umeme

  1. M

    JamiiForums Tanzania Hivi Polisi na Magereza wanatakiwa kulipwa posho ya umeme na maji kwenye mishahara yao?

    Kila nikiwa kwenye mabwalo yao nawasikia wakilalamika kunyimwa haki yao ya posho za maji na umeme Sasa naomba kujua kuna utaratibu wa majeshi kulipwa hizo posho? Kama upo kwanini wanalalamika nini kinawakwamisha? Nilijaribu kumuuliza pot mmoja kuhusu hilo akasema kuna mtu mmoja wizarani kwao...
  2. diana chumbikino

    JamiiForums Tanzania TANESCO yakarabati vituo 9 kupoza umeme

    SHIRIKA la Umeme Tanzania(Tanesco) limepata Euro milioni 139 kwa ajili ya mradi wa ukarabati wa vituo tisa vya kupoza umeme sambamba na kujenga mfumo wa kisasa wa kudhibiti umeme, ambao utakuwa na uwezo wa kutambua tatizo la kukatika umeme lilipoanzia na kufanyiwa kazi mapema. Hayo...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Naulizia hiki kifaa kwa mafundi umeme

    Kwa wale wajuzi eti kuna kifaa ambacho kinaweza kudivert umeme kila mpangaji akawa anatumia umeme wake na ukakata kivyake tofauti na kuweka luku?
  4. sumu-ya-panya

    JamiiForums Tanzania Electrical eel samaki anayetoa umeme

    Duniani yapo mengi ambayo yanavuta hisia ukiyasikia. Wengi wetu huamini kuwa umeme umekuwa ukizalishwa kutoka katika vyanzo mbalimbali kama mashine, betri, jua na maji. Lakini amini au usiamini kuna viumbe ambao wanazalisha umeme mwingi wenye nguvu hata ya kuweza kumuua binadam mtu mzima ndani...
  5. joto la jiwe

    JamiiForums Tanzania Tanzania yaongoza Afrika katika kuunganisha umeme vijijini yafikia 74%

    Tanzania yaongoza Afrika katika kuunganisha umeme vijijini, yaipiku Nigeria iliyokua kinara Sasa hivi Tanzania imefikia 74% katika kuunganisha umeme vijiji, Tanzania inategeme kufikia 95% ifikapo June 2022, na kuifanya nchi ya sita Afrika kufikia ""Universal Access" na ya kwanza katika ukanda...
  6. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Serikali yaagiza wanaotoza fedha za nguzo za umeme kwa wananchi wakamatwe

    Waziri wa Nishati wa Tanzania, Dk Medard Kalemani ameagiza makandarasi au mameneja wanaolazimisha wananchi kulipia nguzo za umeme ili kuunganishiwa nishati hiyo kukamatwa. Amesema watu hao wanapuuza agizo la Serikali inayotaka nguzo hizo kutolewa bure. Ametoa ufafanuzi huo Februari 15, 2020...
  7. TANESCO

    JamiiForums Tanzania Lipigie kura Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kuweza kushinda kipengele cha ‘Best Government Page of the Year 2020’

    Lipigie kura Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kuweza kushinda kipengele cha *Best Government page of the year* kwa mwaka 2020. Cha kufanya; 1. Fungua hiyo link utakutana na neno Vote chini kabisa ya ukurasa 2. Utakutana na Vipengele vitatu yani *Award Category*, *Sub Category * na...
  8. Wizobaby

    JamiiForums Tanzania Jokofu (Friji) gani linatumia umeme kidogo na inawahi kupoza?

    Mwanzo nilikuwa natumia super general. je, bado zipo sokoni Kwa Dar? zinapatikana maeneo gani? Je, kuna fridge nzuri zaid ya super general
  9. Transistor

    JamiiForums Tanzania Taa za umeme za LED huleta nafuu katika bili ila ni hatari kwa afya

    Heri ya mwaka mpya wakuu, Taa za LED zimepata umaarufu miaka ya hivi karibuni kutokana na kuwa na mwanga mkubwa huku ulaji wake wa umeme ukiwa ni kidogo. Licha ya faida hiyo kutokana na tafiti mbalimbali taa za LED,zimeonekana kuwa na madhara kiafya,licha ya wataalamu wanao unda taa hizi...
  10. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Ukerewe yalalamikia bei kubwa ya umeme, wananchi wanalipa 2,500 kwa unit 1 ya umeme

    Waziri wa Nishati nchini Tanzania, Dk Medard Kalemani ametoa maagizo kwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella kuhakikisha anafuatilia gharama za umeme zinazotozwa kwa wananchi wa kisiwa cha Ukerewe mkoani humo. Imeelezwa leo bungeni kuwa Watumiaji wa umeme katika Wilaya ya Ukerewe Mkoa wa...
  11. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Mafundi umeme, nipe faida ya kufunga 6 ways badala ya 4 ways Distribution Board

