TANESCO Mwanza, kuna mgao rasmi unaendelea?

Nyanswe Nsame

Member
Jul 9, 2019
84
125
Meneja wa Tanesco Mkoa wa Mwanza, acha mambo yako, hii ni wiki ya pili sasa kila ilifika saa moja jioni umeme unakatika.

Tatizo hili sasa limekuwa ni "sugu" kwa muda wa wiki mbili na pindi mnapokata umeme taarifa rasmi haitolewi.

Idara ya Mawasiliano na uhusiano inafanya kazi gani? Kwanini hawatoi taarifa? au kazi yao ni ipi hapo ofisini?

Najiuliza kwanini umeme unakatika muda huu wa saa moja kila siku? kama ni matengenezo yanafanyika taarifa ni muhimu kwetu sisi ambao muda huu tunategemea umeme kufanya shughuli zetu.

Lakini kuna taarifa zinaeleza kwamba meneja huyu kaja na mpango wake wakutaka kumfelisha Rais wetu (John Magufuli) katika mkoa huu.

Hivyo kutokana na hali hii, vyombo husika angalieni huyu mtu na watu wake waliomzunguka asije akafanya mambo mabaya zaidi ya hili analojaribu kulufanya.

Charles Charles
 
chotera

JF-Expert Member
May 19, 2016
1,968
2,000
Charles charles mutu ya singida, tena jitu ya ccm kindakindaki

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Prince az

JF-Expert Member
Sep 27, 2018
1,148
2,000
Tanesco wana boa sana sio uko tu hata sisi uku Dodoma ikifika mida ya saa kumi jioni hasa muda wa kutazama mpira huwa wanakata,

Najiuliza kwa hii kata kata ya umeme kweli tutafika kwenye uchumi wa viwanda.
 
ILISACHA

JF-Expert Member
Oct 29, 2019
252
500
Meneja Tanesco Mwanza amewafanya watu wa Mwanza kama ni vilaza

Meneja wa Tanesco Mkoa wa Mwanza, acha mambo yako, hii ni wiki ya pili sasa kila ilifika saa moja jioni umeme unakatika.

Tatizo hili sasa limekuwa ni "sugu" kwa muda wa wiki mbili na pindi mnapokata umeme taarifa rasmi haitolewi.

Idara ya Mawasiliano na uhusiano inafanya kazi gani? Kwanini hawatoi taarifa? au kazi yao ni ipi hapo ofisini?

Najiuliza kwanini umeme unakatika muda huu wa saa moja kila siku? kama ni matengenezo yanafanyika taarifa ni muhimu kwetu sisi ambao muda huu tunategemea umeme kufanya shughuli zetu.

Lakini kuna taarifa zinaeleza kwamba meneja huyu kaja na mpango wake wakutaka kumfelisha Rais wetu (John Magufuli) katika mkoa huu.

Hivyo kutokana na hali hii, vyombo husika angalieni huyu mtu na watu wake waliomzunguka asije akafanya mambo mabaya zaidi ya hili analojaribu kulufanya.

Charles Charles
Big up kwa kuliongelea japo si wewe tu!
Kwa kweli nikikumbuka mgao wa kipindi kile na tambo za awamu hii, nahisi mambo ni magumu ila ndo hivyo watu hawataki kuukubali ukweli hali si hali kila sehemu.
Wiki ya pili sasa mchezo huu unaelekea kuota mizizi cha ajabu wahusika hawatoi taarifa angalau kuondoa hiyo sintofamu kwa wananchi.
Bora Singa singa SETH atolewe ndani aje awashe mitambo yake tujue tupo kwenye mgao!
 
From Sir With Love

JF-Expert Member
Sep 13, 2010
1,908
2,000
Nipo jiji la Mwanza kikazi, na nimefikia Nyasaka kwenye hoteli/guest maeneo ya Bundesliga.

Kila siku saa moja mpaka saa tatu au tano usiku, umeme umekuwa unakatika, bila taarifa wala maelezo.

Huu upumbavu tulikuwa tunauona kipindi cha Kikwete, lakini naona sasa imekuwa too much.

Hawa jamaa hawatoi taarifa wala habari. Wapo wapo tu kama vile wapo.

Wanaweza wakawa wakaeleza kinachoendelea?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mabendazol

Member
Jan 21, 2020
37
125
Meneja Tanesco Mwanza amewafanya watu wa Mwanza kama ni vilaza

Meneja wa Tanesco Mkoa wa Mwanza, acha mambo yako, hii ni wiki ya pili sasa kila ilifika saa moja jioni umeme unakatika.

Tatizo hili sasa limekuwa ni "sugu" kwa muda wa wiki mbili na pindi mnapokata umeme taarifa rasmi haitolewi.

Idara ya Mawasiliano na uhusiano inafanya kazi gani? Kwanini hawatoi taarifa? au kazi yao ni ipi hapo ofisini?

Najiuliza kwanini umeme unakatika muda huu wa saa moja kila siku? kama ni matengenezo yanafanyika taarifa ni muhimu kwetu sisi ambao muda huu tunategemea umeme kufanya shughuli zetu.

Lakini kuna taarifa zinaeleza kwamba meneja huyu kaja na mpango wake wakutaka kumfelisha Rais wetu (John Magufuli) katika mkoa huu.

Hivyo kutokana na hali hii, vyombo husika angalieni huyu mtu na watu wake waliomzunguka asije akafanya mambo mabaya zaidi ya hili analojaribu kulufanya.

