uongo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ritz

    JamiiForums Tanzania Dunia inafahamu uongo wa IDF. Waliwachoma moto Wapalestina 200 wakasema ni Waisrael, leo wamekiri kuwa ni Wapelestina!

    Wanaukumbi, Israel na propaganda zao Dunia inafahamu uongo wao waliwachoma moto Wapalestina 200 wakasema ni Waisrael wamechomwa na Hamas leo wamekiri kuwa ni Wapelestina. Swali basi ni, nani aliyewachoma? Interesting! Israel now admits some 200 of the bodies they said were Israelis turned out...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kudai Israeli ni Taifa la Mungu huku Wayahudi wakimkaata Yesu, ni ushahidi hizi dini zimejaa uongo mwingi

    Kabla sijaenda mbali, kwanza nikiri mimi ni Mkristo, ila Ukristo wangu sio sababu ya kutohoji hata kama mtasema imani yangu ni ndogo. Tukirudi kwenye mada, huku kwetu ukimpinga Kristo, hutaeleweka na utachakuliwa kuwa ni mwenye dhambi na unastahiili kuombewa. Hata hivyo, cha kushangaza...
  3. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania Prisca Kishamba na media yake ya udaku wanatumika vibaya kusambaza propaganda

    Baada ya kichapo cha goli tano alichochapwa Simba SC na mtani wake yaliibuka maneno/tetesi nyingi kuhusu wachezaji wa Simba SC kusimamishwa baada ya kusemekana wamekula mlungula (Rushwa). Hizi tetesi zilisambazwa na media ya Kishamba tv. Cha ajabu kikosi kimetoka wachezaji waliokuwa...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Je, kuna uongo juu ya historia ya vita vya Majimaji?

    Kuna haja ya kurudi pale kwenye kaburi la Shujaa Nduna Songea Mbano na kumuomba wapi alipo ficha siri ya vijana wake kukaa miaka miwili wakiwa wanapigana kwa kutumia silaha za jadi wakipambana na wajeruman waliokua wanatumia silaha za moto. Au kuna uongo wa mtu mmoja akaona amzalilishe mzee...
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Spika Tulia: Wabunge hawasemi uongo, Ripoti ya CAG inaonesha kuna ubadhirifu

    Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson amesema kutokana na mjadala wa Wabunge kuonesha Halmashauri nyingi zina Ubadhirifu mkubwa, anapata wakati mgumu kusikia kauli za Mawaziri wakisema Wabunge wanasema uongo wakati taarifa za Kamati zinaonesha kuna ubadhirifu katika Halmashauri hizo. Akitolea...
  6. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Mambo 05 ya kujifunza maishani kutoka kwa mitume na manabii wa uongo nchini Tanzania

    1: Uwe msiri na usiwe unapatikana kirahisi wakati wote au kuwa adimu( do not be too available). Huwezi kumkuta nabii wa uongo anatembeatembea hovyo au anapatikana kirahisi. Watu wanatafuta kitu adimu sio kinachopatikana kila mahali. 2: Usijibujibu tuhuma. Usiongee au kujitetea unaposhambuliwa...
  7. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Kwenye Uongo Ukweli Utatafutwa

    KAMARA KUSUPA: PENYE UONGO UKWELI UTATAFUTWA Kitabu cha Abdul Sykes. Ukweli ni kuwa katika vitabu vyote vilivyoandikwa kuhusu historia ya TANU hakuna hata kitabu kimoja unachoweza kufananisha na kitabu hiki. Vitabu hivyo vyote vimekufa vikiwa na umri mchanga na hakuna kilichochapwa toleo la...
  8. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Kinachoendelea GAZA idadi ya vifo vinavyoorodheshwa ni uongo mtupu!

    Nakumbuka miaka 3 nyuma dunia ilishuhudia (COVID) HOMDA ambayo ilitaka dunia kujifungia kwa lengo la kuharibu uchumi wake "planned stories" siwezi kukataa hundred percent kwamba ugonjwa haukuwepo na haujaua!laa hasha ila its determined effects was totally wrongly. Imagine Ugonjwa huu uliuwa...
  9. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wa Rais Samia kuhusu Mashirika ya Umma si sahihi

    Serikali ya Samia eti inatazama mashirika ya umma kama uwekezaji wa kibiashara ambapo serikali haistahili tena kuwekeza ila watu binafsi. Msimamo huo sio sahihi kwa sababu mashirika ya kibiashara ya umma yalikwisha binafsishwa yote tangu awamu ya Mkapa. Yale yaliyobakia ni yale ya kimkakati kwa...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Serikali yatolea ufafanuzi taarifa ya nafasi ya masomo ya kidato cha 5 ya mwanafunzi Sifika Ruben kupewa mtu mwingine

    Serikali kupitia Ofisi ya Rais -TAMISEMI jana tar 25/9/2023 imetoa ufafanuzi wa taarifa zilizokuwa zinasambaa kwenye mitandao ya kijamii zikimuhusisha mwanafunzi Sifika Daniel Ruben aliyesoma Shule ya Sekondari ya Mkombozi Wilayani Same, Kilimanjaro kupangwa Shule ya Sekondary Namwai kwa masomo...
  11. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Damu ni nzito kuliko Maji ni Uongo

