Waziri wa nishati tusaidie sisi baadhi ya wakazi wa kilimanjaro swala la umeme ni kizungumkuti

Godbless Reuben

New Member
Joined
Dec 21, 2019
Messages
1
Points
20

Godbless Reuben

New Member
Joined Dec 21, 2019
1 20
Mh Waziri wa nishati tusaidie sisi baadhi ya wakazi wa kilimanjaro swala la umeme ni kizungumkuti ukiuliza swala la umeme wa rea unaambiwa kijiji chetu hakipo kwenye mpango wa rea hapo hapo mtendaji wa kijiji anasema andikeni majina ya watu ambao hawana umeme.
Zaidi sana Binafsi nilishafanyiwa survey na mtaalamu wa Tanessco ila niliambiwa nitalipia nguzo tatu na wewe Mh waziri unasema kila siku mwananchi atakiwi kuuziwa nguzo unatusaidia je Baba NIpo MKowa wa KIlimanjaro kijiji cha kindi chini kitongoji ni Ngangu.
 

Forum statistics

Threads 1,389,961
Members 528,065
Posts 34,039,814
Top