INAUZWA Mashine ya kukamua juisi ya miwa (inatumia umeme)

Jun 4, 2015
36
24
Bei 1,280,000/=
Bei haipungui.. mashine ni mpya na bei ya awali ilikuwa milioni 1.4. Ipo moja tu

Mashine ya kukamua juisi ya miwa (Ya umeme)
🔴Ina uzito 65kg
🔴Inatumia umeme wa kawaida wa majumbani 220V, motor 0.75KW
🔴ukubwa wake 430*350*920mm
🔴material yake ni stainless steel inayodumu kwa muda mrefu
🔴Inaweza kukamua juisi 300kg kwa saa
🔴bei 1,280,000/=

Kwa maelezo zaidi au kununua, njoo inbox au piga namba 0754385573 au njoo whatsapp +8615721537610

Mashine ipo Dar, na ni moja tu mpya
 

Attachments

  • -338816615.png
    -338816615.png
    1.4 MB · Views: 17
  • -1197679582.png
    -1197679582.png
    1.1 MB · Views: 16
  • -536839331.png
    -536839331.png
    884.5 KB · Views: 19

Similar Discussions

Back
Top Bottom