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Misemo na kauli za kilaghai imekuwa ikitumiwa kujenga jamii ya kinafiki katika jamii na Ulimwengu huu. Moja wapo ya misemo au kauli za Uongo au kilaghai ni pamoja na kauli isemayo, Damu ni nzito kuliko Maji. Hiyo dhana au kauli hiyo haina ukweli wowote...
  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Mwimbaji wa Wimbo wa "Mnatuona Nyani" afikishwa Mahakamani, tuhuma za Uchochezi zayeyuka yawa kesi ya kusambaza Uongo

    Kwa mujibu wa Wakili Jebra Kambole ambaye yuko upande wa utetezi, amesema Watuhumiwa wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi jijini humo kwaajili ya kusomewa Mashtaka yanayowakabili. Sifa Bujune, Mkazi wa Isyesye anashikiliwa tangu Septemba 13, 2023 pamoja na Mtayarishaji wa muziki aitwaye...
  13. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Unyama: George Sanga atimiza siku 1088 rumande kwa tuhuma ya Mauaji

    Ndio maana sisi wengine hatushiriki hata kwenye misiba yao. Kama aliyekuwa anafanya ukatili huu alishakufa na kuzikwa , kwanini hawa waliopo wanaacha haya yaendelee? Ikumbukwe kwamba huyu kijana George Sanga hajafungwa , yuko selo tu huku tukiendelea kuambiwa Upelelezi bado haujakamilika...
  14. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Bwala la kufua umeme la Mwl. Nyerere, limeanza kutoa nyufa

    Tanzania, TUMELIWA. Taarifa tulizozipokea ni kwamba, bwala la kufulia umeme la Mwl. Nyerere limeanza kutoa nyufa kabla ya kujazwa maji. Mara nyingi hii inatokana na watu kupiga hela, mkandarasi anabaki hana cha kufanya zaidi ya kulipua kazi. Hii picha inajielezea. ==== Pia soma: TANESCO...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Kesi ya kupinga uwekezaji wa DP; Mahakama sasa ithibitishe yale maneno ya Rostam yalikuwa ya ukweli au uongo!

    Mwezi mmoja uliopita ROSTAM AZIZ Alitangazia Umma kwamba mahakama zetu hazifai kwamba eti zinaingiliwa kwa maelekezo! Maneno hayo mazito kutoka kwa Rostam hayakuwa ya burebure! Bali ni maneno ambayo yalitoka kwenye kinywa cha mtu anaemaanisha wala siyo kuteleza! Pamoja na Rostam kuombwa...
  16. Unasemeje

    JamiiForums Tanzania Kuna ukweli gani juu ya wapiganaji kuaminishwa risasi kugeuka maji kwenye Vita ya Majimaji?

    Hii ni hekaya ambayo hai ingii akilini, eti watu walidanganywa risasi zitageuka maji na wakaingia mkenge, huu ni uongo, hivi mnajua mlio wa bunduki nyie? Mimi nadhani majimaji ilikuwa ni mgomo ulio ambatana na vurugu, na baadaye wajerumani wakawatembezea kichapo wahusika, basi. Hizo habari...
  17. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Swali kwa Great Thinkers tu. Kama shetani ni baba wa uongo, kwanini kashindwa ku fake miujiza hii?

    Shetani anatajwa kwenye maandishi matakatifu kuwa ni baba wa uongo, na tumeamini hivyo, lakini kuna vtu ambavyo shetani na makuwadi wake wa soķo huria wakiwemo manabii feki, wachungaji feki, mashehe wa mchongo, waganga na wachawi hawajawahi kuiiga. 1. Bikira kupata mimba bila mwanaume 2...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ana sifa moja kuu, anapenda kujenga hoja bila kuweka chuki au uadui

    Tundu Lisu ana sifa moja kuu, anapenda kujenga hoja bila kuweka chuki au uadui. Hana adui wa kudumu na kutokuwa na adui hakujawahi kumfanya awe mnafiki kama walivyo wanasiasa na wanazuoni wengine. Anapotamka wazi kwamba Magufuli hakuuza nchi kwa mikataba mibovu anasema ukweli. Anaposema Mkapa...
  19. MlekwaKik

    JamiiForums Tanzania SoC03 Unafiki, uoga, ubinafsi, uongo na malezi yetu

    Kikwazo kikubwa cha uwajibikaji na utawala bora katika nchi yetu ni malezi anayopitia mtanzania wa kawaida, kuna namna ambavyo malezi yetu kuanzia shuleni hadi nyumbani yanatengeneza vijana waongo, wanafiki, wabinafsi na waoga. Maisha yetu kuanzia tukiwa watoto mpaka tunakuwa watu wazima ili uwe...
  20. Pascal Ndege

    JamiiForums Tanzania Tanzania unaweza kusema uongo hadharani na usiwajibike popote. Sheria ya kulinda maadili itungwe

    Toka sakata la Bandari lianze nimepitia na kusoma sheria nyingi sana. Nikasoma na sheria mbalimbli za nchi nyingine. Nikagundua nchi haina sheria ya Uongo na upotoshaji wa umma. Kwa nchi ya Tanzania unaweza kwenye vyombo vya habari ukasema uongo tu ambao si wa kichochezi na usiwajibike popote...
Back
Top Bottom