Tanzania yaongoza Afrika katika kuunganisha umeme vijijini yafikia 74%

joto la jiwe

JF-Expert Member
Sep 4, 2017
26,117
46,613
Tanzania yaongoza Afrika katika kuunganisha umeme vijijini, yaipiku Nigeria iliyokua kinara

Sasa hivi Tanzania imefikia 74% katika kuunganisha umeme vijiji, Tanzania inategeme kufikia 95% ifikapo June 2022, na kuifanya nchi ya sita Afrika kufikia ""Universal Access" na ya kwanza katika ukanda wa Afrika mashariki na kati na nchi za pembe ya Afrika.
 
Back
Top Bottom