Hii ni habari ya kweli kwa mara ya kwanza katika mji wa Masasi umeme umewaka 24 hours pasipo kukatika.
Mji wa Masasi wakazi wake walikuwa wakiteseka na kupata shida ya umeme mpaka hivi majuzi walipoungwa kwenye gridi ya taifa.
Leo watu wa Masasi wamefanya kazi zao toka asubuhi mpaka jioni pasipo kukatika umeme.
Pongezi nyingi kwa serikali ya awamu ya tano na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr John Pombe Magufuli.
Naimani this time Mzee wetu Mstaafu Rais William Mkapa atafurahia pamoja na watu wake wa Wilaya hii na makabila yote kuwa na umeme.
Maana ilikuwa kila akija ni kukatika umeme tu na nina imani alisimamia hili mpaka leo tumepata umeme mkubwa ukitokea Songea.
Shine CCM.