    Kichwa cha habari kinajitoshereza. Naomba wataalamu wa umeme mnisaidie. Ni ukubwa wa nyumba kwa kiwango gani nalazimika kutumia 6 ways badala ya 4 ways main switch (single phase)?
  12. Van classic

    JamiiForums Tanzania Kwa anayehitaji fundi umeme

    Kwa mahitaji ya kufanyiwa installation kuanzia awamu ya kwanza hadi awamu ya finishing. Bei zangu huwa ni rafiki sana kwa mkoa wa Dodoma ndiyo rahisi zaidi kukutana. Namba zangu za kazi ni 0752768907
  13. KAWETELE

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa umeme wa Solar nisaidieni kuhusu inverter

    Heri ya mwaka mpya wakuu.. Kuna fundi kamfungia bi mkubwa solar, tangu tarehe 30 December Sasa taa zinawaka ila inverter inawasha taa nyekundu na kupiga alarm. Fundi aliwaahidi kuwa jua likiwaka hali itakuwa shwari. Ila hali bado ni ile ile. Inverter ina 1000W batteries mbili za 12V. Kwenye...
  14. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Serikali kuanza kuwawekea umeme wa REA wananchi Masikini kwa kutumia Mabavu

    Hayo yamebainishwa na Waziri wa Nishati Mh Kalemani akiwa ziarani kikazi huko mkoani Tabora , Mh Kalemani amesema kwamba haiwezekani mtu yeyote kushindwa kulipa gharama ya kuwekewa umeme huo ambayo ni Tsh 27, 000/= kwa kisingizio chochote kile. Mh Waziri amedai serikali inafikiria kuwawekea...
  15. G

    JamiiForums Tanzania Waziri wa nishati tusaidie sisi baadhi ya wakazi wa kilimanjaro swala la umeme ni kizungumkuti

    Mh Waziri wa nishati tusaidie sisi baadhi ya wakazi wa kilimanjaro swala la umeme ni kizungumkuti ukiuliza swala la umeme wa rea unaambiwa kijiji chetu hakipo kwenye mpango wa rea hapo hapo mtendaji wa kijiji anasema andikeni majina ya watu ambao hawana umeme. Zaidi sana Binafsi nilishafanyiwa...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu 'shoti' ya umeme

    Nilipigwa na shoti ya umeme ya nguvu tu siku moja katika harakati za kurekebisha hili na lile. Ajabu ni kuwa nilisikia kama mtu kanipiga rungu la kisogoni kiasi kwamba ilinilazimu kabisa kugeuka nyuma ili nione kama kuna mtu kafanya hivyo. Nilipowahadithia wenzangu(wale waliowahi kukumbana na...
  17. beth

    JamiiForums Tanzania Waziri Kalemani aitaka TANESCO kubaini vyanzo vipya vya umeme

    Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani ameiagiza Bodi na Menejimenti ya Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kuhakikisha kuwa wanafanya tafiti kubaini vyanzo vipya vya uzalishaji umeme ili kuongeza kiasi cha nishati hiyo nchini na kuweza kufikia lengo la kuwa na megawati 10,000 ifikapo mwaka...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Tarehe 18/12/2019 Masasi umeme wawaka 24 hours

    Hii ni habari ya kweli kwa mara ya kwanza katika mji wa Masasi umeme umewaka 24 hours pasipo kukatika. Mji wa Masasi wakazi wake walikuwa wakiteseka na kupata shida ya umeme mpaka hivi majuzi walipoungwa kwenye gridi ya taifa. Leo watu wa Masasi wamefanya kazi zao toka asubuhi mpaka jioni...
  19. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli unadanganywa; Umeme wa REA haujawafikia wananchi wengi vijijini

    Niko natembelea ndugu zangu walioko pembezoni mwa miji kadhaa ambao vijiji au tuviite vitongoji au mitaa katika kipindi hiki cha sikukuu za mwisho wa mwaka, cha kushangaza havina umeme. Viongozi wengi wamekuja na kupiga uongo eti wanaletewa umeme wa REA awamu ya tatu ni mwaka wa tano...
  20. beth

    JamiiForums Tanzania Tanesco kununua magari 106 ya kuwafuata wateja

    Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) linapanga kununua magari 106 kwa ajili ya uboreshaji wa utoaji wa huduma kwa wateja ikiwamo kitengo cha dharura kwa ajili ya kuwahudumia wateja baada ya kupata kibali cha ununuzi. Aidha, shirika hilo limesema uboreshaji wa mfumo wa umeme katika kituo cha...
Back
Top Bottom