Habari wakuu,
Huku Marekani na ulimwengu ukiwa na taharuki kufuatia kifo cha mmarekani mweusi aliyeuawa na polisi, binafsi nimejaribu kulinganisha/kuhusishanisha hili tukio na namna serikali yetu inavyokabiliana na siasa za upinzani kama ifuatavyo:
1. Katazo la kufanya siasa/goti shingoni...
Wapendwa wana JF,
Nadiriki kuandika uzi huu hapa nikiamini wataalam wa mambo ya SIASA wapo katika jukwaa pendwa la JF.
Mada yangu ni kuangazia makosa yaliyofanyika mpaka chama cha demokrasia na maendereo chadema kikafikia hatua hii mbaya kilipo kwa sasa.
Hili halina ubishi kuwa CHADEMA kina...
Lowassa aliletwa Chadema na TISS wakimtumia Apson na Gwajima bila Mbowe kujua ila baadae alikuja kugundua na hakutaka ajue chochote alifanya hivyo pia kwa Sumaye, Masha& Co. Mbowe baada ya kugundua alifanya makosa akaanza kuwafanyia ujasusi na kugundua wote walio kuja kutokea CCM na wimbi la...
Ni Mbunge ambaye kwa Wiki hii ya Pili sasa amekuwa akionyesha ' Ukomavu ' wake Kisiasa lakini ' Ucha Mungu ' mkubwa uliojawa na Hekima hadi Busara kwa upande Watendaji wa Chama Tawala ( sasa Wastaafu ) Lakini kama hiyo haitoshi kwa Kauli zake za Leo Bungeni ni kama ameshajua hatorejea tena...
Ukiwa juu ya siasa za vyama utaona wazi namna wananchi watakavyoihitaji Chadema kuliko makamanda wa Ufipa wanavyowahitaji.
Kwa kuwa chama kikuu cha upinzani kinapita katika wakati mgumu na mimi naamini kwamba Siasa siyo uadui, basi kwa hiyari yangu mimi Yohana nimejipa mzigo wa kuiombea Chadema...
Uwepo wa upinzani katika mfumo wa kisiasa kuna faida na hasara zake.
Moja ya faida ni ile ya kuusingizia upinzani kila wakati mambo yanavyokwenda ndivyo sivyo.
Hata kwenye dini pasingekuwepo shetani basi sifa na shutuma zote zingekuwa zinapelekwa kwa Mungu lakini sasa uovu huelekezwa kwa...
Ukiangalia mwenendo wa viongozi wa Chadema hivi sasa wanaohama chama hicho kuhamia NCCR Mageuzi utagundua wazi kuwa chama tawala kina mkakati wa wazi wa kukifanya chama cha NCCR Mageuzi kuwa chama kikuu cha upinzani baada ya mwaka 2020
Tamko la kiongozi wa NCCR Mageuzi, James Mbatia la hivi...
ACT chama cha Zito, CUF chama Lipumba, CHADEMA chama cha Mbowe, NCCR chama cha Mbatia nk. sioni chama cha upinzani hata akichaguliwa rais anaweza kupigwa makofi na mwenyekiti au kufukuzwa chama.
Mtazamo wangu baada ya uchaguzi 2020 kiongozi na mmiliki wa chama kimoja wapo aachie chama kiwe cha...
Kwanza nieleze kuwa kwa mujibu wa Katiba ya nchi kuna mihimili 3 katika nchi, ambayo ni Serikali, Bunge na Mahakama, ambayo inatakiwa kufanya shughuli zake bila kuingiliana, katika kile tunachokiita kwa Kiingereza kama "check and balances"
Hali ni tofauti sana katika nchi hii, kwa kuwa Rais...
Baada ya muda mrefu kuona muelekeo wa CCM haukuwa mzuri japo kuwa kipindi hiki cha awamu ya 5, naona mabadiliko makubwa kidogo nje na hayo mapungufu mengine. Mbowe amechemsha, nimeamua kuwadharau Chadema kwa kukubaliana kirahisi na maamuzi ya mwenyekiti wao, kwa maana hiyo mwenyeketi akisema...