Charles Charles
Kuna watu hapo watakuwa wananhujumu! Huyo Jamaa yupo vzr mno! Kunawatu hapo walikuwa wapigaji sana naona kawadhibiti wanataka kumharibia harafu wao ndo wanakimbilia mitandaoni!. Huyo Jamaa namjua tangia akiwa Ruvuma.
Yupo vzr! Achani kumchonganisha hapo! Kunawapigaji wengi sana hapo MWANZA tunawajua ndo walisababisha mama aondoke.
 
Mabendazol

Member
Jan 21, 2020
37
125
Kifupi nikwamba Tanesco MWANZA iliharibika, kunawatu wamekaa hapo miaka nenda rudi kiasi cha kujiona wao ndo MWANZA
Hata mama alitolewa Kwa kigezo kuwa mkoa umemshinda lkn kiukweli alikuwa anahujumiwa ila hakuwa Na uwezo wakubana watu wake.
Huyu bwana namjua tangia akiwa Ruvuma kwenye Umeme wa mtoni huko Mbinga! Huyo Jamaa yupo vizuri ktk Kazi nanimfuatiriaji mzuri ktk Kazi zawatu wa chini yke.
Nahisi atakuwa amewabana kisawasawa Sasa wanataka kumchafua
Eti kumharibia magufuri MWANZA kwani wanataka uraisi?
Ana ndg yke anagombea uraisi?
Naona mmeanza majungu ili awaogope! Maneger chapa Kazi! Tunawajua wte hao walionyuma yko kutaka uharibikiwe Kazi.
Nitamwandikia mwinuka nimwekeze kila kitu! Chunga sana sukumaland hapo Mkuu.
 
Nyanswe Nsame

Member
Jul 9, 2019
84
125
Big up kwa kuliongelea japo si wewe tu!
Kwa kweli nikikumbuka mgao wa kipindi kile na tambo za awamu hii, nahisi mambo ni magumu ila ndo hivyo watu hawataki kuukubali ukweli hali si hali kila sehemu.
Wiki ya pili sasa mchezo huu unaelekea kuota mizizi cha ajabu wahusika hawatoi taarifa angalau kuondoa hiyo sintofamu kwa wananchi.
Bora Singa singa SETH atolewe ndani aje awashe mitambo yake tujue tupo kwenye mgao!

Watu mambo yetu yamesimama, hivi wanadhani kazi ni mchana tu? tupo tunaohitaji umeme usiku kufanya mambo yetu lakini hawa tenesco kila siku ikifika saa 1 jioni wanakata imekuwa kero kubwa.
 
Nyanswe Nsame

Member
Jul 9, 2019
84
125
Kifupi nikwamba Tanesco MWANZA iliharibika, kunawatu wamekaa hapo miaka nenda rudi kiasi cha kujiona wao ndo MWANZA
Hata mama alitolewa Kwa kigezo kuwa mkoa umemshinda lkn kiukweli alikuwa anahujumiwa ila hakuwa Na uwezo wakubana watu wake.
Huyu bwana namjua tangia akiwa Ruvuma kwenye Umeme wa mtoni huko Mbinga! Huyo Jamaa yupo vizuri ktk Kazi nanimfuatiriaji mzuri ktk Kazi zawatu wa chini yke.
Nahisi atakuwa amewabana kisawasawa Sasa wanataka kumchafua
Eti kumharibia magufuri MWANZA kwani wanataka uraisi?
Ana ndg yke anagombea uraisi?
Naona mmeanza majungu ili awaogope! Maneger chapa Kazi! Tunawajua wte hao walionyuma yko kutaka uharibikiwe Kazi.
Nitamwandikia mwinuka nimwekeze kila kitu! Chunga sana sukumaland hapo Mkuu.
Tulia huyu ndugu yako amekuwa ni mzigo, kwanini kila siku saa moja umeme ukatwe? hakna majungu, yeye afanye majukumu yake aone kama ataguswa. Sisi tunataka umeme hayo mengine atafahamu yeye na ndugu zake.
 
wa kupuliza

JF-Expert Member
Jun 15, 2012
3,577
2,000
Kifupi nikwamba Tanesco MWANZA iliharibika, kunawatu wamekaa hapo miaka nenda rudi kiasi cha kujiona wao ndo MWANZA
Hata mama alitolewa Kwa kigezo kuwa mkoa umemshinda lkn kiukweli alikuwa anahujumiwa ila hakuwa Na uwezo wakubana watu wake.
Huyu bwana namjua tangia akiwa Ruvuma kwenye Umeme wa mtoni huko Mbinga! Huyo Jamaa yupo vizuri ktk Kazi nanimfuatiriaji mzuri ktk Kazi zawatu wa chini yke.
Nahisi atakuwa amewabana kisawasawa Sasa wanataka kumchafua
Eti kumharibia magufuri MWANZA kwani wanataka uraisi?
Ana ndg yke anagombea uraisi?
Naona mmeanza majungu ili awaogope! Maneger chapa Kazi! Tunawajua wte hao walionyuma yko kutaka uharibikiwe Kazi.
Nitamwandikia mwinuka nimwekeze kila kitu! Chunga sana sukumaland hapo Mkuu.
Mambo ya wasukuma yanaingilianaje hapo?
 
Dr Akili

JF-Expert Member
Aug 21, 2011
3,264
2,000
Leo usiku mzima mkoa wote wa Mwanza hauna umeme. Tangia saa 12 jioni. Na hakuna taarifa yo yote. Huyu meneja atumbuliwe haraka. Huu ni mwaka wa uchaguzi mkuu anataka wana mkoa wa Mwanza wamchukie kipenzi wao.
 
Top Bottom