Kenya kufuta malipo ya umeme na maji kuwapa unafuu wananchi

simplemind

JF-Expert Member
Apr 10, 2009
16,409
9,183
Pamoja na viongozi kupunguza mishahara kwa hadi asilimia 80, kupunguza malipo ya kodi na kuanzisha foundation za kusaidia ambao watathirika zaidi kiuchumi Uongozi unapendekeza kufuta malipo ya umeme na maji kwa miezi sita.
 
Niliwahi kuliwaza hilo ila kwenye maji lzm watu watatembea kuyafata tu wengine hawana mabomba..
 
Pamoja na viongozi kupunguza mishahara kwa hadi asilimia 80, kupunguza malipo ya kodi na kuanzisha foundation za kusaidia ambao watathirika zaidi kiuchumi Uongozi unapendekeza kufuta malipo ya umeme na maji kwa miezi sita.
Serikali ya Kenya haina uwezo hata wa kufuta vumbi katika ofisi za serikali, itapata wapi uwezo wa kufuta bili za UMEME na MAJI?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom