadili ya baadhi ya viongozi wa upinzani kuvuja kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu

7. Kitendo cha vyama vya upinzani kutaka kuchafua nchi kwa kuzua mambo mbali mbali na kutetea maovu.

Mambo haya na mangine mengi ambayo CCM imefanya ikiwemo kupunguza rushwa, uwajibikaji, miundombinu na mahospitali watashinda ushindi mkubwa sana.

Vyama vya upinzani visivyo na madoa kama NCCR Mageuzi vikitumia turufu ya makosa waliyofanya wenzao wanaweza kuwa chama mbadala kikubwa kupitia makosa walofanya wenzao.
 
Utasikia Mchungaji akifurahia kauli ya kumaliza wapinzani
 
Nimejikuta nacheka mkuu unatoa notes au unatuona wote wa kukop na kupaste? Hayo Ni mawazo yako Tunataka wabunge wawakilishe majimbo yao siyo chama ? Haijalishi Ni upinzani au chama tawala . Kuna watu hawana vyama ila wadau wa maendeleo. Usitushikie fikra hayo Ni MAWAZO yako
 
8. Kitendo cha serikali kuwapiga na kuwaua baadhi ya wapinzani
9. Kitendo cha serikali kutumia dola na nguvu kubwa kuua upinzani
10. Kitendo cha serikali kuzuia mikutano ya vyama vya upinzani
11. Kitendo cha serikali kupanga kumuumiza Mbowe wakati huu wa campaign
12. Kitendo cha serikali na magu kufanya kampeni muda wote wa miaka 5 ya kipindi cha kwanza ilhali upinzani umezuiwa
13. Kitendo cha serikali kuminya uhuru wa vyombo vya habari
14. Kitendo cha serikali kuharibu na kuwazuia wapinzani kugombea kama ilivyokuwa mwaka jana uchaguzi wa serikali za mitaa
Haya yote yakitumika vizuri kwanini ccm isishinde kwa kishindo?
 
Hata Ibilisi hakosi wafuasi
Mambo yafuatayo CCM ikijipanga vizuri itashinda kwa kishindo ....

1. Kitendo cha Tundu Lissu kwenda kuichafua nchi kwa wazungu.

2. Kitendo cha Zitto Kabwe kutaka nchi isipewe mkopo wa elimu na WB, na baadaye nchi kukopeshwa

3. Kitendo cha wapinzani kupinga kila kitu

4. Kitendo cha wapinzani kutaka lockdown kipindi cha korona

5. Kitendo cha wapinzani kunyanyasa wabunge wao

6. Maadili ya baadhi ya viongozi wa upinzani kuvuja kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu

7. Kitendo cha vyama vya upinzani kutaka kuchafua nchi kwa kuzua mambo mbali mbali na kutetea maovu.

Mambo haya na mangine mengi ambayo CCM imefanya ikiwemo kupunguza rushwa, uwajibikaji, miundombinu na mahospitali watashinda ushindi mkubwa sana.

Vyama vya upinzani visivyo na madoa kama NCCR Mageuzi vikitumia turufu ya makosa waliyofanya wenzao wanaweza kuwa chama mbadala kikubwa kupitia makosa walofanya wenzao.
 
Nadhani debateza wabunge na rais ziwepo wakati wa uchaguzi. Ndizo zirakazotuambia nani ni nani. Ni Tz tu ndiyo hakuna debate. Wanasiasa wetu wanaogopa nini? Wananchi yatupasa kutaka jambo hili liwepo ili tuwajue viongizi wetu. Polisi nao walinde raia na kura za haki siyo kutumika na ccm. Sisu wengine hatuna vyama mnatuudhi!
 
Nimejikuta nacheka mkuu unatoa notes au unatuona wote wa kukop na kupaste? Hayo Ni mawazo yako Tunataka wabunge wawakilishe majimbo yao siyo chama ? Haijalishi Ni upinzani au chama tawala . Kuna watu hawana vyama ila wadau wa maendeleo. Usitushikie fikra hayo Ni MAWAZO yako
Wabunge wanaolewa konyagi chakali, wakisindikizwa na vimada bungeni?
 
Back
Top Bottom