Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa, leo Julai 8, 2023 amesema kuwa tozo kwenye miamala ya kutoa pesa haijafutwa.
"Tozo imefutwa kwenye utumaji ama usafirishaji wa fedha kupitia kwenye mifumo, ukituma wewe fedha kupitia kwenye simu yako kwenda kwenye simu nyingine, ile tozo tuliyokuwa...
Kumekuwa na kundi kubwa sana la manabii waliopo katika nchi yetu ya Tanzania. Na imekuwa ngumu sana kutambua watu hawa kama ni manabii wa kweli au la,!
Sijajua kwa watu wenye imani kubwa, hili naliongea mimi mwenye imani ndogo; inapotokea mtu(nabii) anakwambia kitu ambacho kina uhusiano direct...
Kijana wa kiume anapokutana na binti kwa mara ya kwanza, swali la kwanza ambalo binti huuliza ni:
"Unafanya kazi wapi?" Jamaa akisema anafanya kazi kwenye kampuni ya mafuta, binti huyo atakubali haraka kudate na kijana huyo.
Lakini kama kijana huyo akisema yeye ni saidia fundi kwenye shughuli...
Ni uongo gani uliwahi kufanikiwa kukamata akili yako au maisha yako kwa muda mrefu.
Mimi binafsi
1. Shule
Nilienda kutafuta majibu ya maswali amabayo sikuwa nayo. Kumbe kusoma koote kule ilikuwa najifunza namna ya kujifunza.
2. Serikali
Nilidhani ipo kwaajiri yetu kumbe ipo kwa ajili ya watu...
Kwa jina la Jamhuri ya Tanzania, ndugu zangu tukemee hili Ruto.
Mara nyingi na kwa muda mrefu sana tunasikia Wakenya wakitangaza Kenya kwa kutumia vivutio vya Tsnzania kuwa ni vyao. Miaka yote tunajuwa ni raia tu na wafanya biashara wa kawaida wa Kenya ndiyo wanafanya hivyo.
Kwa mshangao, leo...
Huyu binti nampenda sana lakini anatabia ya kuongea uongo sanan kuna muda najipa imani kua ataacha lakini baada ya muda yanajirudia.
Shida nyingine hata ukimuuliza ni mgumu ku admit kwamba amekosean anahisi kama yuko katika nafasi ya haki kuongea alichoongea.
Nifanyeje? Moyoni nampenda ila...
Ukweli: Hakuna mkataba wowote wa ukodishaji wa Bandari ya Dar es Salaam ambao umesainiwa hadi sasa. Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) Iko kwenye MAJADILIANO na DP World kuhusu uendelezaji wa bandari nchini
Hakuna kipengele chochote kwenye makubaliano yoyote ya awali kati ya DP...
Mimi niliwahi kusikia aliamuru uwanja wa ndege wa KIA ujengwe pale ulipo ili kuzuia madini ya Tanzanite yasichimbwe kwakuwa bado hatukuwa tumeelimika kuhusu madini.
Wewe ulisikia ipi?
Tukisema huyu dogo anapotezwa na washauri wake, hasikii. Kaenda clouds kuongea shits kumbe kuna watu wamempanga namna ya kuongea.
Kuna kundi la watu liko nyuma yake linampoteza bila yeye kujua?
Hivi huyu hana management?
Elimu Elimu Elimu, mzee Lowassa apewe maua yake.
Those days nimeingia mjini daslamu kwa mara ya kwanza, nikakutana na manzi mmoja ambae leo ni miongoni mwa mademu fulani ambao wanaonekana kuwa maarufu hapo daslamu na ushamba wangu wa kutoka huko shinyanga nikajichanganya na demu tukawa tunaishi wote kama mke na mume.
Kumbe demu lishazalishwa...
Mh Rais ni kweli umeamua kuuwa uchumi na biashara kabisa? Hivi kweli umeruhusu kadi za namna hii?
Hii nimeikopi kwa mwana jf wakukurupuka1
Nanukuuu
“Leo Kuna mgomo kwa wafanya biashara soko kuu kkoo kutokana na kila wiki uzinduzi wa kodi mpya
Baadhi ya kodi unazotakiwa kulipa
1: TRA.
2: FIRE...
Mei 8, 2023, katikati Mahakama ya Hakimu Mkazi Songwe, limefunguliwa Shauri la Jinai Na. 16/2023 Jamhuri dhidi ya Bw. Jackson W. Mahali ambaye ni Mfanyabiashara.
Mshtakiwa anashtakiwa kwa makosa ya kughushi na kuwasilisha nyaraka za uongo TRA ili kuhamisha umiliki wa magari kwenda kwake...
Kumekuwa na matatizo kuhusu Nusra,mwanafunzi wa UDOM. Habari zinasema mwanamke alikufa kwenye ile ajali ya Waziri. Polisi inaelekea wanaleta obfuscation.
Badala ya kusema maneno kuuzima huu uvumi once and for all Polisi wanaleta ubabaishaji. Hawataki kuyamaliza haya maneno. They are just...
===============
Katika lugha inayotumika kwenye barua official sehemu za pesa huwa zinaanza kwa tarakimu zilizotenganishwa kwa comma, kisha aina ya pesa kwa initials baada ya hapo kuwepo kwa mabano ya maneno)
Mfano
2,000 USD (Two thousand US Dollars)
2,000 Tshs (Two thousand Tanzanian...
Jioni hii nilikuwa nasikiliza habari za dira ya dunia nimemsikia muandishi wa habari David Nkya, akisema yupo kambi la wakimbizi la Mtendeli iliyopo Wilaya ya Kakonko mkoani Kigoma
Kwanza hilo kambi halipo, tulilifunga miaka mitatu iliyopita. Akaongeza uongo wake kuwa Tanzania ina makambi...
Mnabariki uongo na dhulma kwa kumbambikizia mtu mtoto asiye wake kisa tu huyo mtu ana pesa. Sasa nyie serikali na huyo kahaba aliyebambikiza mtakuwa mna tofauti gani?
Eti kulinda maslahi ya mtoto mamlaka ya serikali inadanganya matokeo ya DNA na kumbambikiza mtoto kwa asiye baba yake kweli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.