Siwezi sema ni office gani niliyochukulia kadi lakini kwa ukweli nimeamini ile Slogan yenu ya Udugu mnaitekeleza.
Nimekuja kuchukua kadi nimelipia ada za mwaka mzima. Mmenipokea vizuri sana. Mmeonesha ukarimu wa hali ya juu.
Kwanza ofisini nimepewa heshima kubwa sana.
Pia mmenipatia...
MEZA YA BUSARA WAPO RADIO ipo hewani muda huu ni vizuri kuiskiliza, leo imekuja na hoja kuwa Upinzani ni uasi. Huku ni kipindi maalum kilichozinduliwa na Polepole wiki iliyopita mahsusi kwa kampeni za uchaguzi kwa CCM.
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila, amesema angekuwa Spika wa Bunge, angewacharaza bakora wabunge wa vyama vya upinzani waliotoka Bungeni wakishinikiza vikao vya Bunge viahirishwe kutokana na tishio la ugonjwa wa Corona.
"Simfundishi Spika kazi lakini ningekuwa mimi ndio Spika...
Katika hili ni lazima niwapongeze wanakaskazini kwa sababu wanajitambua tofauti na wanakusini.
Wengi waliamini baada ya Chadema kuishiwa " mipango " basi ACT wazalendo watakuwa chama kikuu cha upinzani, hata mimi awali niliamini hivyo kumbe siyo.
Ngome ya upinzani ni Kaskazini ndio maana...
New Mv victoria Hapa kazi tu na Mv Butiama zimeshamilika na sasa zinasubiribiri tu commissioning ili zianze kufanya kazi.
Hii ni hatua kubwa sana katika sekta ya usafirishaji hasa katika ziwa victoria
Wafanyabiashara kati ya mkoa wa Kagera na Mwanza sasa wataenda kunufaika baada meli hizi...
Walianza kuwa watetezi wa wahalifu yaani majambazi, mafisadi, wala Rushwa na mabeberu.
Wengine wakaenda mbali zaidi na kuwa wakawa watetezi wa wezi wa madini yetu. Yaani savimbiLissu akaungana na majambazi kuihujumu Tanzania
Limetokea janga la Corona mheshimiwa anayejua uhalisia wa maisha ya...
Ujumbe wake huu hapa chini kupitia twitter:
Wabunge wote mliopo Dodoma muwekwe karantini, mpimwe na mfuatiliwe ( contact tracing ). Minister Mwalimu there shall be no two set of laws - for MPs and for the people. Wabunge watengwe, wapimwe na wafuatiliwe. Tulishauri toka mwanzo kuwa Bunge...
Mimi ni MCCM damu damu - na hata Idukilo wananijua. Tena wananijua sana - kuanzia wafanyakazi na hata wasio wafanyakazi. Nimejulikana sana kutokana kufanya biashara ya mazao na kukopesha watu wenye shida mbalimbali kwa riba nafuu. Kadri siku zinavyoenda naona dalili hata mimi mwenyewe naweza...
Katikaa hali isiyo ya kawaida Naibu Spika Dr,Tulia Akson amekataa kusomwa kwa maoni ya kambi rasmi kwa wizara ya ofisi ya makamu wa rais Muungano na mazingira hapa bungeni
Kwa kile alichodai ni maelekezo ya spika Ndugai
Natoa hii hoja sababu inasikitisha sana kuwa Chama cha siasa ambacho kina umri zaidi ya miaka 15 au zaidi lakini bado hakijitambui na wala hakitambui kufanya mikakati ya siasa.
Na hapa nalenga hichi chama cha Chadema ambacho sasa ni chama kikuu cha upinzani.
Inaonyesha dhahiri kuwa wao mikakati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.